Baleke yupo kwa mkopo na kaweza kuwashawishi Tp Mazembe kiwango kimerudi, Je atarudi Mazembe, atabaki simba au Yanga watatumia nguvu ya pesa kumpora ?

Simba ni top club Ismail sSawadogo na Mohamed Qottara wakienda Utopolo wanaingia kikosi cha kwanza kama ilivyokuwa kwa Mudhathir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…