Balaa jingine, Wataalamu wadai Gonorea halitibiki tena…..!

muarobaini una quinine ndani yake ambayo ni antimalaria, ila hii active component iko pamoja na toxic chemicals nyingine nyingi sana ndio maana huwa haruhusiwi mtu kuinywa kavu kavu ingawa huku mtaani watu hunywa tu bila kujua. kilichofanyika walinakili strucutre ya quinine kutoka kwenye mwarobaini na kutengeneza convetional compound at lab level na ndio inayotumiwa sasa.

kwasababu ya resistance ya hawa plasmodium basi imebidi iwepo combined formula ndio dawa mseto sasa yenye dawa 3 lkn na yenyewe bado ina changamoto kwenye bio-availability na metabolism so sasa natafitiwa kwa kuwekewa polymers kama nanoa carriers ili iweze kupelekwa kwenye target na zaid iweze ku cross blood - brain barrier na parasite barrier.pia kutarget ili kuweza kumuua plasmodium akiwa kwenye first life cycle yaani kwenye vector gut.
 
Mkuu Kiranga hebu fafanua kidogo hapo kwenye bold.

Bacteria wanafanya evolution, wana mutate kushindana na dawa, wanaoshindwa na dawa wanakufa, wanabakisha wenye tendency ya kushinda dawa, ambao nao vizazi vyao vinakuwa na nguvu zaidi ya kuzishinda dawa, mpaka wanatokea sugu kabisa ambao dawa haiwaui.

Kila mutation yenye uwezo mkubwa zaidi wa kuishinda dawa inakuwa na nafasi kubwa zaidi ya kuzaliana, baada ya muda dawa inakuwa haifanyi kazi inabidi kutafuta dawa mpya.

Evolution is more evident in bacteria because of their small sizes, it doesn't take millions of years to manifest itself, it take a couple of years, decades at best.
 

bongo kwishey
 

Ahsante sana mwalimu.

Sasa nishajua kwa nini huwa nakukuta pale maeneo OCEAN ROAD............
 

Ahsante kwa shule mkuu.... Kiranga

Jf kweli ni kitivo cha fikra pevu
 
Last edited by a moderator:
ni kweli dawa za malaria zinatokana na cinchona na asili ya mmea huu ni america ya kusini na quinine inatolewa kutoka humo. huu muarobaini asili ni india na ndo maana unaitwa azadirachta indica. kiukweli hakuna studies za kuaminika zinazoonyesha kwamba muarubaini unatibu malaria ila unatumika zaidi kwenye magonjwa ya ngozi/vipodozi na kuhifadhia nafaka kama dawa ya asili ya kuua wadudu . miarobaini ipo mingi sana dar ila ukitaka kuona cinchona nenda lushoto. bila kusahau hii dawa ya alu moja ya ingredients zako zinatokana na mmea uitwao artemisa affra (kitu kama hicho) ambao hupatikana huko china. hivi mababu zetu walikuwa wanatumia dawa gani kwa ajili ya malaria?
 
Gono inayoambukizwa toka kwa mbwa huwa ngumu sana kutibika.Hata hapa Tz wako wanaougua hii.Nilishangaa jinsi wabongo walivyobuni tiba.Wanachoma dawa ya kutibu ng'ombe inaitwa OTC inj.Ila huenda hata hii inaweza kudunda.Mwenyezi Mungu atunusuru!
 
kwani Gono nalo laua baada ya siku ngapi.....
Sijui lina ua baada ya muda gani, sema lina kero za hapa na pale.
Nakumbuka zamani kipindi kile UDA wana mabasi aina ya Mercedes Benz, tulikuwa ndani ya UDA likapita kwenye korongo moja kubwa kwa ule mtikisiko kichwa cha m.b.o.o cha abiria aliyekuwa amesimama karibu kikadondoka, watu tukashtuka mno, jamaa akatuambia alianza kuliwa na gono muda mrefu na sasa ndio kichwa kimekatika.
Kwa hiyo sio ugonjwa wa kuudharau.
 

Hiyo sio ngeli Mutambuzi ni pharmacology!!
 
Halafu kuna watu bado wanabishia "evolution by natural selection through mutation".
unajua nini Kiranga most of pple huwa wanafikiri mutation ni kwenye growth cells tu na kwamba gametic cells hazihusiki kumbe wanajidanganya.

mfano bacteria kwa umbo lao dogo wanapronounced mutation tenda ndani ya muda mdogo sana ukilinganisha na higher organisms na hii ni sawa kwa lower organisms. katika challenge kubwa sana ambayo wataalam wa science ya viumbe hai wanakutana nayo ni prediction ya gene mutation na end result yake. tungeweza kulifanya hivi nafikiri tungekuwa sasa kila tatizo limetibika ila bado ili limekuwa ni fumbo sana na tena gumu.

binafsi huwa wala sipotez muda kutaka kumwaminisa mtu juu ya mutation na ultimate result yake na kwann tunasema vijidudu vinajaenga resistance. wakati mwingine hueleweki hata na baadhi ya wana sayansi.
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi bora umetujuza na mwenye kusikia na asikie.

Wazee wa kugegeda ovyo kazi kwenu.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:


Mwalimu hapa inabidi utumie teaching aid .. Umeniacha mbaliiiiii


Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…