BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA) limependekeza kifungu cha Sheria ya Ndoa ya mwaka 1971 kinachoruhusu msichana wa umri wa miaka 14 kuolewa kwa amri ya mahakama kisiondolewe.

Akitoa maoni hayo Mwanasheria Mkuu wa BAKWATA, Hassan Fatihu alipowasilisha mapendekezo kwa Tume ya Kuangalia Jinsi ya kuboresha Taasisi za Haki Jinai nchini amesema sheria ya ndoa ibaki vilevile kutokana na ukinzani uliopo kati ya sheria ndoa na sheria ya mtoto pamoja na imani za dini.

“Sisi Waislamu tunaamini mtoto wa kike akishavunja ungo anaruhusiwa kuolewa, nami naruhusiwa kuoa haijalishi nina miaka 10, 12 au 13,” ameeleza Fatihu.

Ameongeza kuwa sheria ya mtoto inaeleza kuwa mtu yeyote aliye chini ya miaka 18 ni mtoto, na kwamba sheria ya ndoa imeruhusu mtoto kuanzia umri wa miaka 14 kuolewa kwa ridhaa ya mahakama ambapo itaangalia vitu vingi ili kuruhusu ndoa hiyo ikiwa ni pamoja na afya ya mtoto, mila na tamaduni za jamii husika.

Mjumbe asiuawe

=======

BAKWATA imependekeza kutoifanyia marekebisho Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 inayoruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na umri wa miaka 15 au miaka 14 kwa kibali cha wazazi.

Mtazamo huo unakinzana na maoni ya wanaharakati wa haki za watoto na wanawake ambao wamekuwa wakipinga utekelezaji wa sheria hiyo kuwa inakinzana na Sheria ya Mtoto ya Mwaka 2009 inayomtambua mtoto hadi umri wa 18.

Julai 8, 2016 Mahakama Kuu ilitoa hukumu ikikubali kwamba vifungu hivi vya sheria ya ndoa vinapingana na Katiba kwa kuweka umri tofauti wa kuoa/kuolewa kati ya mtoto wa kike na wa kiume.

Hukumu hiyo ilitolewa kufuatia kesi iliyofunguliwa na Mkurugenzi wa Shirika la Msichana Initiative, Rebeca Gyumi aliyekuwa akipinga kifungu cha 13 na 17 vya sheria ya ndoa kinachoruhusu mtoto wa kike kuolewa akiwa na miaka 14 kwa kibali cha mahakama, na miaka 15 kwa ridhaa ya wazazi.

Kwa mujibu wa BAKWATA, mtoto mwenye umri wa miaka 11, 12 au 13 aliyeingia kwenye kipindi cha balehe aruhusiwe kuolewa kwa uhalali wa mahakama utakaozingatia vielelezo vya kimazingira. “Mtoto wa kike ana miaka 11, 12 hajaendelea na elimu, kwa nini asiolewe? Ukimuacha huyu ni matokeo ya kupata mimba mtaani.

“Simaanishi kila mtoto wa umri huo aruhusiwe kuolewa ila mahakama itajiridhisha afya yake, mazingira na mengineyo,” alisema mwanasheria wa baraza hilo, Hassan Fatiu.

Chanzo: Mwananchi
Mimi swali langu kwa ndugu wasomi via vya uzazi vya mwanamke vinakuwa tayari kimapambano umri gani??
 
Umri huo binti hata hawezi furahia penzi hata kidogo!

Labda awe mwenye kilanga na awe alishaanza kuliwa hovyo!

Lakini binti alojitunza hata akiolewa atakuwa anatumika tu lakini yeye mwenyewe kule kujitambua na kufurahia penzi kunakuwa hakupo kabisa!

Sasa Mwanaume sijui unajisikiaje labda iwe mbinafsi uwe mtu usojali.
 
Hao ndio huwa vilizi na kununa nuna kuzidi sababu bado ni Mtoto!

Halafu Kwa kupekua Simu za Mwanaume usipime!
 
Umri huo binti hata hawezi furahia penzi hata kidogo!

Labda awe mwenye kilanga na awe alishaanza kuliwa hovyo!

Lakini binti alojitunza hata akiolewa atakuwa anatumika tu lakini yeye mwenyewe kule kujitambua na kufurahia penzi kunakuwa hakupo kabisa!

Sasa Mwanaume sijui unajisikiaje labda iwe mbinafsi uwe mtu usojali.
Hakuna mwanamke bikra ambae anafurahia kufanya mapenzi katika siku ya kwanza...Always siku ya kwanza kutolewa bikra ni lazima asikie maumivu ambayo huambatana na damu! Ila siku zinavyokwenda huwa anazoea na kulifurahia tendo.

Hakuna mtoto ambae anatoka damu ya hedhi kila mwezi! Utoto unakoma pale tu damu ya hedhi inapoanza kutoka

Hapo ni kiashiria kuwa utoto umeisha na sasa anaingia katika hatua ya kuwa mama.

Miaka 14 , binti anapata mimba,l na anazaa kawaida tu bila ya shida yoyote na pia ananyonyesha bila ya wasiwasi.
 
