Baleke kwa Nabi ni benchi

Baleke kwa Nabi ni benchi

6249849B-8FFA-46CF-8136-4790BA82448C.jpeg
🤣🤣🤣
 
Baleke yupo kwenye kiwango bora sana, lakini kwa mifumo ya Nabi pale Yanga hachezi!

Chama mwenyewe chini ya Nabi ananzia benchi. Ni inonga tu, anaweza kuingia kwenye kikosi cha Nabi moja kwa moja, kwa nature ya uchezaji wake.

View attachment 2580741
Ni mchezaji mpumbavu pekee anaweza kuondoka timu inayoshiriki klabu bingwa na akaenda kuchezea kombe la mbuzi
 
Hamchelewi kusema yanga wachawi

Haya endeleeni kujitapa 😄
 
Hiyo sijui wenye akili wawili TU utopoloni tayari imechacha masimba tatu mzuka fc tafuteni msemo mwingine wa kujifariji, kombe hamna, kocha hamna, wachezaji wazee kina Onyango pesa hamna! Mmebaki matusi na kelele tu!

tarehe 16 April kama Kawa tutawabutua na Wydad mnapigwa nje ndani tatu mzuka Kwa mara ingine!

Hivi kwasasa Makolo fc mna kipi Cha kujivunia mnacheza klabu bingwa wakati hata kombe la ubingwa wa ndondo cup hamna!!

Pole sana mikia fc wote!
Tafuta mume uolewe nyege nyingi
 
Back
Top Bottom