BAKWATA wafanya Maandamano kupinga Mapenzi ya Jinsia Moja, Vitendo vya Ukatili wa Kijinsia na Mauaji

Ushoga awezi komeka kwa maandamano na kelele hata siku 1 msheikh wameuwa bendela fuata upepo leo wanaandamana kupinga ushoga hali yakuwa kwenye majumba yao kuna watoto wakike wanao jiuza na mitaani wanakoishi kuna madangulo na vibanda via kamali na maduka ya pombe kila mtaa na baadhi ya hao makahaba kila siku ya iljumaa wanaigia msikitini

kibaya zaidi bakwata iko karibu sana na serikali inayo ruhusu uchafu wote huu kabra ya kuandamana mlitakiwa kujitenga na serikili kwanza mkabai kama raiya wengine unafiq mbaya
 
Wakristo mbona tupo kimya sana? Wenzetu wameanzisha na sisi tuwaunge mkono. Kataa mapenzi ya jinsia moja utaenda kumwambia nini muumba wako siku ukifa?😡😡😡😡😡
Kwa hiyo mafundisho na mahubiri huko makanisani huwa hauyafuatilii?

Askofu Thaddeus Yuda Ruwaich alipoongea juzi hukumuelewa hadi abebe bango?
 
Wakristo mbona tupo kimya sana? Wenzetu wameanzisha na sisi tuwaunge mkono. Kataa mapenzi ya jinsia moja utaenda kumwambia nini muumba wako siku ukifa?😡😡😡😡😡
Agosti 2014 wakati ni Mchungaji wa kawaida, Mwamakula aliwaongoza Wachungaji 14 kutoa msimamo kupinga ushoga kufuatia Sinodi ya Jimbo la Amerika Kaskazini Kanisa la Moravian kupitisha maamuzi ya kuwabariki mashoga na wasagaji katika madaraja ya Uchungaji na Uaskofu. Tamko lile lilisainiwa na Mwamakula na lilikaa muda mrefu katika tovuti ya Wizara ya Mambo ya Ndani wakati huo Matthias Chikawe akiwa Waziri wa Mambo ya Ndani.

Baada ya Awamu ya Tano kuingia madarakani, tamko lile likaondolewa katika tovuti ya Wizara. Hatujui sababu ya kuliondoa, lakini hicho ndio kipindi marafiki wa viongozi wa Kanisa hilo la Moravian la Marekani walikuwa karibu sana na Utawala wa Awamu ya Tano. Baada ya tamko lile Mwamakula alihojiwa na BBC na baadaye alianza kuwindwa kama suala au paa!

Watu walio karibu na baadhi ya watawala katika Awamu ya Tano walitumia mitandao ya kijamii kupotosha kuwa Askofu Mwamakula anaunga mkono ushoga. Baadhi ya watu hao wangalipo hadi leo. Mkiendelea sana kupotosha, Askofu anaweza kuanika mengi zaidi. Msimfikishe huko! Kama hakuogopa kutembea wakati wa giza totoro ataogopaje kutembea wakati wa mbalamwezi?

Mwana Kondoo Ameshinda! Tumfuate!
Askofu Emmaus Bandekile Mwamakula
 
Kwa hiyo mafundisho na mahubiri huko makanisani huwa hauyafuatilii?
Askofu Thaddeus Yuda Ruwaich alipoongea juzi hukumuelewa hadi abebe bango?
Tunapinga uku tukiwa tumejifungia ndani? Tunaogopa nini tutoke hadharani, dunia yote ijue kuwa Watanzania hawaungi mko huu ushetani.
 
Inawezekana sasa hivi mashoga wanaonekana sana, lakini ni wakati wa Magufuli ndipo Mashoga walifanikiwa zaidi kujenga mizizi ndani ya nchi na kufanikiwa kuwa kikundi taasisi ambacho chenyewe na maslahi yao havigusiki.
Ndipo walipoweza kusimika watu wao kila mahali kwenye mifumo yetu.
Hawa tunaowaona na kuwasikia awamu hii ni mashoga wehu walioathirika kiakili
 
Tunapinga uku tukiwa tumejifungia ndani? Tunaogopa nini tutoke hadharani, dunia yote ijue kuwa Watanzania hawaungi mko huu ushetani.
Makanisani ni kujifungia ndani? Kwani yakihubiriwa makanisani hubaki kuwa siri isiyotakiwa kutoka nje?
kuna wakati wameunga mkono hayo mambo? Ukifuatilia nchini waathirika zaidi ni akina nani?
 
Wangetoa siku kadhaa za kufanya maombi.
Niko pamoja nao pia
 
Kuna mambo ya muhimu zaidi si hayo ya chumbani ambayo watu watafanya tu
Nimekwambia hayo unayoyaona wewe ni ya muhimu zaidi,tafuta njia zako uyashughulikie au tafuta wenzako muwe pamoja,umekaa hapo unachezea tu keyboard huku ukiwapangia wenzako lipi la muhimu ili walifanye wao? Wake up and take action.
 
Nimekwambia hayo unayoyaona wewe ni ya muhimu zaidi,tafuta njia zako uyashughulikie au tafuta wenzako muwe pamoja,au inachezea tu keyboard ukipangia wenzako lipi la muhimu ili walifanye wao? Wake up and take action.
Na wewe huwezi nipangia kipi cha kukoment kama umeona haifai pita hiviii
Mnajifanya kupiga huku nyie Ndio mnawachakata mashoga kwa siri anzeni na nyie kuwaacha kuwachakata watakosa soko tatizo sio mashoga tatzoo ni nyie mnaowafira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…