Kwani utoto unapimwa Kwa kupevuka kijinsia tu?!
Ni kupitia tafiti za kisayansi imeonekana umri chini ya miaka 18 anakuwa ni mtoto kupitia namna yake ya kufikiri juu ya mambo na anavyoenenda na kuamua mambo anakuwa ni tegemezi kiufahamu.
 
Umri huo binti hata hawezi furahia penzi hata kidogo!

Labda awe mwenye kilanga na awe alishaanza kuliwa hovyo!

Lakini binti alojitunza hata akiolewa atakuwa anatumika tu lakini yeye mwenyewe kule kujitambua na kufurahia penzi kunakuwa hakupo kabisa!

Sasa Mwanaume sijui unajisikiaje labda iwe mbinafsi uwe mtu usojali.
Aisee upo sahihi 100% binafsi nimeanza kufurahia sex baada ya kufikisha 27yrs .
 
Sikubalian nao kabisa binti wa 14 ni ubakaji wa watoto tena wafungwe maisha.

Watoto wahimizwe kusoma ili kuondoa ujinga kichwan na sio kuwaza waolewe tu ndoa zenyewe ngumu na mateso mtoto atawezaje kuhimili visa vya mama mkwe na wifi kama mimba tatizo tutawekea njiti
Njoo uwakamate huku bush wengi wamepigwa mimba na hakuna anaejsli.
 
Mzee wa papuchi mwenyewe alioa mtoto wa miaka tisa.

Ao watu wa mnyazi wanachowaza ni mbususu tu na namna ya kuzichakata

zikiwa za motomoto.
[emoji23][emoji23][emoji23] we jamaa
 
Wakiristo waliowengi akili zenu hovio kabisa mnazidiwa akili na wapagani kwa sababu mpagani anatambua kuwa mtoto akisha anza kuonda damu ya kila mwezi sio mtoto
tena kawa mama yampasa kuolewa kabla ya akaleta wajukuu nyumbani na kutoa mimba sasa nyinyi wakiristo mnapinga nn?
Nimepinga nini?!
 
Nilikua bado mtoto sana, tusimame kwenye ukweli tusipotoshe

Miaka 16 ni mtoto anaehitaji mwongozo na uangalizi wa wazazi, kusema eti anaweza kuolewa ni ukatili kwa mtoto
Ulikuwa mtoto ila Fredy alikuwa anakupelekea moto kama kawa 🤣
 
Sikubalian nao kabisa binti wa 14 ni ubakaji wa watoto tena wafungwe maisha.

Watoto wahimizwe kusoma ili kuondoa ujinga kichwan na sio kuwaza waolewe tu ndoa zenyewe ngumu na mateso mtoto atawezaje kuhimili visa vya mama mkwe na wifi kama mimba tatizo tutawekea njiti
Umesoma na umekielewa kilichondikwa? rudia tena kusoma ndio utoe wazo lako ukizingatia kwa uliyoyasoma usikurupuke kama hujaelewa kaa kimya, maana hujaelewa ulichokisoma
 
Yaani mtu amesoma sheria mpaka kuwa mwanasheria mkuu wa Bakwata haoni aibu kuongea Upumbavu kama huu...?...anajua mtoto wa miaka 14 alivyo? Kweli ataweza kubeba majukumu ya kuwa mke achilia mbali kuwa mama? Na shule je?.

Aisee...inasikitisha sana.
Soma mpaka mwisho. Kule mwishon hajasema wote wa miaka hiyo waolewe. Ameeleza vizur kwamba mahakam ijiridhishe kwa kuangalia maziringira mila na desyur za jamii husika pamoja na afya ya uyo mtot, bado hujapta kit hapo? Ila najua huwes elewa ataivo
 
Sikubalian nao kabisa binti wa 14 ni ubakaji wa watoto tena wafungwe maisha.

Watoto wahimizwe kusoma ili kuondoa ujinga kichwan na sio kuwaza waolewe tu ndoa zenyewe ngumu na mateso mtoto atawezaje kuhimili visa vya mama mkwe na wifi kama mimba tatizo tutawekea njiti
Ila kutoa mbwa hovyo mitaani ni sawa?.
 
Yaani mtu amesoma sheria mpaka kuwa mwanasheria mkuu wa Bakwata haoni aibu kuongea Upumbavu kama huu...?...anajua mtoto wa miaka 14 alivyo? Kweli ataweza kubeba majukumu ya kuwa mke achilia mbali kuwa mama? Na shule je?.

Aisee...inasikitisha sana.
Hivi unapajua uswahilini wewe?Hivyo unavyovionao ni vitoto,basi ndiyo vinafumaniwa na waume za watu kila uchao.
 
Anyway Mkuu nisingependa nicomment kuhusia na imani za watu ila ni suala la akili ya kawaida hivi mtoto wa miaka 14 kweli yupo tayari kwa changamoto ya kusimama kama mama au mke?...naamini hakuna mzazi mwenye akili yake timamu yupo tayari kumuoza binti yake wa miaka 14..NEVER...
Endelea kuishi mjini tu wewe!Huku vijijini hao wa 14 wanaolewa na kutunza familia kubwa tu.
 
Back
Top Bottom