BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Upo sahihi, nd maana wamesema mahakama ikijiridhisha kwa kuangalia mazingira, afya ya mtoto na vengine kama mila na desturi za jamii yao.

Amemanisha nini. Amemanisha kwamba; mtoto wa aina hiyo akiwa haendelei na masomo(kwasbab yyt ile), ana afya nzuri, jamii yake haina pingamizi na hilo, na afya yake ni nzur maana kwamba ameshabalegh na mazingir mengin kama mwili wake n.k pia yupo ktk mazingira hatarishi(kwa namna yyt unayoifikiria kichwan),
SAsa huyu kwann asiolewe ili asitiriwe ??
 
Sheria ya kimasikini ambayo watu wake hawathamini elimu. Waachwe wafanye watakavyo.
Ndoa zinawashinda watu wazima na uzee wao huyo wa miaka 14 atawezqje kama sio unyanyasaji.
Mmekariri ndoa zina washinda na ni kwasbab tu mnashindana na wanaume.
 
Sheria ya kimasikini ambayo watu wake hawathamini elimu. Waachwe wafanye watakavyo.
Ndoa zinawashinda watu wazima na uzee wao huyo wa miaka 14 atawezqje kama sio unyanyasaji.
Nyie watu wazima Ndoa zinawashinda kwa sababu mlianza kutoa mbwa katika miaka hiyohiyo ya 14 kwa masela tofautitofauti na wenye size tofauti za mikuyenge,sasa mtawezaje kudumu kwenye ndoa yenye mkuyenge mmoja size ya kati?.Kifupi mlishaharibika na hamfai kwa ndoa.
 
... niki-comment huu uzi naweza kuchafua hali ya hewa! Itoshe tu kusema ni ubakaji unaotaka kuhalalishwa kwa visingizio visivyo na mashiko!
Sheria imekuwepo tangu 1971 kumbuka hilo.
 
Halafu mtoto wa darasa la 6 kuwa mapepe ni makosa ya mzazi. Malezi mabovu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Uko mwanza wazee wakishapewa ngombe wanaozesha hata mtoto ajamaliza shule ya msingi
 
Inahusu nini kuolewa kwangu, wakati hapa inaongelewa sheria ya nchi na sheria ya dini.

Kwani sheria za nchi zilitazama nani kaolewa lini?
Wewe jibu swali uloulizwa ..je uliolewa na mingapi?
Maana bwana Mudy aliowa cha miaka tisa
 
Wanaharakati wakilivalia njuga hili kitanuka
Sheria imekuwepo mwaka wa 52 sasa huu,vp unaweza kuonesha matitizo waliokumbana nayo walioolewa wakiwa na miaka 14 huko nyuma ukianza na bibi zako?.
 
Mimi ni mmoja kati ya hao washenzi nikiwa pamoja na babako,mamako,babu yako na bibi yako kwa maana tumeiishi hii sheria kwa miaka 52 sasa.
 
Wewe jibu swali uloulizwa ..je uliolewa na mingapi?
Maana bwana Mudy aliowa cha miaka tisa
Inahusu nini kuolewa kwangu, wakati hapa inaongelewa sheria ya nchi na sheria ya dini.

Kwani sheria za nchi zilitazama nani kaolewa lini?
 
Sheria imekuwepo tangu mwaka 1971 na sasa inamiaka 52.Unafikiri ni kitu kipya hata utoe sababu yako hiyo?.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…