Balile alalamikia Kipanya kuwalinganisha media na Toilet paper

..au labda Kipanya amelenga kueleza umuhimu wa media.

..siku utakayokwenda msalani na ukakuta hakuna toilet paper ndipo utakapojua umuhimu wake.

..kwa hiyo inawezekana kabisa Kipanya ametumia mfano rahisi kabisa kueleza umuhimu wa media.

..ni suala la TAFSIRI tu.
Uko sahihi, lakini to cast nets wider, Why not use mtungi wa hewa kuelezea umuhimu wa media?
 
Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka

Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)

View attachment 3398217
Nikweli media house kalibia zote kuanzia anayoifanya kazi ndugu Masood zote zinafanya kazi kwa maelekezo, ndiyo maana baadhi ya press conference huwezi kuziona ila kwenye maeneo ambayo wana maslahi wanajazana
 
Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka

Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)

View attachment 3398217
View attachment 3398226
Wote wapo kwenye kiwanda kimoja cha tasnia ya habari.
 
Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka

Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)

View attachment 3398217
Tulianza na Udikteta wa Magugumaji,
Then kikafata Kibibi kimoja kifupi
Akafatia Karia
Na sasa mwehu huyu Balile naye eti anaanza kutufokea, blooooooood foooool 🚮🚮🚮
 
Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka

Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)

View attachment 3398217
View attachment 3398226

Huyu jamaa mbona kama ameamua kuwa boss wetu? Nani amempa madaraka hayo?😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom