johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tatizo la waislamu hawa hawa so called Bakwata ni kujali vitu petty kama hivyo!Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri.
Cheti hicho kimesainiwa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir.
RIP Magufuli!
kulikuwa hakuna haja kwa jambo kama hilo. respect earned but si lazima mpaka chetiBakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri.
Cheti hicho kimesainiwa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir.
RIP Magufuli!
Mbona kama unateseka? umeumia Eee!Tatizo la waislamu hawa hawa so called Bakwata ni kujali vitu petty kama hivyo!
Hicho cheti kiko wapi? Baraza la waislamu la Kenya ndio wamentunukia Uhuru cheti na kimeoneshwa. Sasa sijui wewe ni msemaji wa Bakwata? Angalau ungeliweka ushahisi sio maneno matupu tuBakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri.
Cheti hicho kimesainiwa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir.
RIP Magufuli!
Kuna mambo yanahitaji jicho la tatu
Lile tukio lilipangwa?Kuna mambo yanahitaji jicho la tatu
Ila wao kuitwa magaidi ni sawa?Tatizo la hawa wenzetu, "Waislamu", wanapenda sana kuheshimiwa wao na dini.
Lakini, wao ndio wa kwanza kuwaita watu wengine, "makafiri".
Waislamu, acheni unafiki. Na ninyi kuweni na heshima kwa dini za wenzenu.
Aliyemuhujum sheikh Abdulrogo ni nani?Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri.
Cheti hicho kimesainiwa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir.
RIP Magufuli!
Kwani kuitwa kafiri au makafiri ni tusi?Tatizo la hawa wenzetu, "Waislamu", wanapenda sana kuheshimiwa wao na dini.
Lakini, wao ndio wa kwanza kuwaita watu wengine, "makafiri".
Waislamu, acheni unafiki. Na ninyi kuweni na heshima kwa dini za wenzenu.
Bakwata imetoa Cheti cha pongezi kwa Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya kwa kitendo chake cha kusitisha hotuba yake wakati wa kumuaga hayati Magufuli ili kuheshimu adhana ya ibada ya adhuhuri.
Cheti hicho kimesainiwa na Mufti sheikh mkuu Aboubakar Zubeir.
RIP Magufuli!