Baleke kwa Nabi ni benchi

Hata huyo Inonga mwenyewe atapata namba iwapo tu Job na Bacca wawe na majeraha. Kinyume na hapo, na yeye benchi linamhusu.
Hata hivyo wakafanye nini huko kwenye timu ndogondogo hizo. Hadhi yao ni kucheza timu kubwa 1 hadi 10 kwa ubora na mashindano makubwa Afrika.

Nabi mwenyewe hawezi kubali kufundisha watu walio juu ya uwezo wake. Sawa na mwl wa s/m mwenye Cheti umwambie akafundishe wanafunzi wa form six ambao ki uhalisia wanapaswa kumfundisha yeye . Sidhani kama atakubali
 
Hawezi kupata namba kwasababu sio hadhi yake kuchezea timu ndogo
Huwa napenda sana aina hii ya utani wa jadi. Hakuna kutukanana, wala nini. Tunajibizana kwa hoja za utani, maisha yanaendelea.

Hongereni sana watani wenzangu kwa kuiheshimisha jamii forums. Watoto wakiona umeandika tofauti na akili zao za kitoto, wanakimbilia kutukana baba zao! Na wakati kuna baadhi ga hoja humu ni za utani tu.
 

Kaoge ulale ndiyo shida ya kula ugali wa shemeji mchana kutwa kubwabwaja .
 
Yanga mnaokoteza magarasa tokea Congo hamuishi kujisifia hapa.
 
Kati ya Yanga na Simba nani msimu huu anashiriki mashindano ya Kimataifa kama losser?

Wakati sakhor anashinda gori bora la mwaka CAF alifunga akiwa kwenye mashindano gani?
 

Daah!! Kumbe kweli bana niwawili tu huko kwenu
 
Daah!! Kumbe kweli bana niwawili tu huko kwenu
Hiyo sijui wenye akili wawili TU utopoloni tayari imechacha masimba tatu mzuka fc tafuteni msemo mwingine wa kujifariji, kombe hamna, kocha hamna, wachezaji wazee kina Onyango pesa hamna! Mmebaki matusi na kelele tu!

tarehe 16 April kama Kawa tutawabutua na Wydad mnapigwa nje ndani tatu mzuka Kwa mara ingine!

Hivi kwasasa Makolo fc mna kipi Cha kujivunia mnacheza klabu bingwa wakati hata kombe la ubingwa wa ndondo cup hamna!!

Pole sana mikia fc wote!
 
Bora usemee wee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…