Balaa la kuazimisha gari!!!

Huu ushauri ni muhimu sana.

Nimependa zaidi ushauri huu:
"Mpe gari mtu mwenye uwezo wa kulitengeneza endapo atakutana na majanga".
 
Kuna jamaa mmoja aliazima gari ya kazi aende nayo kazi Fulani, aisee amerudisha vitu mule ndani hakuna siyo spana siyo Nini, afu kibaya zaidi sijui alifanyaje injia mlio umebadilika kabisa unalia kama kopo la chooni tupu ukidondosha, afu kwenye gear zote wallah! dooh ikabidi tu nivunje ukimya kumuuliza akasema hajaviona na gari nilimpa siyo nzima nk. Mie fresh tu, baada ya muda nikamdaka kwenye gari ya mtu mwingine ya kazi, flash yangu ime, jerk imo, spana nk, akaona aibu na nilivichukua mpaka leo hakuna urafiki.
 
Mkuu hata baiskel hujawahi azima/azimisha ikarudi na pancha kibao

JF ina member 620k+

Post ndani ya uzi hazifiki hata 100.

Walichangia mpaka sasa hawavuki hata 30.

Kuna ubaya watu 30 kuwa na magari kati ya watu 620k+?
Hakuna ubaya mkuu wangu, ndiomaana kuna memba amekomenti kwamba mimi ya yeye tulaiki tu kwasababu hatuna cha kukomenti...😊☺
 
Chawa ndo nongwa maigizo mengi mfukoni anaten mbili! Bora mwenye mkwanja na hawanaga rough uendeshaji
 
Nimekumbuka nilivokuwa napenda kufanya ngono kwenye gari enzi za ujana wangu. Ule ni ulevi nashkuru Mungu niliacha
 
Huu ushauri ni muhimu sana.

Nimependa zaidi ushauri huu:
"Mpe gari mtu mwenye uwezo wa kulitengeneza endapo atakutana na majang
Ni ushauri kuntuu, si kila mshkaji unampa funguo!! Mtu anakwambia tu nitaweka wese
 
Lazima aje kwangu akae miezi 2 kama hawezi kulipa.
 
Usiazimishe gari mtu aise tena kama huyo mtu yeye hana gari, au gari yake ni cheap kuliko yako. Huwa hawajali wanataka kuvimba, kuna kipindi leseni iliisha so nikawa na dereva sasa dereva anataka weka ligi na boda na bajaji. Ilidi nimwambie aise kushindana na chombo ya milioni 2 wakati wewe unaendesha 32m ni ufala mkubwa
 
Unamdekeza sana gari likiharibika sidhani kama atakuchangia
 
Kuna watu wako careless sana
 
Dah nmerud home jion wife ananibia kalikwangua gari kidogo alipokuwa analitoa nje …….nlikaa nje kama lisaa hasira zipungue nsije mchenjia…..inauma sana wazeee😅😅 simuachii tena ndinga
 
Dah nmerud home jion wife ananibia kalikwangua gari kidogo alipokuwa analitoa nje …….nlikaa nje kama lisaa hasira zipungue nsije mchenjia…..inauma sana wazeee😅😅 simuachii tena ndinga
Hawa nao,mi wife kuna wakati nilikuwa na CR40 alikuwa anatoa nje akalimenya kwa ubavuni, nikamuuliza akajibu "baba nanii hilo geti dogo bana itabidi ulitanuege" 😂😂😂
Simple ivo wala hana habari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…