Baleke yupo kwa mkopo na kaweza kuwashawishi Tp Mazembe kiwango kimerudi, Je atarudi Mazembe, atabaki simba au Yanga watatumia nguvu ya pesa kumpora ?

Baleke yupo kwa mkopo na kaweza kuwashawishi Tp Mazembe kiwango kimerudi, Je atarudi Mazembe, atabaki simba au Yanga watatumia nguvu ya pesa kumpora ?

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Msimu ndio unakaribia kuisha hivyo na kijana huyu kaweza kutupa surprise ya aina yake ligi ikiwa ukingoni

1. Tp Mazembe watamtaka arudi congo ?

2. Atabaki Simba ?

3. Yanga watatumia nguvu ya pesa kumleta jangwani ?

343749509_1288243405097935_3082926517202869051_n.jpg


FukWUfCacAI8IX8
 
Homework ya kutafuta wachezaji wazuri anaachiwa simba lakini Yanga huwa anakuja kuweka mzigo tu, Muda huo Simba wana negotiate Yanga anatia mzigo

Ilikuwa zaman miqson bwalya kakolanya Morrison
Hzo timu kila anayekula na hela huiba mchezaji
 
Ilikuwa zaman miqson bwalya kakolanya Morrison
Hzo timu kila anayekula na hela huiba mchezaji
Hao kina Morrison, Kakolonya, ni zamani wakati Yanga imefulia, kwasa sasa mambo yamenyooka.

Yanga ya sasa imeshawapora Simba kina Aziz Ki, Musonda, Mudathir, n.k.

Hofu ya Simba kwa sasa ni nguvu ya Pesa ya Yanga, hata wanaposajili wanahofia sana Yanga akijua
 
yaan mchezaji wa maana atoke simba halafu asajiliwe yanga..... Hakika atakuwa amerudi nyuma sana
 
KUHUSU SUALA LA USAJILI.

NASHAURI YAFUATAYO.

1. NIMESIKITIKA UONGOZI KUMUACHA BENO KAKOLANYA.
Kupata Golikipa aina ya kakolanya itakuwa mtihani mkubwa sana.
Sijui kama Tutakuwa na Golikipa No 2 mwenye ubora wa Kakolanya.
Sijui kama hatutaenda Nje kutafuta mbadala wa MANURA.

2.UBAHILI NA 10% KWENYE IDARA YA USAJILI.
tumeshuhudia wakiletwa wachezaji cheep mno kwenye usajili wachezaji wenye uwezo mdogo sana na gharama ndogo sama

3. USAJILI WA QUALITY NDOGO NA KUKOSA SCAUT WAZURI.

I. Ismail sawadogo.
II .mohamed Qottara
III. Augustino Okkrah. (9)
IV. Peter Banda.
V. Sadio Kanute atafutiwe mbadala(8)
VI. Sackho nae Atupishe.

4. WACHEZAJI WAZAWA NAPO NI SHIDA.
Changamoto ya umli.
Nyoni, Boko, mkude,
Viwango vidogo.
Kapama, Gadiel, Mwanuke,

MASHABIKI TUMECHOSHWA KUISHIA ROBO FAINALI.
TUNA HELA ZA KUTOSHA KWA AJILI YA USAJILI.
HELA YA SUPER CUP 4 BILION.
HELA YA CAF. CAFCL 2 BILION

UONGOZI PUNGUZENI UBAHILI
ROBERTINO ASAJILI.
 
Kwa akili ya mchezaji utoke simba uende yanga utakuwa na akili kweli
Kelvin yondani, Ibrahim Ajib, Amis Tambwe, na wengineo wengi! Walitoka simba na wakacheza kwa kiwango cha juu kabisa kwenye timu ya Wananchi! Na walikuwa na akili zao timamu.


Ila wachezaji wakitoka Yanga na jwenda simba, ndiyo hugeuka kuwa bench warmers! Mfano Benno Kakolanya, Ibrahim Ajib, Gadiel Michael, nk.
 
Back
Top Bottom