Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,197
- 128,160
Bataka tende chukua lakini baku... panuaHahha ila hii nchi duh yaani tunapewa hadi misaada ya tende hahaha sasa hizo zinasaidia nini?
Na mtu analalamika et mh rais , Yani hadi issue ya tende rais duh
Anyway : SALAMAREKO π
+ tadeaiHaiwezi ikawa ccm..hilo ni tawi la ccm kama ilivyo tlp..udp..au uvccm
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Nguvu za kiumeHapo ndipo tunapowashangaa ndugu zetu bakwata hivi tende Tani 50 zinamsaidia vipi muislamu wa TANZANIA?
hawa waarabu nao sijui waliwaza nini Hadi kuja kudampo tende
Salamareko sheikh [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pwagu na pwaguziNi Samareko sio Saramaleko[emoji1787][emoji1787]
Hahha shekh πBataka tende chukua lakini baku... panua
Mkuu kwetu salamu ni ibada, na ni kosa kubwa kufanya utani kwenye ibada labda uwe hujui hilo..Tuko kwenye utani chief sio kwamba hatujui inaandikwaje
MmhNihaki yetu sisi waislamu tulalamikie hizo tende coz ni tundu takatifu kwetu na limebarikiwa kuliko matunda yote
Inshallah Sheikh wanguHahha shekh π
Tende hawaleti kama masada NO waarabu wanaleta tende kama sadaka coz mtu kwenye sadaka humpangii akuletee nini mbna mbna upande wa piki mnaletewa bible hamuwaambii hatutaki hzo tunataka hela jenga hoja yenye mantiki sio unaropoka Kama umeona chips za bure πππHivi hawa waarabu wanawachukuliaje watanzania, msaada wa tende unamuondolea vp umaskini mtanzania wa kawaida any way mleta mada hii keshi kwa mh rahisi naona umemuonea kwa maana ana mambo makubwa sana ya kitaifa embu jipangeni muende kwa mufti mk
Hivi hawa waarabu wanawachukuliaje watanzania, msaada wa tende unamuondolea vp umaskini mtanzania wa kawaida any way mleta mada hii keshi kwa mh rahisi naona umemuonea kwa maana ana mambo makubwa sana ya kitaifa embu jipangeni muende kwa mufti mkuu
Mkuu, huwa inakuwa hivi, panapofanyika ibada ya Hijja kuna sehemu katika ibada hiyo kipengele cha kuchinja, sasa tafakari ule mjumuiko woote kila mmoja ni lazima achinje hebu nambie kutakuwa na nyama kiasi gani? jibu ni kuwa kutakuwa na tonnes za nyama na haiwezekani kwa saudia peke yao kula kiasi chote cha nyama hiyo na ndio maana zinagawanywa katika baadhi ya nchi kama sadaka na si kama wanazidump huku kwetu, ninaamini safari hii hazitokuwapo kwa kuwa hijja imezuiwa kutokana na covid.Hizo tende na nyama ni reject, tumieni akili!! Wamekosa dampo tu ndio maana zikaletwa huku
Ni Salim aleko sio samareko na jibu lake Ni aleko msalanNi Samareko sio Saramaleko[emoji1787][emoji1787]
Mnh!Kwa mtu yoyote mwenye akili timamu, mwenye kuijua vizuri historia ya nchi yetu na amani yake, HAKUNA CHOMBO AMBACHO KINASTASTAHILI HESHIMA KAMA BAKWATA. MUNGU AENDELEE KUWALINDA NA KUWAONGEZEA HEKMA VIONGOZI WA BAKWATA
Hautaelewa naongea nini ila ninamaanisha na ni kweli amani na utulivu tuliyonayo Tanzania bakwata imechangia zaidi ya 80%Mnh!
Yawezekana usemayo, lakini ni vyema tukajua ni kwa nyanja gani mkuu.Hautaelewa naongea nini ila ninamaanisha na ni kweli amani na utulivu tuliyonayo Tanzania bakwata imechangia zaidi ya 80%
Nina mawanda marefu sana kuhusu hili naomba niishie hapo mkuuYawezekana usemayo, lakini ni vyema tukajua ni kwa nyanja gani mkuu.