mtumishiwaleo
JF-Expert Member
- May 4, 2020
- 1,477
- 1,725
Intacharge Ubungo, stendi ya Mbezi.Unaweza kunitajia hapa hiyo iliyokamilika ambayo ni matunda ya JPM?!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Intacharge Ubungo, stendi ya Mbezi.Unaweza kunitajia hapa hiyo iliyokamilika ambayo ni matunda ya JPM?!
Of course, kila jambo lina faida na hasara zake...Zipo faida na hasara za kukopa WB na IMF na pia kukopa benk binafsi.
Mkuu TUJITEGEMEE... hiyo sio hasara bali ni faida!!!Hasara ya kukopa WB na IMF nikiwa wakopeshaji hawa wanakupangia fedha walizokukopesha uzitumieje na kuchunguza sana masharti wanayokupa ukiyafuata kama yalivyo huo mradi uliopanga kuutekeleza kwa fedha hizo hautakaa uje kukuletea tija. Kibaya zaidi uambatanisha na masharti ambayo hayahusu financial issues kwa nchi mkopaji. Mifano ipo. Riba inasemwa ni ndogo hatuelezwi udogo wake.
Haina masharti kama you've something to offer kama nilivyosema hapo juu!!Hasara ya kukopa benki binafsi nikuwa riba yao nikubwa ingawa hatuelezwi ukubwa wa riba hiyo. Mikopo ya hawa jamaa haina masharti zaidi ya kuelekezwa ulipe deni kwa wakati. Mifano ipo
Nafahamu sananSina hakika mkuu wangu, Chige hauyajui haya.
Nikipata muda nitapitia lakini nikujuze tu kwamba, kwa yeyote aliyesoma uchumi at university level, anafahamu vema masuala ya Structural Adjustment Program kwa sababu tumesoma sana hayo!!!Pitia peer reviewed article hii inayofafanua vizuri hasara ya kutumia wb na imf.
Sasa inahusiana nini na nilichosema?!View attachment 1988129
Ungesoma post hii na mwenye uelewa wa ‘public finance’ na historia yake vizuri.
Ungefahamu DMO stands for ‘Debt Management Office’ na hizo department zinatakiwa kuwa wizara fedha zote duniani, hasa nchi maskini kama sehemu ya kuangalia mikopo ya nchi na kufanya stress ambazo IMF na WD wanazipitia kwa kufuata frameworks zako.
Sasa maana yake nini ili ukope kuna frameworks zao moja wapo ni hiyo DSA, by know you should public finance sio uwanja so tusipotezeane muda.
Upo sahihi kwa 900%... Balile mnafiki sana!!Huyu mnafiki sana na wataibuka wanafiki wengi sana kama huyu, masikitiko tuliyonayo wakati yupo hai walikuwa wanajifanya wanampamba sana, sasa hayupo hai wanajikweza ili waonekane wanaenda sawa na Mama, watu wa hivi ni wa kuogopwa sana,bora mchawi kuliko mnafiki
Mama Samia anaubunifu? Yeye alishasema kazi yake ni kuangali graph! Sasa hapo ujiongeze nini kitatokea? Mama samia tumwache apambane kivyake msije hapa kumtetea wakati mwenzake JPM alikopa na akafanya vitu vya kuonekana!Mleta mada kaandika ukweli mtupu. Awamu ya tano imeacha mzigo wa madeni. Mama anapambana kwa ubunifu alionao ili yaweze kulipwa.
Hivi wewe unaowaamini ni wale wenye makaratasi pee kuwa wanajua mambo ya fedha? Hebu niomeshe Supermarket yeyote ya maana dar,arusha au mwanza ianyomilikiwa na mtu wa degree uchwara za finance hapa?Sasa inahusiana nini na nilichosema?!
Narudia, Acha Mbwembwe na tambo....
Kufuchua uongo wako ndo kukupotezea muda?!
Unaleta mbwembwe za kuwa mtalaamu wa Public Finance baada ya kuweka bayana uongo wako?
