Balile alalamikia Kipanya kuwalinganisha media na Toilet paper

Vyombo vya habari havitumiki kuelimisha au kuhabarisha kwa uhuru, bali hutumika kukuza ajenda na maslahi ya watawala au matajiri.

Habari huzalishwa kwa wingi lakini mara nyingi huwa hazina undani wala ukweli wa kina, bali huchujwa ili kuendana na matakwa ya walio madarakani.

Mara chombo au mwandishi wa habari anapogeuka kuwa kikwazo au hana tena manufaa kwa mfumo, hupuuzwa au kuondolewa kana kwamba haina thamani t
ena.
 
Inawezekana yupo pale ila hajui, sikuona sababu yoyote ile Balile zungumzia swala hili ,
Ndio ujinga wenyewe huo huwezi kuwa mhariri halafu huelewi media ni nini! Au yeye anadhani media ni yeye na vikaragosi wenzie ambao wamechagua bahasha badala ya weledi na uadilifu kwenye taaluma ya uandishi wa habari? Ni mjinga kwa mara nyingine tena nasisitiza!
 
Nimekuelewa mkuu
 
Hatuwezi kuwa na nchi ambayo kila mtu ni kambale , katuni ya kipanya ipo na neno moja la mhimu ,Media so ni media ipi kamanisha ,ya tz au ya Dunia , Balile ubavu huu wa kusema kipanya achunguzwe anautoa wapi? Je kipanya ameanza chora katuni leo?

Huyu BALILE anadhaulisha sana kabila lake, wahaya huwa wanasemwa sana , ila wenda ni kutokana na watu wachache kama Balile(majonzi) nimekaa huko nakijua kidogo .

Balile usituaribie nchi asea Bwana
 
Huyu pimbi sana anashobokea sana wanasiasa. Balile ni zero brain
 

Analalamika nini qakati Maza alisema hadhalani kuwa wakiwa na njaa wanampigia simu ilk awape chochote...!!

Angekanusha siku ile kama siyo kweli.
 
Iwapo yeye kachangia kuidunisha tasnia yenye hadhi ya kuwa moja ya mihimili imara na huru zaidi,ni bora sana ailiyeipa hadhi anayoilalamikia.
 
Upo msemo maovu ya ndani ni yandani hayafai kutoka nje. Sasa analalama nini wakati alishaanza utekelezaji hata kabla ya maneno haya ya kuua uzalendo na kuidhiru jamii.?
 
..hata Kipanya ni sehemu ya media.

..Na naamini amelenga kueleza hisia zake kuhusu namna "media" inavyodhalilishwa.
Na wadhalilishaji ni pamoja na wenye jukumu la kuilea kama anaye lialia hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…