BAKWATA wana haki kisheria kugawa mali za wanandoa baada ya kuvunja ndoa?

Hatua za utoaji talaka ni lazima walengwa mume na mke wapitie kwenye vyombo vya usuruhishi(Reconciliation body) kwa waislam BAKWATA wengine ni BARAZA LA USURUHISHI na hao wakishindwa kuleta suruhu watatoa nyaraka ya kutoa tamko kwamba wameshindwa kutatua huo mgogoro wa ndoa na tamko hilo litafikishwa mahakamani kwa kufungua maombi ya talaka(application of divorce) sababu chombo chenye uwezo wa kuvunja ndoa ni mahakama pekee pale inapooneka ndoa imefikia hatua ya kutoweza kurekebishika kuwa kama awali(Irreperable situation) hivyo BAKWATA wana jukumu la kuleta upatanishi tu na sio kutoa talaka wala kutoa mgawanyo wa mali(matrimonial properties).
 
Sasa mbona umeanza kusema bakwata elimu ndogo halafu na wewe unapita mulemule walipopita hao bakwata?? Hayo yoote uliyoongea ndio ameeleza jamaaa kuhuus dadake nashangaa bawe unarejea yale yale. Mfano jamaa kasema dadake akikataa atatok kweny uislam bawe umerudia hilo. Halafu bado unasrm bakwata elimu chache
 
Kaka Allah akujaalie kheri naomba no. Yako or nicheki WhatsApp 0717607898
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…