Balaa la kuazimisha gari!!!

Balaa la kuazimisha gari!!!

Umenikumbusha nimewai kuazima gar ya mshikaji wangu kwenda kufanyia ngono

Kbla hat sijafika eneo la tukio nakatka kurudi rivers ili nipaki vzr aloo nilibutua taa nzima ya nyuma hasara kutafuta taa tabata nzima had Uganda kwani gar zenyewee Ni hz vistaa balah

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji2]pole sana brother!
 
Mm nilikua na gari ya jamaa mmoja bosi wangu kaniachia aisee kila nikizurura nalo fresh tu hata traffic hawasimamishi ila siku nilibeba Malaya sikwenda Mita 400 nikapiga gema nikapasua tairi ule usiku ulikua mrefu alaf saa kumi na mbili jamaa kaja kanikuta Niko tungi na badili tairi,[emoji36]
 
Vitu ambavyo hutakiwi kuazimisha kwa rafiki yeyote yule.

1: Gari au chombo chochote cha moto, mm hata baiskeli zangu tu sitoi, hakuna urafiki wa hivyo na usipende marafiki tegemezi kwako ni liabilities hao hasa tegemezi kwa mali, sijasema ndugu zako wa karibu, nasemea marafiki
2: Simu
3: Fedha nyingi kuliko uwezo wake bila mkataba au kwa mkopo maalum
4: Kama una bar, asikope pombe, eti akope atalipa kesho au mtondogoo

Hii itakulinda sana usije kugombana kabisa na hao marafiki, in fact mjini hujaja sbb ya marafiki.. So achana na dhana ya kutoa toa vitu vyako muhimu sana kwa marafiki labda ujenge jina au upendwe, hiyo ni dhana potofu.
 
Pale mkuranga karibu na mskiti au karibu na traffic wanapokaa nyuma au baada ya mzani Kuna jamaa alipeleka gari ioshwe asubuhi .Yeye akarudi kazini kwake siikumbuki ni mkwalia hospital au halmashauri.Akaacha funguo ila aliwasisitiza walioshe tu hata kulisogeza wasilisogeze.Wakajidai wameelewa.Jamaa aliwambia likiwa tayari awaambie .Muda ukapita mrefu akapata wasiwasi akapanda boda kwenda kufuatilia gari lake.Kufika gari halikuwepo.Alipowaluza wakamuambia utumbo kuwa Fulani alitoka na gari limepata ajali mkuranga mjini.Sijui kilichofuata Mimi niliondoka.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee ungeshuhudia sokomoko kaka
 
Nawashauri rafiki yoyote yule kabla hujampa dhamana ya urafiki mmulike ni mwenye nafsi gani, na roho gani, mfano chuki, choyo, unafiki, uchawi na ushirikina wa pesa pesa
Umeongea kitu kikubwa sana.
 
Nyakati zilizopita dingi mdogo aliazima pickup ya jirani yake kwamba kuna ramani kapata chapu. (DINI TOFAUTI)

Mwenye gari kukatiza mtaa wa tatu huko chini anaona gari yake imepakiwa watoto wa nguruwe kibao wanavyopiga matarumbeta sasa😝😝....... Ngumi zilipigwa mby na nyasi ndo zilikoma.

Gari lilioshwa sana na japokuwa wote walikuwa ni (MAPOT) ila kidogo dingi mdogo gari asusiwe jumla
 
Alikosa ustaarabu kabisa aiseee. Mimi ni Mkristo ila nguruwe akiwa hai hata kumuangalia zaidi ya mara moja siwezi sembuse kupakiwa kwenye gari tena ya kuazima
Nyakati zilizopita dingi mdogo aliazima pickup ya jirani yake kwamba kuna ramani kapata chapu. (DINI TOFAUTI)

Mwenye gari kukatiza mtaa wa tatu huko chini anaona gari yake imepakiwa watoto wa nguruwe kibao wanavyopiga matarumbeta sasa😝😝....... Ngumi zilipigwa mby na nyasi ndo zilikoma.

Gari lilioshwa sana na japokuwa wote walikuwa ni (MAPOT) ila kidogo dingi mdogo gari asusiwe jumla
 
Gari langu la kwanza lilikuwa ni carina niliipenda sana muda mwingi kivulini nalifuta vumbi na kitambaa laini, smtms naliangalia mpaka natabasam [emoji16] automatically

Laaaahaulaa balaa siku hiyo nimelewa mwamba akanimbia niazimishe ndinga nakuletea chapu kwa wenge la konyagi nikampa.(siazimagi la mtu wala sipendi kutoa gari langu)

Kesho yake napata taarifa mwamba kapinduka,kwenda mcheki yupo ICU.
Kwenda tazama ndinga daaaah! gari limepondeka kiasi kwamba unaweza kulibeba katika jaba [emoji23][emoji23]

Je ulishawahi kupata balaaa gani baada ya kuazima/ kuazimisha gari.. share nasi
Sipendi gari lagu aendeshe mtu mwingine na sipendi kuendesha gari la mtu mwingine zaidi ya hapo huwa nakosa amani ya moyo kabisa
 
Huu ndio uzuri wa Jf, na kila mtu anamiliki ndinga.... sasa tusio na magari tunakomenti wapi..[emoji41]
Mkuu usiwe mnyonge na inferiority. Uzi unahusu magari sasa wewe huna gari unalaumu au unaumia nini kuona watu wanatoa experience zao na vyombo vyao?

Ulitaka watu wasikoment?

Kwann unahisi wanaokomenti uzi huu hawana magari?

Kwani wewe kumiliki gari unakuchukuliaje labda?

Pole sana lakini
 
😂😂😂
🤣🤣🤣🤣
😜😜😜😜😜
Karibu JamiiForums
 
Yan humu jf huwa nachangia nyuzi zote kasoro hz za wenye magari tu, dah! Ifike pahala na mim niwe gari bhana. Arrghh
Utapata weka mipango ikijazwa na nia ya dhati mshirikishe Mungu, inawezekana.
 
Pale mkuranga karibu na mskiti au karibu na traffic wanapokaa nyuma au baada ya mzani Kuna jamaa alipeleka gari ioshwe asubuhi .Yeye akarudi kazini kwake siikumbuki ni mkwalia hospital au halmashauri.Akaacha funguo ila aliwasisitiza walioshe tu hata kulisogeza wasilisogeze.Wakajidai wameelewa.Jamaa aliwambia likiwa tayari awaambie .Muda ukapita mrefu akapata wasiwasi akapanda boda kwenda kufuatilia gari lake.Kufika gari halikuwepo.Alipowaluza wakamuambia utumbo kuwa Fulani alitoka na gari limepata ajali mkuranga mjini.Sijui kilichofuata Mimi niliondoka.
Mimi nikipeleka gari kuosha hua nakabidhi funguo kwa incharge na wakati huo huo natoa angalizo.

Juzi kati nilipeleka tena kuosha, kuna dogo mmoja mgeni kabisa machoni pangu, ile napaki dogo huyu hapa anataka kuingia apandishe gari kwenye yale machuma, nikamwambia emu subiri kwanza.

Nikatoka nikamfuata incharge nikamwambia usimpe gari yule dogo sina Imani nae, wengine car wash ndio driving school yao. Sasa likitokea la kutokea hana cha kukupa zaidi ya samahani bro.
 
Back
Top Bottom