[emoji2]pole sana brother!Umenikumbusha nimewai kuazima gar ya mshikaji wangu kwenda kufanyia ngono
Kbla hat sijafika eneo la tukio nakatka kurudi rivers ili nipaki vzr aloo nilibutua taa nzima ya nyuma hasara kutafuta taa tabata nzima had Uganda kwani gar zenyewee Ni hz vistaa balah
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Gari yako? Omba sana Mungu irudi salamaHapa muda huu Kuna mshakaji kaazima gar amrudishe demu hostel huko ddm......
Nawaza sana Hadi nimekukumbuka huu Uzi
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Bro mshana hivi kuna maana yoyote(spiritual )kuweka mafuta kwenye kitovu?.Ndugu yangu tiba yangu ni ileile tuu ya chumvi sina nyingine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee ungeshuhudia sokomoko kakaPale mkuranga karibu na mskiti au karibu na traffic wanapokaa nyuma au baada ya mzani Kuna jamaa alipeleka gari ioshwe asubuhi .Yeye akarudi kazini kwake siikumbuki ni mkwalia hospital au halmashauri.Akaacha funguo ila aliwasisitiza walioshe tu hata kulisogeza wasilisogeze.Wakajidai wameelewa.Jamaa aliwambia likiwa tayari awaambie .Muda ukapita mrefu akapata wasiwasi akapanda boda kwenda kufuatilia gari lake.Kufika gari halikuwepo.Alipowaluza wakamuambia utumbo kuwa Fulani alitoka na gari limepata ajali mkuranga mjini.Sijui kilichofuata Mimi niliondoka.
HayaKinachozungumziwa hapa ni gari kuaribika hiyo ya ICU ni muendelezo wa story
Umeongea kitu kikubwa sana.Nawashauri rafiki yoyote yule kabla hujampa dhamana ya urafiki mmulike ni mwenye nafsi gani, na roho gani, mfano chuki, choyo, unafiki, uchawi na ushirikina wa pesa pesa
Nyakati zilizopita dingi mdogo aliazima pickup ya jirani yake kwamba kuna ramani kapata chapu. (DINI TOFAUTI)
Mwenye gari kukatiza mtaa wa tatu huko chini anaona gari yake imepakiwa watoto wa nguruwe kibao wanavyopiga matarumbeta sasaππ....... Ngumi zilipigwa mby na nyasi ndo zilikoma.
Gari lilioshwa sana na japokuwa wote walikuwa ni (MAPOT) ila kidogo dingi mdogo gari asusiwe jumla
Huyu mnyama mbona huaga Hana shida na mtu anakuaga busy na mambo zake. Muacheni tuAlikosa ustaarabu kabisa aiseee. Mimi ni Mkristo ila nguruwe akiwa hai hata kumuangalia zaidi ya mara moja siwezi sembuse kupakiwa kwenye gari tena ya kuazima
Huyu mnyama mbona huaga Hana shida na mtu anakuaga busy na mambo zake. Muacheni tu
Sipendi gari lagu aendeshe mtu mwingine na sipendi kuendesha gari la mtu mwingine zaidi ya hapo huwa nakosa amani ya moyo kabisa
Gari langu la kwanza lilikuwa ni carina niliipenda sana muda mwingi kivulini nalifuta vumbi na kitambaa laini, smtms naliangalia mpaka natabasam [emoji16] automatically
Laaaahaulaa balaa siku hiyo nimelewa mwamba akanimbia niazimishe ndinga nakuletea chapu kwa wenge la konyagi nikampa.(siazimagi la mtu wala sipendi kutoa gari langu)
Kesho yake napata taarifa mwamba kapinduka,kwenda mcheki yupo ICU.
Kwenda tazama ndinga daaaah! gari limepondeka kiasi kwamba unaweza kulibeba katika jaba [emoji23][emoji23]
Je ulishawahi kupata balaaa gani baada ya kuazima/ kuazimisha gari.. share nasi
Mkuu usiwe mnyonge na inferiority. Uzi unahusu magari sasa wewe huna gari unalaumu au unaumia nini kuona watu wanatoa experience zao na vyombo vyao?Huu ndio uzuri wa Jf, na kila mtu anamiliki ndinga.... sasa tusio na magari tunakomenti wapi..[emoji41]
πππMkuu usiwe mnyonge na inferiority. Uzi unahusu magari sasa wewe huna gari unalaumu au unaumia nini kuona watu wanatoa experience zao na vyombo vyao?
Ulitaka watu wasikoment?
Kwann unahisi wanaokomenti uzi huu hawana magari?
Kwani wewe kumiliki gari unakuchukuliaje labda?
Pole sana lakini
Niliogopa sana kaka sikutaka kuona majeruhi akipigwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee ungeshuhudia sokomoko kaka
Mafuta ya nini?Bro mshana hivi kuna maana yoyote(spiritual )kuweka mafuta kwenye kitovu?.
Utapata weka mipango ikijazwa na nia ya dhati mshirikishe Mungu, inawezekana.Yan humu jf huwa nachangia nyuzi zote kasoro hz za wenye magari tu, dah! Ifike pahala na mim niwe gari bhana. Arrghh
Mimi nikipeleka gari kuosha hua nakabidhi funguo kwa incharge na wakati huo huo natoa angalizo.Pale mkuranga karibu na mskiti au karibu na traffic wanapokaa nyuma au baada ya mzani Kuna jamaa alipeleka gari ioshwe asubuhi .Yeye akarudi kazini kwake siikumbuki ni mkwalia hospital au halmashauri.Akaacha funguo ila aliwasisitiza walioshe tu hata kulisogeza wasilisogeze.Wakajidai wameelewa.Jamaa aliwambia likiwa tayari awaambie .Muda ukapita mrefu akapata wasiwasi akapanda boda kwenda kufuatilia gari lake.Kufika gari halikuwepo.Alipowaluza wakamuambia utumbo kuwa Fulani alitoka na gari limepata ajali mkuranga mjini.Sijui kilichofuata Mimi niliondoka.
Gari ni zaidi ya mafuta [emoji1787][emoji1787]Brooo, niazime gari nitaweka mafuta [emoji23][emoji23]