Hiyo sijui wenye akili wawili TU utopoloni tayari imechacha masimba tatu mzuka fc tafuteni msemo mwingine wa kujifariji, kombe hamna, kocha hamna, wachezaji wazee kina Onyango pesa hamna! Mmebaki matusi na kelele tu!
tarehe 16 April kama Kawa tutawabutua na Wydad mnapigwa nje ndani tatu mzuka Kwa mara ingine!
Hivi kwasasa Makolo fc mna kipi Cha kujivunia mnacheza klabu bingwa wakati hata kombe la ubingwa wa ndondo cup hamna!!
Pole sana mikia fc wote!