AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,577
- 4,637
- Thread starter
-
- #81
Unataka ujue nimetenga kiasi gani katika swala ambalo kwangu ni sheria. ..Kulalamika kwa waislam ni kawaida
Wewe kama muislam umetenga kiasi gani katika pato lako la mwezi kusaidia,yatima,wajane na watalikiwa?
Hao mashekhe pesa wanapata zaidi ya kupiga fatha na kupewa asante?
Mkiambiwa talaka katika uislam ni jambo gumu sana muelewe
Umesema kweli, huyu alichokifanya hapa ni porojo tu, na wala hana uhakika kuwa hata hao wahusika ujumbe umewafikia.ingekuwa busara kama ungefuata utaratibu wa kuwasilisha malalamiko au kero zako ktk ngazi inyayo husika, unacho kifanya hapa hakina tija yoyote kwako, kama kweli unania ya kujenga fuata utaratibu
Me naona ungepita wewe na kuacha kuni- quote, mbona komenti ni nyingi.Ungepita tu, mambo ni mengi kuna kuchukua fomu za kugombea.
SGR ,Stand ya Dodoma,Tanzania kuwa uchumi wa kati ...Kina Tale msiba na kuhamia kijijini.
Vitu vingi mno hukuona Heading ya uzi?
Swadakta Ila utaratibu huo unaswihi kwenye nchi za Kiislamu akhui, zaka ni kiasi kidogo sana inatolewa na sadaka ni hizi Mia mbili Alfu tunazotoa Mkuu ndio uendeshe ofisi.UISLAAM UMEWEKA UTARATIBU WA KILA KITU NA UISLAAM UNAENDA NA WAKATI...
Viongozi wanaosimamia dini wamewekewa utaratibu wa kujipatia kipato. .. Nao ni zakaa na swadaqah. ..
Lakini hawa hawaridhiki wakajiongezea na namna nyingine za upigaji na wala hazipo katika taratibu za uislaam
Wakati wa Mtume, kesi hizi zilikuwepo na pesa zilikuwepo, ila Mtume alipelekewa kesi na hakudai hata senti iwe kwa mume au mke... INA MAANA MTUME ALIKUWA HANA GHARAMA ZA UENDESHAJI?
Unatumia akili kwenye mambo ya dini. .. Eti mwanamke anayehitaji talaka hashindwi kutoa 45,000...HIVI UNAIJUA SHERIA YA DINI INATAKA MWANAMKE ATENDEWE NINI?
MWANAMKE MPAKA ADAI TALAKA KWA QADHI NI KWAMBA KWA MUMEWE HAITOKI NA KUNA MGOGORO. ..
CHUKULIA MWANAMKE NI MTU WA KUKAA NYUMBANI TU... HIYO HELA YA KUWAPA BAKWATA APEWE HAKI YAKE YA TALAKA ANAITOA WAPI...?
USILOPOKE LOPOKE USILOLIJUA UNAONGEA DHANA T. ..
Ooh nlikua sijui hii kitu.Mbona imeshapitishwa kwa baadhi ya maswala kama hayo niliyoyataja kwenye post juu hapo kwenye post .. .
na wao wana mahakama?Nashukuru Mungu maaskofu wetu wanajitambua na hawatumiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka kuzipeleka wapiComment ziwe fupifupi nina shida nazo. [emoji41][emoji41][emoji41]
Unapozungumza mambo ya kisheria,usizungumze kwa kunusa nusaMkuu umejinasibisha kwamba huna mihemko wala huendeshwi kwa mihemko ila hoja yako haishabihiani na Hilo.
Inaonekana kulalamikia ada ya kupokelewa shauri. Umewahi kujiuliza BAKWATA KATA wanaendesha ofisi kwa fungu lipi? Je kuna hesabu gani nyuma ya hiyo ada (deligation, mwendo wa kutoka ofisi za kata nk.,).
Kadhi anaendesha ofisi kwa mfuko upi? Analipwa mshahara na nani? Deligation inayoamua kesi hiyo Ina watu wangapi? Nk.
Hatuhalalishi wala kutete tozo, bali kila jambo huamuliwa kulingana na wakati na nyakati husika na kwa vigezo vile vile.
Mwanamke;
Anatoa wapi shilingi elfu 15,000 au 30,000? Nikidhani unazungumzia kwamba ananyanyaswa kingono katika HARAKATI za kuipata haki yake au anazungushwa kwa uamuzi usiosahihi na nk.
Hivi huyu mwanamke ambaye unadhani anahitaji talaka 45,000 inaweza kuwa kikwazo cha kutimiza ombi lake?
Unajua shauri likifika kule gharama ambazo mwanamke anatakiwa aziingie kisheria kuipata hiyo talaka (anatakiwa kurudisha mahari), je Kama aliolewa kwa 200,000/- unadhani atakuwa na uwezo wa kutafuta 200,000/ alafu akose 45,000/?
Usikubali kuwa mjinga kwa hiari.
Haswaa zipo sababu za kutotakiwa kurudisha mahari. Walakini haiwezi kuwa ndio hukumu kubwa kwani jambo hilo husamehewa/ huachwa pale tu kunapokua na sababu za msingi zitakazo ainishwa kwa kadhi.Unapozungumza mambo ya kisheria,usizungumze kwa kunusa nusa
Mwanamke anaweza kudai Talaka,na wala mahari asitakiwe kurudisha
Tusomeni Dini yetu Chiefs
Utakuwa mgeni ww hapa jf, kwa taarifa yako tumeshuhudia utekelezwaji wa mambo mengi ambayo chanzo chake ni mawazo ya wana jf ambao ni Great Thinkers mfano wa mleta uziHizi nasaha zako zingekuwa ni nzuri laiti kama ungelizifikisha mahali husika na sio kuja kulaumu mtandaoni.
Kwa BAKWATA hizi ni nasaha zako kwao, na kwa sisi wengine utatufanya tuzidi kuwaona wapigaji tu, kama ulivyosema.
Au ulitaka tujifunze nini kwa haya uliyoyasema?
Kwanini usihoji kwanza uwepo wa hizo gharama toka kwa hao BAKWATA ?
Niwafikishie BAKWATA, nikawaoneshe jinsi walivyosilibwa [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] unataka kuzipeleka wapi
Ustadh umepanikMbona unakuwa na akili ndogo Maaskofu wanaingiaje hapa
Aisee kumbe kuna watu wajinga kiasi hiki? Hao maaskofu ndiyo balaa Kwenye upigaji na Hilo lipo waziNashukuru Mungu maaskofu wetu wanajitambua na hawatumiki
Kuna wapumbavu wanaleta siasa kwenye jambo serious. ..Unapozungumza mambo ya kisheria,usizungumze kwa kunusa nusa
Mwanamke anaweza kudai Talaka,na wala mahari asitakiwe kurudisha
Tusomeni Dini yetu Chiefs
Ndio afike kwa qadhi sasa... Mbona hafiki sasa wanamtoza pesa tu. ..Haswaa zipo sababu za kutotakiwa kurudisha mahari. Walakini haiwezi kuwa ndio hukumu kubwa kwani jambo hilo husamehewa/ huachwa pale tu kunapokua na sababu za msingi zitakazo ainishwa kwa kadhi.