Magazetini
JF-Expert Member
- Aug 16, 2014
- 593
- 1,712
Sasa huyo Balile mbona anajifanya haelewi Kiswahili, mama "kadhibiti" au kaondoa udhibiti uliowekwa na Magufuli, mama karuhusu siyo "kadhibiti". Aache lugha za kijinga, awe mkweli na muwazi tu, asiwe kama panya kuuma na kupuliza.Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania akiwa Arusha kwenye siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani amesema ripoti zinasema kulikuwa na anguko wa uhuru wa vyombo vya habari nchini kwa miaka sita mfululizo lakini sasa hali inatia matumaini.
Balile amesema anguko lilikuwa linaendelea kuelekea kusikojulikana mpaka Rais Samia alipoingia madarakani na kulilidhibiti.
Balile amesema Tanzania haitashuka tena kwenye uhuru wa vyombo vya habari.
View attachment 2209701
Wote waliosifu wanaponda now. Usiposifu HULI.Kweli, japo Balile nakumbuka kipindi cha mwendazake alikuwa akimsifia pia, na hakuwahi kukosoa ukandamizaji ule
Kajubi Mwakajanga wa MCT kidogo alikuwa vocal
Samia:Ukinikuna,nitakupapasa,ukiniparua tutaparuana.... huyu maza first gentleman ana kazi sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kweli, japo Balile nakumbuka kipindi cha mwendazake alikuwa akimsifia pia, na hakuwahi kukosoa ukandamizaji ule
Kajubi Mwakajanga wa MCT kidogo alikuwa vocal
Habari za uongo kama za Musiba?Yaani Balile alitamka habari za uongo zichekewe ?
====
Gazeti la Tanzania Daima lafungiwa kwa siku 90 kwa kuandika habari zinazo daiwa ni za Uongo (Oct 2017)
Msemaji wa Serikali amesema wamelichukulia hatua za kisheria gazeti la TanzaniaDaima kwa mwendelezo wake wa kuandia habari za uongo. "Serikali imelichukulia hatua za kisheria gazeti la Tanzania Daima kwa mwendelezo wa kuandika habari za uongo...." Taarifa kamili inakuja.. MY TAKE...www.jamiiforums.com
Muhaya huyu mpuuzi tu,yeye ndiye aliyekuwa anamsifu Magufuri kuwa,wandishi lazima tuwe na mipaka hatuwezi kuandika kila kitu hata ngambo hawafanyi hivo,Leo hii ameingia Samia kaisha geuka kuwa Magufuri aliangusha tasinia ya habari,China na Urusi mbona zinamaendeleo makubwa na hakuna uhuru huo wanao utaka? wandishi wengi hapa nchini ni madalari wa wanasiasa tu,akuna mwandishi anayepigania maslahi ya taifa.Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Tanzania akiwa Arusha kwenye siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani amesema ripoti zinasema kulikuwa na anguko wa uhuru wa vyombo vya habari nchini kwa miaka sita mfululizo lakini sasa hali inatia matumaini.
Balile amesema anguko lilikuwa linaendelea kuelekea kusikojulikana mpaka Rais Samia alipoingia madarakani na kulilidhibiti.
Balile amesema Tanzania haitashuka tena kwenye uhuru wa vyombo vya habari.
View attachment 2209701
Tofauti ya unafiki na uchawa ni ipi ?siku hizi unafiki sio sifa mbaya wala aibu kwa jamii
Kumbe upo mdada,ila JPM aliwapoteza baadhi ya wafuasi wa CcmSasa huyo Balile mbona anajoifanya haelewi Kiswahili, mama "kadhibiti" au au kaondoa udhibiti uliowekwa na Magufuli, mama karuhusu siyo "kadhibiti". Aache lugha za kijinga, awe mkweli na muwazi tu, asiwe kama panya kuuma na kupuliza.
Jiwe aliinajisi Sana nchi hii. Hata kama bei ya unga itakuwa sh elfu 60 kwa kilo kamwe siwezi kumkumbuka jiwe.Tunashukuru uhuru umesaidia kutopanda gharama za maisha
Kwani Kakuambia Umkumbuke?Jiwe aliinajisi Sana nchi hii. Hata kama bei ya unga itakuwa sh elfu 60 kwa kilo kamwe siwezi kumkumbuka jiwe.
Kazi ya Mwenyezi Mungu haina makosa.Kumbe upo mdada,ila JPM aliwapoteza baadhi ya wafuasi wa Ccm
K