leonaldo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 2,583
- 3,182
Kwa ulie fikia ukomo wa kufikiri Kama wewe hauna faida, kwa waliofungua akili na kuwa na mawazo chanya unafaida kubwa Sana Ni suala la kuamua tu.Hahaha Nani atatumia uwanja wa chato
Tuna kikosi Cha anga pale Mwanza vipi kikihamishiwa chato tukaachana na huo uwanja wa kiraia.
Nchi yetu Haina uwanja mkubwa wa kijeshi ndio huo hapo sasa tunashindwa kuutumia.
Tusijiruhusu kuwa Ziro brain kuwa na mawazo hasi na lawama kibao,tuwaze chanya tusonge mbele.