Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
- Thread starter
- #41
Kweli mkuu heri nitembee kwa miguu/daladala kuliko kuazima gari la mtuHuwa nakereka sana na marafiki wanaopenda kuomba omba
Sjui mimi huwa nipoje,sinaga haraka na vitu vya watu
Lakin mwingine unakuta hata kuendesha vizuri hajui ila anakimbilia kuomba
Na hawa wajinga wa hv hata wakiharibu huwa hawana kawaida ya kutengeneza,yaan anaharibu na anakuacha tu hvyo kisera sera tu
Bora upate ajali na gari lako utapaki kivulini mpk upate mkwanja wa matengenezo
Sasa ukute gari umeazima likaumia mby na mfukoni huna mapene