Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,204
- 5,053
- Thread starter
- #81
Mwana alipona wala sikumlipisha na ni mshkaj kiroho Safi bado!!jamaa yako alipona?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwana alipona wala sikumlipisha na ni mshkaj kiroho Safi bado!!jamaa yako alipona?
Unaifanyaje chumvi?? Mkuu maana hata mm nimegongea sana mademu kwenye gari mikosi niliyoipata sitasahau nilitamani mpk kuiuza gari ila nimekoa bishi kwa sasa naona mambo safi kidogoNdugu yangu tiba yangu ni ileile tuu ya chumvi sina nyingine
Ulifanya vyema, nilishaazimwa gari sijui ilikuaje akaja ndugu yake na alieniazima akaniambia kaagizwa nikamuamini kwakuwa nilishawahi kumuona na jamaa. Picha linaanza ajui kuwasha ni push to start, akaniita anaomba funguo ya gari 😂 nikaona sio kesi nikamuelekeza kuwasha huyo akawasha akaondoka bila hata kutoa hand break(nikajisemea watajua wenyewe huko). Zikapita kama dakika 7 hivi mwenye gari huyu hapa ananiambia gari iko wapi nimepata dharura naomba, nkamwambia si umemtuma fulani aje achukue? Akahamaki sijamtuma mtu gari na yule amelewa na gari hajui kuendesha we ulishawahi kuona nimempa gari au akiendesha? Acha mambo ya kis×nge nataka gari. Nilimind, simu ya jamaa ikaita kupokea anaambiwa ndugu yake kagonga bajaji kwa nyuma awahi kabla mamwela hawajafika, tukauma boda adi eneo la tukio ikabidi nisimamie mambo yakae sawa nikampooza dogo wa bajaji tukaondoka. Gari ilivunjika taa jamaa hakunidai chochote ila kiuungwana nilimchangia kidogo. Siji azima gari tenaMwana alipona wala sikumlipisha na ni mshkaj kiroho Safi bado!!
Huu ndio uzuri wa Jf, na kila mtu anamiliki ndinga.... sasa tusio na magari tunakomenti wapi..[emoji41]
Basi mimi na wewe tuendelee kulaiki wenye magari, wasije wakasema tunawaonea wivu...teh😂😜mimi nina baiskeli yangu safi kabisa malengo nikizichanga nitaanza na bodaboda Mungu akipenda, sina gari, sina degree na sijajenga, nimepanga naishi safi kabisa, nina amani,
Duuh watu wengine wanazingua sanaaKuna jamaa mmoja aliazima gari ya kazi aende nayo kazi Fulani, aisee amerudisha vitu mule ndani hakuna siyo spana siyo Nini, afu kibaya zaidi sijui alifanyaje injia mlio umebadilika kabisa unalia kama kopo la chooni tupu ukidondosha, afu kwenye gear zote wallah! dooh ikabidi tu nivunje ukimya kumuuliza akasema hajaviona na gari nilimpa siyo nzima nk. Mie fresh tu, baada ya muda nikamdaka kwenye gari ya mtu mwingine ya kazi, flash yangu ime, jerk imo, spana nk, akaona aibu na nilivichukua mpaka leo hakuna urafiki.
Pole, hakua muungwana kabisa.Nilimpotezea urafiki uliishua hapo
Hivi ngono ni nuksi au utamu? NB UKIMWI umekaa kimya kama haupoHakuna kitu kinaharibu na kuchakaza gari haraka kama kutumiwa na mikono mingi
Kila mtu ana uendeshaji wake.. Kwahiyo kila ukimpa mmoja atafanya settings zake nknk . lakini mbaya zaidi ni ishu za kiroho hasa kumpa mtu gari halafu akaenda kubebea matunguli ama kufanyia ngono ndani yake! Hakuna nuksi kubwa kama hiyo
Man katope daah hatari na nusu
Gari langu la kwanza lilikuwa ni carina niliipenda sana muda mwingi kivulini nalifuta vumbi na kitambaa laini, smtms naliangalia mpaka natabasam 😁 automatically
Laaaahaulaa balaa siku hiyo nimelewa mwamba akanimbia niazimishe ndinga nakuletea chapu kwa wenge la konyagi nikampa.(siazimagi la mtu wala sipendi kutoa gari langu)
Kesho yake napata taarifa mwamba kapinduka,kwenda mcheki yupo ICU.
