BAKWATA yaishauri Serikali ifafanue mashaka katika Mkataba wa Uwekezaji wa bandari

Umeandika kama una busara, kumbe upimbi tu. Sijui watu wengine huwa mna shida gani.
 
TICTS walikuwepo bandarini kwa miaka 22....ulifafanuliwa ?!!!
Tofautisha 1990s na mwaka 2023!

Vizazi vya kijima vimeshakuwa phased out tuko kwenye information age. Yani hata kitendo cha Biden kujikwa huko marekani ni within minutes Africa nzima inajua.
 
Mama kilemba kapokelewa Dubai konyeshwa tabasabu na waarabu wamemtembeza tembeza dubai ..akalainika akawa anachokumbuka nikuanguka sahihi tu.
Tena akaja kusifia walimpokea na Ving'ora sio kama Yueseii
 
1. Makubaliano yawe ya muda wa miaka mingapi kwani kuna mradi gani kapewa DPA kwenye haya makubaliano?

2. Hoja zako namba 2 hadi 7 zipo kwenye kifungu kipi cha haya makubaliano?
 
Nchi zote wamewakataa DP World ila sisi viherehere ndio tunakumbatia huo mkataba ili watu flani wapige hela.

Magu alikataaga upuuzi wa aina hii ndio maana hata mikopo ya gharama nafuu walikuwa wanambania.
 
Kifungu kipi hakijafafanuliwa?

Mali ya Umma huo umma umeiendesha kwa ufanisi? Mmefanikiwa nini kwenye kuiendesha nyie umma hadi kuifaidisha nchi?
unaakili timamu kweli mpaka sasa waziri mkuu hasemi ukomo wa muda halafu bado unaendelea kukaza fuvu
 
Serikali inatakiwa ifafanue kifungu hadi kifungu kwenye huo mkataba sababu watu wengi wameusoma huo mkataba.
Kutoa matamshi ya jumlajumla tu hawataeleweka.
 

manyumbu wanataka kuwasikia viongozi wa chadema wanasema na mapadri na wachungaji na wao ndio wanamiminika mitandaoni kutukana na kukebehi ukimuuliza kuhusu mkataba hajui chochote. kwa taarifa yenu mkataba na Dp world utafanyika na hakuna wa kuizua kelele za chura hazimzuii simba kunywa water
 
Hongera BAKWATA kwa kuliona hilo mbarikiwe sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…