Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Kufanya kazi ktk Media siku hz kazi sana, wafuate uweledi na ithibati ,ili wasiitwe toilet paper
Balile mhariri gani hajui figurative language? Hajui freedom of expression? Mhariri anafanya censorship?Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
typo err...does not touch the merit of the caseNiliambiwa ni makokoneo. Ila Kipanya asitiwe mbatoni tu bali atiwe mbaroni pia.
Kipanya amekosea sana, toilet paper ina umhimu na manufaa kuishushia hadhi mpaka kiasi cha kuivunjia hadhi kuilinganisha na hao ngiri wasiojitambua amedharau umuhimu wa toilet paper, hao chawa wachumia tumbo ambao wanapamba na kukoleza wananchi wazidi kukandamizwa, kudhalilishwa, kutekwa, kulawitiwa na kuuawa yaani hata kuwalinganisha na mavi ni kuyakosea mavi.Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
Kweli kabisaPameuma, jamaa yake Pasco huyu. 😁
Akaongezee na wasaniiNdio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
BALILE ni chawa asiyejielewa, chawa muandamizi.Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
Hakika.Labda huwa anavuta cha Arusha.BALILE ni chawa asiyejielewa, chawa muandamizi.
Kwahiyo unataka kusema Toilet paper inastahili kuheshimiwa kuliko Vyombo vya habari vya Tanzania??? Daah umewachana vibaya sana.Yuko sahihi Kulalamika. Huwezi kufananisha kitu kinachosafisha sehemu nyeti na Waandishi wa ovyo kama Balile. Tuipe heshima toilet paper.
Huyo jamaa smpendi hata kidogo.Kipindi cha Magufuri alitunyanyasa sana mara baada ya Samiah kupita tena akageuka kuwa Kizimkazi style.Labda atakuwa Mhaya Chotara.BALILE NJOO UONE WATU WANAVYO KU CHARACTERIZE! JIREKEBISHE, NSHOMILE CHAWA KIONGOZI , WEWE KAPUKU
Saiv sio lazima media ziripoti jambo, Citizen journalism imebadili upepomedia zikiripoti wanajuwa wanakutanaga na nini!
Media zimejaa na uwoga
Ova
Kipanya kapiga za usoNdio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
Tulia dawa iingie Balile mlamba asaliNdio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka
Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Jamhuri, na Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Deodatus Balile amelalamika waharirir wa habari/wanahabaria/media kuitwa/kulinganishwa na Toilet pape Tanzania (TEF)
View attachment 3398217
View attachment 3398226
😂😂Yuko sahihi Kulalamika. Huwezi kufananisha kitu kinachosafisha sehemu nyeti na Waandishi wa ovyo kama Balile. Tuipe heshima toilet paper.
Mbatoni kwa maana ya motoni au wapi?Toilet paper kwa Kiswahili ni karatasi ya kuchambia
Kipanya atiwe mbatoni 🐼
Usimwone kavimba vishavu ukadhani ni bure. Mashavu hayo yamejaa yalivyo kwa hisani ya Samia na GENGE lake.Ndio ukweli media za hapa zinatumiwa kama toilet paper na wenye madaraka