Bakwata, tani 50 ya Tende zilizotolewa kama msaada na Saudi Arabia zimepelekwa wapi?

Bakwata, tani 50 ya Tende zilizotolewa kama msaada na Saudi Arabia zimepelekwa wapi?

Ilikuwaje hao waarabu wakaleta tende? Yani waliombwa msaada huo au?
Mkuu kila kilicho cha muarabu ni kitakatifu,misikitini tende inasifiwa sana lakini huwezi sikia wakisifia parachichi,embe,chungwa nk
 
Masheikh wengi ni njaa sana. Sheikh anawake 4, vimada 6 na watoto 10 unategemea apokee tende na akufishie kweli?
 
Hadi issue ya tende mama ndio asuluhishe? Hebu kuweni serious kidogo. Malizaneni huko huko misikitini. Mama ana kazi kubwa za kitaifa, hizo petty issue mpelekeeni mufti.
wapi mama katajwa....
 
Back
Top Bottom