Yuko sahihi Kulalamika. Huwezi kufananisha kitu kinachosafisha sehemu nyeti na Waandishi wa ovyo kama Balile. Tuipe heshima toilet paper.
waache kutumika kama toilet paperYuko sahihi Kulalamika. Huwezi kufananisha kitu kinachosafisha sehemu nyeti na Waandishi wa ovyo kama Balile. Tuipe heshima toilet paper.
Huyu si wale wale wanaolamba miguu watawala! Kwani yeye kwa akili yake haoni media inachofanyiwa na watawala? Jinga kabisa! Eti tuwachunguzemsikilize
nimeongeza nyamaAndika habari ieleweke siyo wote tunamfahamu huyo Balile
Sahihi kabisaNdio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
media zikiripoti wanajuwa wanakutanaga na nini!Kipanya yupo sahihi, huwezi kusikia Media zinawataka wasasiasa wawajibike kwa wizi, huwezi sikia mmedia imeripoti matukio ya watu kuuawa na makampuni ya migodi, n.k.
Wanatia aibu ni zile rushwa za elfu 50Jiwe lime pata mtu 😄
Ova
Ni kweli tupuMbona kama amepanik, basi kutakuwa na ukweli hapo
Zimejaa matapeli tupumedia zikiripoti wanajuwa wanakutanaga na nini!
Media zimejaa na uwoga
Ova