Balile: Kwa miaka sita mfululizo Tanzania ilikuwa na anguko la uhuru wa vyombo vya habari mpaka Rais Samia ulipolidhibiti

Watu kama Balile wanajiingiza katika upumbavu huu...Magufuli ni rais bora aliyekuwa anafuata sana sheria.Kama tuliruhusu sheria kandamizi kubaki mtawalaumu sana wanaofuata sheria...Kiongozi asiyefuata sheria au tunategemea atumie busara zake sio sawa.Pambaneni sheria zibadilike ili atakayeenda kinyume tumtafsiri moja moja kama dikteta

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa
 


Balile atakuwa amepata ujumbe wake
 
Sasa huyo Balile mbona anajifanya haelewi Kiswahili, mama "kadhibiti" au kaondoa udhibiti uliowekwa na Magufuli, mama karuhusu siyo "kadhibiti". Aache lugha za kijinga, awe mkweli na muwazi tu, asiwe kama panya kuuma na kupuliza.
Anasema mama kadhibiti anguko la vyombo vya habari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ujanja mwingi huondoa maarifa!
 
Anasema mama kadhibiti anguko la vyombo vya habari!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Ujanja mwingi huondoa maarifa!
Huko ndiko kuuma na kupuliza, aseme tu mama karuhusu uhuru wa vyombo vya habari na kavifungulia vilivyokuwa vimefungwa. Huko ni kucheza na maneno, nafsi huwa haisuti.

Neno kudhibiti lina sehemu zake siyo katika huo upupu unaousema wewe.
 
Huyu jamaa kipindi cha miaka 6 iliyopita si alikuwa anasifia kila kitu[emoji1787][emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…