Bakwata, tani 50 ya Tende zilizotolewa kama msaada na Saudi Arabia zimepelekwa wapi?

Hivi hawa waarabu wanawachukuliaje watanzania, msaada wa tende unamuondolea vp umaskini mtanzania wa kawaida any way mleta mada hii keshi kwa mh rahisi naona umemuonea kwa maana ana mambo makubwa sana ya kitaifa embu jipangeni muende kwa mufti mkuu
Mashehe walishawahi lalamika gharama kubwa ya tende kwa mama samia. Acha bas wasaidiwe๐Ÿ˜€
 
Mashehe walishawahi lalamika gharama kubwa ya tende kwa mama samia. Acha bas wasaidiwe[emoji3]
Eh! Kumbe kwani wao wanataka ziuzwe shingapi? Mana huku nilipo nanunua bei kidogo eni wei ngoja tuone mama atafanyaje labda anaweza akazinunua kwa bei ya jumla alafu akazigawa buree kwenye masjidii zetuu[emoji13]
 
Sawa ujumbe umefika ila utambue kuwa Ponda si Mtanzania na haruhusiwi kuongea na Mh. rais akiwa yeye bado mkimbizi aishiye nchini kinyume na seria.
 
Sasa mimi natoa wazo serikali inunue tende za jumla makontena na makontena alafu igawe bure kipindi cha ramadhani maana serikali yaweza jipatia swahabu si wajua serikali aina dini sasa ndio pakujichukulia swawabu hapa
Kwani hao wanaouza tende za kugawa bure wao hawataki swawabu
 
Fursa fursana..
 
duh aiseee hadi tende zinaletwa kwa msaada!!?
Aay back Moshi nadhani mpka sasa inaendelea
Kuna misaada ya electronic used kama fridges etc zinatumwa afrika kama misaada kutoka arabuni ila unayakuta yako sokoni๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Religious organizations na NGOs kwangu nawarefer kama development partners kama wafanya biashara wengine. Means lazima nipate something tangible in return
 
Ndo wanaoongoza kwa kuchukia kodi. Asilimia kubwa ya Watu wa dini wamegeuza misaada vichochoro vya kukwepa kodi baada ya kubwanwa kelele zikawa nyingi sana
 
Ndo wanaoongoza kwa kuchukia kodi. Asilimia kubwa ya Watu wa dini wamegeuza misaada vichochoro vya kukwepa kodi baada ya kubwanwa kelele zikawa nyingi sana
Nadhani ndivyo sehemu yaasili yake hiyo mpendwa. Yale tunayoyajua โ€œwanyongeโ€ deep down ni inverse proportion ๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Unamaliza evaluation ya mradi mwaka huu kwa donor one with let say 75% success yake, next two years unaandika andiko hilohilo very severely kwa tatizo hilohilo kwa donor two๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

same to dini toka kuanzishwa kwake haijawahi kujiachanisha na fursa
 
Hahha ila hii nchi duh yaani tunapewa hadi misaada ya tende hahaha sasa hizo zinasaidia nini?
Na mtu analalamika et mh rais , Yani hadi issue ya tende rais duh

Anyway : SALAMAREKO ๐Ÿ™‹
Tende ile pea mzee. Ukiingia mjini tu kilo si chini ya elfu 7.

Kwahiyo mdau kusema hili yuko sahihi kabisa,kwanza kwa ajili ya kuwasaidia wahusika,maana yake wanafanya dhulma.

Haiwezekani jambo la sadaka watu wapige dili (kama kweli wanafanya hivyo).
 
Bakwata ni CCm watu wanatoa sadaka wao wanapokea na wanauza
 
Hivi hawa waarabu wanawachukuliaje watanzania, msaada wa tende unamuondolea vp umaskini mtanzania wa kawaida any way mleta mada hii keshi kwa mh rahisi naona umemuonea kwa maana ana mambo makubwa sana ya kitaifa embu jipangeni muende kwa mufti mkuu
Vipi msaada wa condom za wazungu na ARV zina msaada upi labda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