Balile: Magufuli katutenda, deni la nje lafikia shilingi Trillion 78

Cheap popularity ambazo hata mama SSH mwenyewe hapendi. Unaongea as if viongozi wakuu wa system waliopo madarakani sasa ni wapya na hawakuwa part ya system ya JPM.

Mama anakuona.....
 
Trilioni 78 ni nyingi sana. Lakini mbona mlikuwa hamsemi enzi za JPM ?
 
Asante sana.
 
Kati ya wanafiki wa taifa huyu balile ni mmoja wapo....gazeti lake kila siku lilikuwa linaisifia ikulu leo hii anabwabwaja... mmh nimeishia hapo alipoandika eti TAMKO LANGU LIMEPELEKEA RAIS KUAPISHWA... WHO ARE YOU? WAHAYA NA KUJIKWEZA DUUUH
 
Asante sana
 
Balile naona anazeeka vibaya
 
Ungefanya inoge ungebainisha ukopaji huo ulikusudiwa kwa miradi ipi. Kuna Rais mmoja alikuwa nakopa ili alipe mishahara na kuzurura duniani. Mkapa alitusamehesha madeni yaliyokopwa. JPM hata kama alikopa alikopa kwa infrastructure development; Reli tutasafiri na kusafirisha mizigo tutalipa deni. Kudos; Stiegler Gorge Power Plant, hii inazalisha umeme utakaoleta investments kubwa, za viwanda, uzalishaji utafanya tulipe deni. Hata Ndege, to boost tourism; tukitumia hizo ndege vizuri tualipa deni. Angalia sana, kuna Rais mmoja alikuwa anakopa kwa wachina kupata 10%; JPM hakufanya hivyo. JPM alikuwa na vision, lakini ukatili wake ndiyo huo, kila mtu anatunga uongo.

For real tulimchukia JPM kwa ukatili wake, na huu ndiyo umemuharibia kila kitu!!
 
Umemaliza mkuu,we ni great thinker haswaaa
 
Watu mna nondo balaaa
 
Kang'ate n'nyaa weweee,mmejaa porojo tu,vichwa wazi tu
 
Kwani deni linalipwa na pesa za nje?

Ni msaada tu ndio huwa za nje, borrowed zote ni za ndani. Unachanga unalipa... ukikamilisha mradi ni wako.

We ukikopa ukajenga nyumba then ukikamilisha mkopo ni bank imekujengea au we mwenyewe?
Wasipokuelewa wapinga mwendezake umeshatimiza wajibu wako wa kuelimisha.

Kazi inabaki kwao.
 
Hakuna lolote alikuwa mpigaji
 
Alikuwa ni mtu hatari sn
 
Hamna nchi isiyokopa wewe, na hamna anayechezea fedha, acha kuamini hizo stories zenu za vijiweni na chuki za kijinga! And kama wewe kwenye familia yako unategemea kipato kimoja tu kuiendesha basi wewe ni wa hovyo kabisa
Mlikuwa mnatutangazia kuwa tunafanya maendeleo kwa fedha za ndani, hayo madeni yanatokana na nini?
 
Alikuwa anasema anajenga kwa fedha za ndani siyo mkopo, shame on you
 
Kwaio alivyosema tutembee kifua mbele kuwa sisi ni donor country kuna watu waliamini? Na tunafanya kwa hela zetu? Ndio maana Lowassa alitaka Watanzania waelimishwe kwanza ili wafahamu madhara yakuchagua viongozi wasiowatakia mema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…