Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,930
Hivi kumbe kaoa kwa Samia?Huyu Balile Taperi tu, Huyu Mkewe ni Ras kwenye Utawala huu Unategemea Nini Ataongea/ Balile ni Chawa Zee
Hivi kumbe kaoa kwa Samia?Huyu Balile Taperi tu, Huyu Mkewe ni Ras kwenye Utawala huu Unategemea Nini Ataongea/ Balile ni Chawa Zee
Ni tapeli haswaBalile ni taka taka la hovyo sana, kama kingedele hata ubongo kameoza
Ndio ujinga wenyewe huo huwezi kuwa mhariri halafu huelewi media ni nini! Au yeye anadhani media ni yeye na vikaragosi wenzie ambao wamechagua bahasha badala ya weledi na uadilifu kwenye taaluma ya uandishi wa habari? Ni mjinga kwa mara nyingine tena nasisitiza!Inawezekana yupo pale ila hajui, sikuona sababu yoyote ile Balile zungumzia swala hili ,
Nimekuelewa mkuuNdio ujinga wenyewe huo huwezi kuwa mhariri halafu huelewi media ni nini! Au yeye anadhani media ni yeye na vikaragosi wenzie ambao wamechagua bahasha badala ya weledi na uadilifu kwenye taaluma ya uandishi wa habari? Ni mjinga kwa mara nyingine tena nasisitiza!
Yuko sahihi ikishachambiwa haina thamani tena!Toilet paper kwa Kiswahili ni karatasi ya kuchambia
Kipanya atiwe mbatoni 🐼
Huyu pimbi sana anashobokea sana wanasiasa. Balile ni zero brainNdio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
🖐🖐🖐🖐Yuko sahihi Kulalamika. Huwezi kufananisha kitu kinachosafisha sehemu nyeti na Waandishi wa ovyo kama Balile. Tuipe heshima toilet paper.
Iwapo yeye kachangia kuidunisha tasnia yenye hadhi ya kuwa moja ya mihimili imara na huru zaidi,ni bora sana ailiyeipa hadhi anayoilalamikia.Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
Upo msemo maovu ya ndani ni yandani hayafai kutoka nje. Sasa analalama nini wakati alishaanza utekelezaji hata kabla ya maneno haya ya kuua uzalendo na kuidhiru jamii.?Kipanya yupo sahihi, huwezi kusikia Media zinawataka wasasiasa wawajibike kwa wizi, huwezi sikia mmedia imeripoti matukio ya watu kuuawa na makampuni ya migodi, n.k.
Vitu vingi ni mpaka serikali ikiri baada baada ya watu kushare videos au ushahidi mitandaoni ndio media zinaanza kuripoti.
Na wadhalilishaji ni pamoja na wenye jukumu la kuilea kama anaye lialia hapa...hata Kipanya ni sehemu ya media.
..Na naamini amelenga kueleza hisia zake kuhusu namna "media" inavyodhalilishwa.