Hivi ulikuwa unajaribu kusema nini hasa?!Hivi wewe unaowaamini ni wale wenye makaratasi pee kuwa wanajua mambo ya fedha? Hebu niomeshe Supermarket yeyote ya maana dar,arusha au mwanza ianyomilikiwa na mtu wa degree uchwara za finance hapa? Watu wakawaida wanaweza kuwa na mchango bora sana kuliko hao wenye makaratasi! Kwanza nyinyi mnaojidai mnamakaratasi mlikuwepo tokea uhuru lakini mnatufanyia upumbavu tu kila siku! Matokeo sifuri licha ya maneno mengi!
Shukrani Mkuu...Heshima yako Bw. Chige
Huwa naenjoy sana nikiona mabandiko yako kwangu ni darasa tosha. Mengine huwa naya-print
Una AKILI sana.Tupe na thamani ya miradi iliyotokana na deni, kama uwiano wa deni na uchumi kukua ni 30% huko kutendwa kunatokeaje?
Anzia upanuzi wa bandari, SGR, Upanuzi wa highways, mabarabara ya mitaa, stand za mabasi nchi
Watanzania hawasomi na Wala hawana maarifa ya kutafuta taarifa kwenye internet. Ilikuwa Magufuli akiwadanganya ndiyo imetoka hivyoIla watanzania mna ujinga Sana sijui ni madhara ya elimu tunayopata Hadi tunAshindwa kutafuta taarifa.
Barabara za lami na mataa unayoyaona mitaani kwenye majiji yote Ni mradi wa Dar metropolitan project , huu mradi aliusaini kikwete na unaenda kuisha mwaka 2022. Ni pesa za world bank. Sijui kwanini sifa mnampa Magufuli peke Yake. Ingia hapa world usome mwenyewe. Development Projects : Dar es Salaam Metropolitan Development Project - P123134
Sipingi uchapakazi wa Magufuli ila tuache kupotosha.
Mradi wa umeme vijijini kikwete aliuacha ukiwa unakuwa financed na MCC PROJECT ya Marekani na lengo ilikuwa vijiji vyote viwe na umeme mpaka 2020. Ila Magufuli alipokonywa huo mradi wa MCC na Marekani, leo tunakatwa hela za REA kila tukinunua Luku.
Daraja la Ubungo upembuzi yakinifu na mkopo wa pesa zake umeanza kuanzia kipindi Cha kikwete. Naomba uchukue muda kusoma hii article TANROADS – Ubungo Interchange – Dar es Salaam
Lakini ukweli unabaki palepale, acha siasaMzee wakati wa Mwendazake hiyo tovuti ya BoT si ilikuwepo, mbona hukuitumia na kuleta taarifa kama hizi? Nakumbuka kuna wakati gazeti lako lilisifiwa hadharani na JPM kwa kuibua uozo sijui bandarini ama wapi lakini hili ambalo unasema linatutoa utumbo hukulisema. Leo ndio umeliona, kweli ya Mungu mengi.
Asingeshindwa ila angeonekana kiroja cha karne...Sawa ila kwa maana angetaka ausitishe kama ile Bandari ya Bagamoyo angeshindwa?
Uongo kwa kuniwekea maneno yako. Unakuja na story ambazo unataka nizijibu vitu ambavyo sijaongea.Sasa inahusiana nini na nilichosema?!
Narudia, Acha Mbwembwe na tambo....
Kufuchua uongo wako ndo kukupotezea muda?!
Unaleta mbwembwe za kuwa mtalaamu wa Public Finance baada ya kuweka bayana uongo wako?
Una ushahidi gani kama yeye hakopi?.Mama Samia anaubunifu? Yeye alishasema kazi yake ni kuangali graph! Sasa hapo ujiongeze nini kitatokea? Mama samia tumwache apambane kivyake msije hapa kumtetea wakati mwenzake JPM alikopa na akafanya vitu vya kuonekana!