Balile alalamikia Kipanya kuwalinganisha media na Toilet paper

Balile alalamikia Kipanya kuwalinganisha media na Toilet paper

Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka

Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)


View attachment 3398217
View attachment 3398226
Mjinga kweli huyo! Analalamika nini sasa na wakati huo ndiyo ukweli wenyewe!!
 
Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka

Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)


View attachment 3398217
View attachment 3398226
Huyu Balile atafanya kazi ya kuchunguza kama nani? Wahaya Bwana ,hawa ndo ushusha kabila hili wadhifa wake , kwamba kipanya amewataja? Yeye si kachora katuni tu ,anajuaje kama mchora katuni alimanisha jambo lingine, so Balile kaona neno Media tu , Dunia nzima kuna media anaweza dhibitisha mchora katuni alimansha media za tz tu,

Balile acha zaulisha kabila lako
 
Balile ni mjinga na kibaraka wa ccm hilo liko wazi! Yaani kipanya kafanya sanaa yake na ujumbe umefika kwa wote labda balile haelewi maana ya media! 🚮
 

Attachments

  • IMG_20250708_183453.jpg
    IMG_20250708_183453.jpg
    123 KB · Views: 13
  • Screenshot_20250708-183617_ChatGPT.jpg
    Screenshot_20250708-183617_ChatGPT.jpg
    207 KB · Views: 20
Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka

Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)


View attachment 3398217
View attachment 3398226
Kimbilio lao ni upinde qmmk watu wanatekwa wako kimya wakiambiwa toilet paper wanakuja juu hakika ujumbe aliokusufia Kipanya umefika sehemu sahihi

No reform No Election
 

Attachments

  • 20250404_190720.jpg
    20250404_190720.jpg
    61.2 KB · Views: 18
Huyu si wale wale wanaolamba miguu watawala! Kwani yeye kwa akili yake haoni media inachofanyiwa na watawala? Jinga kabisa! Eti tuwachunguze
Ukiwa unafanya jambo kama analolisema kP unadhani wewe mwenyewe utajijua? Balile kama anadhani kP kasema uongo, aitishe kura ya maoni kwenye social media yeyote ju hilo then aone matokeo kutoka kwa wasomaji wa magazeti yao. Again, wafanye utafiti mdogo tu, biashara yao ya magazeti siku hizi ipoje? Magazeti yanauzwa kama zamani? If not, ajiulize swali rahisi, Why?
 
Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka

Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)


View attachment 3398217
View attachment 3398226
Huo ndio ukweli wenyewe, tena mtumiaji wa hiyo tp ni mwanamke mweupe
 
..amemtuka kipanya kuwa anafadhiliwa na watu wa upinde.

..sijui kwanini balile hawakosoi wasiojulikana, kwa kushiriki mambo ya upinde.


..mambo waliyowafanyia wanaharakati wa kenya na uganda ni upinde.
Anapenda sana upinde, hata alipomhoji Tundu, Balile ali 'insinuate' kwamba nchi za magharibi zinaweza kuwafadhili halafu zikadai sheria za upinde. Balile hakuongelea nchi hizo kudai rasilimali za nchi.

Anapomtukana Kipanya kwamba ni Upinde wa mvua a.k.a shoga anazidi kujichafua.
Kipanya alifanya kazi yake ya ''art'' tena akiwaasha akina Balile wasiwe karatasi za maliwato

Balile imemuuma sana kwasababu ndiye aliambiwa '' nitupie 100'' kwahiyo anajua fika yeye na media ni karatasi zamawalito, zinatumika kusafisha kisha kutupwa.
 
Jiwe limetupwa gizani, na limempata mtu, na kilio kimesikika. Huyu Balile nakumbuka alipata kusema hakuna haja tena ya kufanya uchaguzi kwenye ngazi ya Urais eti mama anatosha, can you imagine. Kauli za namna hiyo huwa haziji zenyewe, ni kutumika kama alivyochora Kipanya.

Kwenye maandiko matakatifu ya Biblia, Elizabert aliimba wimbo alipotembelewa na Mama Maria, na Petro alimsadiki Yesu, ilikuwa ni kwa nguvu ya Roho Mtakatifu. Na Balile aliposhauri hilo la kutokua na haja ya uchaguzi ngazi ya Rais bila shaka alitumika huenda kwa nguvu ya karatasi za rangi ili atumie nafasi yake na media anayoitumikia kufanya hizo propaganda. So atulie, Kipanya naye kafikisha ujumbe wake kwa mtazamo wake, kama ambavyo yeye hakuchunguzwa kwa kauli zake, asilete vitisho kwa wenzake. Na bahati mbaya haya hayo mamlaka, labda anataka hao anaowatumikia ndio waanze kufanya hicho anachopendekeza.

Katuni zimechorwa hadi za Marais wa nchi na mambo yakapita, sembuse hilo, JPM alisema alikuwa anasoma magazeti na hadi katuni za jamaa aliyekuwa anamchora kichwa kimechongoka, hadi anaenda kujitazama kwenye kioo na yakapita na ujumbe alikuwa anaupata, so Balile ujumbe umekufikia, chukua hatua
 
Balile ni mjinga na kibaraka wa ccm hilo liko wazi! Yaani kipanya kafanya sanaa yake na ujumbe umefika kwa wote labda balile haelewi maana ya media! 🚮
Inawezekana yupo pale ila hajui, sikuona sababu yoyote ile Balile zungumzia swala hili ,
 
Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka

Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)


View attachment 3398217
View attachment 3398226
Balile ni taka taka la hovyo sana, kama kingedele hata ubongo kameoza
 
Kimbilio lao ni upinde qmmk watu wanatekwa wako kimya wakiambiwa toilet paper wanakuja juu hakika ujumbe aliokusufia Kipanya umefika sehemu sahihi

No reform No Election
Kipanya kaweka neno media tu, je ni tz ipo media tu? Sasa huyu Balile kutisha watu ati uchunguzi unatoka wapi , Balile anatakiwa badilika mara moja
 
Back
Top Bottom