Uko sahihi, lakini to cast nets wider, Why not use mtungi wa hewa kuelezea umuhimu wa media?
..wachora katuni wanapenda kutuma ujumbe ktk namna inayowafanya wasomi wake wafikiri na kufanya tafakuri za kina.
Uko sahihi, lakini to cast nets wider, Why not use mtungi wa hewa kuelezea umuhimu wa media?
Mkongwe wa tasnia Mzee Pascal Mayalla unaonaje hili?...Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
Nimewaza kama wewe pia. Kopo la chooni umuhimu wake unaonekana hadi ukipata haja kubwa. Ukiingia chooni ukikosa kopo unapata stress...au labda Kipanya amelenga kueleza umuhimu wa media.
..siku utakayokwenda msalani na ukakuta hakuna toilet paper ndipo utakapojua umuhimu wake.
..kwa hiyo inawezekana kabisa Kipanya ametumia mfano rahisi kabisa kueleza umuhimu wa media.
..ni suala la TAFSIRI tu.
Mkuu akikujibu kindly naomba uni tagMkongwe wa tasnia Mzee Pascal Mayalla unaonaje hili?...
Umeua zaidiYuko sahihi Kulalamika. Huwezi kufananisha kitu kinachosafisha sehemu nyeti na Waandishi wa ovyo kama Balile. Tuipe heshima toilet paper.
Niliambiwa ni makokoneo. Ila Kipanya asitiwe mbatoni tu bali atiwe mbaroni pia.Toilet paper kwa Kiswahili ni karatasi ya kuchambia
Kipanya atiwe mbatoni 🐼
Balile ni kama toilet paper huwezi kuitumia mara mbiliYuko sahihi Kulalamika. Huwezi kufananisha kitu kinachosafisha sehemu nyeti na Waandishi wa ovyo kama Balile. Tuipe heshima toilet paper.
Pascal MayallaNdio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
Nadhani hii ndo tafsiri sahihi kwa mtu mwenye fikra chanya bila kujali mchoraji kamaanisha nini sababu naye yupo kwenye media. Kutafsiri kuwa unapakwa kinyesi kisha unatupwa ni kuwa na mtazamo hasi...au labda Kipanya amelenga kueleza umuhimu wa media.
..siku utakayokwenda msalani na ukakuta hakuna toilet paper ndipo utakapojua umuhimu wake.
..kwa hiyo inawezekana kabisa Kipanya ametumia mfano rahisi kabisa kueleza umuhimu wa media.
..ni suala la TAFSIRI tu.
Tena haya mahojianoKipanya ajakosea kabisaa
Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
Kipanya atakuwa anaongelea “media” za Iran hukoToilet paper kwa Kiswahili ni karatasi ya kuchambia
Kipanya atiwe mbatoni 🐼
Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
Na Balile ndiye mtu wa kwanza kutumika kama Toilet paper ni heri mara kumi Esther Bulaya na Halima Mdee kuliko Balile.Balile ni sumu,Balile ni kigeu geu,Balile ni Chawa mbpbezi.Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka