Magufuli katutenda deni la taifa, trilioni 78 Samia msalabani
Jamhuri October 26, 2021
Na Deodatus Balile
Hapo Ndipo Ninakowachukia Wanasiasa na Siasa Zao za Uongo na Unafiki. aka "Siasa za Uchwara".
- Nchi Nyingi za Africa,
Rais Akiwa Madarakani :-
1) Rais Anakuwa Mtawala na Sio Kiongozi Aliyechaguliwa na Kupewa Dhamana ya Kuongoza Taifa na Wananchi wake kwa Mujibu wa Katiba ya Nchi.
2) Ali Mradi ni Rais na Amiri Mkuu wa Majeshi yote,
Basi cha Mtema Kuni Mtakiona Kwa Maana Kuwa Mambo Mengi Yatafanywa Kwa
A) Siri Kubwa
B) Na kwa Matakwa ya Mtu Mmoja
C) Na Tena Kwa Amri na Sio kwa Hoja etc.
D) Na Ukichunguza Kiundani Utaona Ni kwa Manufaa Binafsi Kisiasa au Kiuchumi.
Haya Yamelifanya Taifa letu Tukufu la Jamhuri ya Muungano Tanzania Kufikia Hapa Tulipo.
Tuchukue Mfano Mmoja Tuu wa Mikataba ya Madini Yetu:-.
- Mpaka Leo Tunabwabwaya , Bwabaya Tu ,
Bila Kujua ni Vipi na Ni Nani Aliyetufikisha Hapa Kupigwa kwa Makali Haya.
- Ni Wepesi wanasiasa Wakakurupuka kwa Visingizio vya
Hoja Dhaifu Wakitamka Ni Mabeberu Hao ili Kukwepa Ukweli kuwa
Alihali ni Rais na Chama Chake Walirithia Kuiuza Nchi kwa Kitambaa cha Shuka na Shanga.
- Kibaya Zaidi Maraisi wa Africa Wanatumia dola Kukandamiza Yeyote Atakayediriki Kuhoji.
Mfano Mzuri ni
Antipas Tundu Lissu Yaliyompata Pale Dodoma Akishiriki Vikao vya Bunge.
- Hapo Ndipo Wananchi Wanajiuliza :-
Ni Nani Hasa Ni
Msema Kweli Mzalendo kwenye Taifa lao Tukufu?!?.
- 3) Maraisi Wanajijengea Kiburi na Majigambo cha Kuwa Ndio Pekee Wenye Akili ya Kufikiri Sahihi,
Na Kujivisha Utukufu wa Kuwa Ndio Pekee Waliopewa
Maono ya Kutawala.
- Matokeo yake Uongozi kwa Njia ya Hoja za Ushirikishwaji wa Wananchi
Haufanyiki
4) Marais wa Africa,
Wanatumbukiza Nchi zao Katika Dimbwi la Umaskini na Ufukara wa Watu wake.
- Ni Nini Jibu La Matatizo ya Mataifa Yetu ya Kiafrika, Licha na Kwamba ni Bara Lililobarikiwa Neema Na Baraka Lukuki ,
Ni:-
Ni kwa Namna Gani Waafrika Tuondokane na Roho Mbaya ya Ubinafsi???
#YaRabiSalama#.