Kwenda tazama ndinga daaaah! gari limepondeka kiasi kwamba unaweza kulibeba katika jaba 😂😂
Je ulishawahi kupata balaaa gani baada ya kuazima/ kuazimisha gari.. share nasi
Tabia hii ndo ninayo mimiKanuni ya kwanza, usimuazime mtu gari ambaye hana gari. Yani hata kama atakuwa na Premio akakuomba umuazime Harrier yako we mpe kiroho safi. Kuna wale wauza sura mtu hana hata pikipiki ila anataka akaoshe kwa malaya wake aonekane anayaweza, kaotea ka laki 3 kake ka udalali anachukua gari yako kisela mwisho wa siku ni mimba. Huwa wengi wanaoazima magari hupenda masifa barabarani. Atakimbiza hovyo breki za hovyo kuovateki resi nyingi mara apige drift na Crown yako mwisho limemshinda kalibamiza ukutani balaa linakuwa zito na hana la kufanya.
Kanuni ya pili muhimu, mtu awe na hela yaku encounter any shortcoming. Barabarani kuna mengi kuna jamaa yangu huwa anaagiza gari na kuziuza baada ya kutumia kidogo tu. Jamaa hajawahi kuwa na gari chakavu hata siku moja, na gari zake kama sio mark x ni crown au brevis ndio huwa anatemebelea.. Kipindi flani akiwa anasubiria imports huwa mtu wa kusafiri safiri hivyo ana connection na wana wenye magari anaazimaga magari na watu wanam trust sababu ni smart sana. Kuna siku kachukua crown akapiga nayo Moro-Chuga kuna mahali alipiga jiwe akapasua gearbox. Aliagiza gearbox mpya akafunga na kuendelea na safari akarudisha gari ikiwa nzima kabisa. Ila sasa imagine angekuwa ni bishoo tu ana hela yake ya mafuta tu. Ndio unapigiwa simu ya breakdown unaanza kuumia tu na kujuta.
Kuna nidhamu flani kwa mtu ambaye anaujua uchungu wa gari na kulihudumia. Kuna watu smart unaweza muazima gari ila kama ni wale vijana jamii ya Chawa weka mbali na watoto.
Ndo yaafaa ivyo niliwahi angusha boxer ya jamaa katika kupaki ikapasua kioo cha dashboard, chaap nikamwekea kipya alikuja jua baadae Sana kwa kumwambiaTabia hii ndo ninayo mimi
Mimi uwezo wa kuazima gari sina ila piki piki huwa ndo naazima sana sababu uwezo wa kununua mpya ninao hata kama nitaipaki sehemu kisha ikaibiwa
Pia ninapoazima piki piki ya mtu nahakikisha mfukoni nina ka 100k kwa ajili ya dharula
Samahani kwa kuchangia uzi unaowahusu wenye magari
Mwaka 2017 nilifungua salon ya kiume mitaa yetu kipindi hicho hapakuwa na salon nyingine Kwa zaidi ya Mita 700 kutoka pale ambapo nafanya biashara.Hakuna kitu kinaharibu na kuchakaza gari haraka kama kutumiwa na mikono mingi
Kila mtu ana uendeshaji wake.. Kwahiyo kila ukimpa mmoja atafanya settings zake nknk . lakini mbaya zaidi ni ishu za kiroho hasa kumpa mtu gari halafu akaenda kubebea matunguli ama kufanyia ngono ndani yake! Hakuna nuksi kubwa kama hiyo