King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Kwanini jicho la tatu mkuu?
Mwanasiasa asiyejua mila, desturi, imani za watu na kuziheshimu hawezi toboa
Hongera kwake uhuru kenyata
Tundu asiyejua hata desturi za misiba na heshma kwa wafiwa ana la kujifunza hapa
Vaa viatu vya lissu umiminiwe risasi 38 kisha 16 ziingie mwilini ,uwe kwenye coma kwa siku 5 ,damu zaidi ya 90% ilipotea,ufukuzwe ubunge,usipewe fedha za matibabu kisa "MTU FURANI" kakataa then huyo "MTU FURANI" umuonee huruma wakati alikuwa anataka ufe? Kufichua Ndege kukamatwa ndio usaliti? Dunia kijiji hauwezi kuficha kitu,kuhoji elimu ndio unaua mtu?