chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Kama umebahatika kuingia mikoani na vitongoji ndani ndani unaona kabisa watu wanaishi tu basi ila tu sababu wapo kutafuta mkate na ukiangalia kila familia iliyopo mkoani kazi ya ndugu 1-9 wote wapo Dar.
Sababu zinazopelekea Dar kila mtu kuwepo ni kutobalance huduma na maendeleo vyuo vizuri vipo Dar, huduma safi zote zipo Dar, miundombinu yote hipo Dar, rasilimali zilipo tanzania mnufaika ni Dar.
Ukifika mikoa inayopakana na nchi mbalimbali zinazotuzunguka unaona kabisa zilvochoka ila kwa nchi za wenzetu ni tofauti kabisa.