Vitu ambavyo hutakiwi kuazimisha kwa rafiki yeyote yule.
1: Gari au chombo chochote cha moto, mm hata baiskeli zangu tu sitoi, hakuna urafiki wa hivyo na usipende marafiki tegemezi kwako ni liabilities hao hasa tegemezi kwa mali, sijasema ndugu zako wa karibu, nasemea marafiki
2: Simu
3: Fedha nyingi kuliko uwezo wake bila mkataba au kwa mkopo maalum
4: Kama una bar, asikope pombe, eti akope atalipa kesho au mtondogoo
Hii itakulinda sana usije kugombana kabisa na hao marafiki, in fact mjini hujaja sbb ya marafiki.. So achana na dhana ya kutoa toa vitu vyako muhimu sana kwa marafiki labda ujenge jina au upendwe, hiyo ni dhana potofu.