Kilembwe
JF-Expert Member
- Aug 19, 2009
- 2,058
- 1,609
Huo..mshangao ndio dakika mbili nzima.....?Kenyatta alinyamaza kwa mshangao inakuaje shughuli kubwa Kama Ile serikali ya Tanzania ilishindwa kuzibiti mapema kilichotokea, ilitakiwa waumini waruhusiwe kuendelea na ibada ila kipaza sauti kisitumike mchana ule.