Bakwata, tani 50 ya Tende zilizotolewa kama msaada na Saudi Arabia zimepelekwa wapi?

Bakwata, tani 50 ya Tende zilizotolewa kama msaada na Saudi Arabia zimepelekwa wapi?

Hahha ila hii nchi duh yaani tunapewa hadi misaada ya tende hahaha sasa hizo zinasaidia nini?
Na mtu analalamika et mh rais , Yani hadi issue ya tende rais duh

Anyway : SALAMAREKO 🙋
Bataka tende chukua lakini baku... panua
 
Hizo tende na nyama ni reject, tumieni akili!! Wamekosa dampo tu ndio maana zikaletwa huku
 
Bakwata ndo CCM mkuu we achana nao.

2772022_1660090_FB_IMG_1514731600839.jpg
 
Hivi hawa waarabu wanawachukuliaje watanzania, msaada wa tende unamuondolea vp umaskini mtanzania wa kawaida any way mleta mada hii keshi kwa mh rahisi naona umemuonea kwa maana ana mambo makubwa sana ya kitaifa embu jipangeni muende kwa mufti mk
Tende hawaleti kama masada NO waarabu wanaleta tende kama sadaka coz mtu kwenye sadaka humpangii akuletee nini mbna mbna upande wa piki mnaletewa bible hamuwaambii hatutaki hzo tunataka hela jenga hoja yenye mantiki sio unaropoka Kama umeona chips za bure 😏😏😏
Hivi hawa waarabu wanawachukuliaje watanzania, msaada wa tende unamuondolea vp umaskini mtanzania wa kawaida any way mleta mada hii keshi kwa mh rahisi naona umemuonea kwa maana ana mambo makubwa sana ya kitaifa embu jipangeni muende kwa mufti mkuu
 
Hizo tende na nyama ni reject, tumieni akili!! Wamekosa dampo tu ndio maana zikaletwa huku
Mkuu, huwa inakuwa hivi, panapofanyika ibada ya Hijja kuna sehemu katika ibada hiyo kipengele cha kuchinja, sasa tafakari ule mjumuiko woote kila mmoja ni lazima achinje hebu nambie kutakuwa na nyama kiasi gani? jibu ni kuwa kutakuwa na tonnes za nyama na haiwezekani kwa saudia peke yao kula kiasi chote cha nyama hiyo na ndio maana zinagawanywa katika baadhi ya nchi kama sadaka na si kama wanazidump huku kwetu, ninaamini safari hii hazitokuwapo kwa kuwa hijja imezuiwa kutokana na covid.
Ni kwa dhana hiyo mkuu na si vinginevyo
 
Kwa mtu yoyote mwenye akili timamu, mwenye kuijua vizuri historia ya nchi yetu na amani yake, HAKUNA CHOMBO AMBACHO KINASTASTAHILI HESHIMA KAMA BAKWATA. MUNGU AENDELEE KUWALINDA NA KUWAONGEZEA HEKMA VIONGOZI WA BAKWATA
 
Mnh!
 
Back
Top Bottom