Balaa jingine, Wataalamu wadai Gonorea halitibiki tena…..!

Balaa jingine, Wataalamu wadai Gonorea halitibiki tena…..!

I don't fault.

Mine is skepticism.

The only difference is its level.

The number(s) theory is more convincing than the theory of evolution.

Then detail your skepticism with the requisite distinctive exactitude.

Else you risk misconstruing yourself as a buffoon who is skeptic about evolution just because it is a theory.

There is no single thing one should not be skeptic about.

Including skepticism itself.

Doubt everything. Doubt even doubt itself.With a healthy degree of exactitude.
 
Dah!
' Kiranga bana!
'
Kwenye suala la maradhi na tiba "Hawa watu" si ndio wanaohusika?
'
Au hujui wenye jukumu la kufanya tafiti ya maradhi na kuipata dawa?
'
Kama hujui basi wanaohusika ni "Hawa watu"!

Hujajibu maswali.
 
Last edited by a moderator:
:confused2::confused2::confused2:KWA HIYOKAKA MTAMBUZI UNAMAANISHA KWA SASA, NO KUONJA TENA NJE, AU TUKITAKA KUONJA NDIYO TUTUMIE DAWA YA PENZI , MWE, MWE , MWE, MBOMBO NGAFU!!!!
 
Mgegedo chiboko

There are currently 927 users browsing this thread. (39 members and 888 guests)
 
Hii imetokana na matumizi mabaya ya Dawa (Ant biotic) kwakuwa kila anayeugua anakuwa Daktari wa kujitibu binafsi anajifanyia prescription ya dawa na dawa zenyewe hazimalizi akipata nafuu kidogo anaacha kutumia. Matokeo ni resistance ya Neiceria ghono ccoci, hii inatokea hata kwa magonjwa mengine malaria ikiwemo ndio maana unaona kila mara tunabadilishiwa dawa mara SP, Mseto, Arthmeter nk nk
 
Dah!
'
Kiranga bana!
'
Kwenye suala la maradhi na tiba "Hawa watu" si ndio wanaohusika?
'
Au hujui wenye jukumu la kufanya tafiti ya maradhi na kuipata dawa?
'
Kama hujui basi wanaohusika ni "Hawa watu"!

unless hujui unachokisema ama unaskia stori za kwenye baraza unaziamini.

je umewah kujiuliza lifestyle yako inaathiri vipi matibabu unayopewa?? unlishawah kujiuliza kwann watu ulazwa hosp?? ukijibu hapo nitakwambia kitu.
 
Mkuu salama. tunasikia Mzee Ambilikile wa Samunge kaoteshwa tena labda safari hii resistant gono wataponea huko. Alisema tiba itaanza February tunasubiri tangazo rasmi ili wenye imani zao waende.
 
Back
Top Bottom