Balile: Tukimsikiliza Dkt. Nchimbi, kesi ya Lissu itafutwa

Balile: Tukimsikiliza Dkt. Nchimbi, kesi ya Lissu itafutwa

Tatizo ni No refom no Election, hakuna cha uhaini wala nini, wanaweweseka, unaweza ukajiuliza vyama vyote vilivyobak vimekubali kuingia kwenye uchaguzi isipokuwa CHADEMA hofu wanapata wapi?
 
Kwa hoja zake zote alizotoa huyo bwana mkubwa zinaashiria kwamba Lissu anatakiwa afuate mfumo wa Mbowe wa kuwa leashed na Chama cha mambuzi ili afanye siasa ambazo ziko controlled na za maigizo. Kwa lugha nyingine afike bei kwa veggies PP.

..wanataka Lissu / Chadema waingie " ppp " na Samia / Ccm?

..Balile kafumbia macho dhuluma za miongo kadhaa ambazo vyama vya upinzani vimekuwa vikifanyiwa na Ccm.
 
Ndugu Balile, chombo unachokiongoza walikupakupaje ilihali huna sifa?

Watu kama nyinyi, mnapaswa kutangulizwa mbele wakati wa vita ili mkiisha pigwa risasi, wanaume ndio wanaingia mzigoni

Umeshindwa hata kubainisha iwapo Lissu kashitakiwa kwa sababu ya kamdomo au Uhaini

Na kwa tarifa yako, hata ukiwa wewe ndiye hakimu wa hii kesi, bado utapigwa za uso
 
Wacheni anyoroshwe tu huyu mliberali. Huwezi kuwa mpigania Haki wa style hii. TL ajaribu kuheshimu viongozi wetu wa serikali iliyopo madarakani. Ajifunze kwa Mbowe. Na Nyie nyumbu punguzeni mihemko mnazidi kumponza mtoa mapovu wenu. Bure kabisa
➡Unataka wezi na mafisadi wanaojiita "serikali" waheshimiwe..?

➡Unataka hiki kikundi kijiitacho "serikali" kilichochukua madaraka hayo kwa nguvu ya kuiba kura na kupora haki ya watu halali waliochaguliwa na wananchi kuunda "serikali halali" waheshimiwe...?

➡Tunawezaje kuheshimu ushenzi na uuaji wa hicho kiitwacho "serikali ya CCM...?"

##Your days are absolutely numbered!!!!
 
---matter of fact tangu ianzishwe Jamiiforum.com na Twitter sijawahi kusoma gazeti lolote la Tanzania, maana ni uozo mtupu. Oneni Paskali, oneni huyu Balile. Na nina-subscribe hata New York Times, Financial Times hata South China Morning Post, Bday.co.za. Pumbafuuuuuuu hawa waandishi wa Tanzania.
Hata wao wanafurahi magazeti yao kutosomwa na wapumbavu kama wewe.
 
Kwa jina la kulinda demokrasi katika nchi yetu, naamini si sahihi mtu yeyote ambaye hajala njama za wazi za kufanya mapinduzi ya serikali kufunguliwa kesi ya uhaini. Narudia, sijasoma jadala kujua Lissu alifanya njama zipi, ila nimeshitushwa na Lissu kufunguliwa kesi nzito ya aina hii. Kila nikisoma makosa aliyotuhumiwa nayo yanaangukia kwenye uchochezi, ila kumpa uhaini? Wahusika wamekwenda mbali mno.

Sitanii, tayari tumeanza kula matunda ya kufungua kesi ya uahini kwa wanasiasa. Tanzania kwa ustaarabu wa Rais wetu Dk. Samia Suluhu Hassan, si ya kuingizwa katika ligi moja na Uganda au Sudani Kusini katika kuminya demokrasia. Tuliamini enzi za Awamu ya Tano zimekwisha, kumbe bado watesi wapo. Vyombo vya habari vya kimataifa vinavyotuandika juu ya kesi hii tunaweza kuvichukulia kwa wepesi ila mambo kama hayo ndiyo yamefukuza wawekezaji hapa Kenya, wakakimbilia Tanzania kwa wingi.

Nakubaliana na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi kwamba CHADEMA kama wameamua kugomea uchaguzi ni haki yao kugoma. Aliliweka vizuri mno hili tukiwa pale Songea kuwa kama hawataki kushiriki uchaguzi wa mwaka huu, waachwe watashiriki 2030, 2040 au 2050 wakati watakapowiwa. Kumfungulia kesi ya uhaini Lissu ni kuipaka matope sura ya Tanzania kuwa hakuna uhuru wa kutoa mawazo au kufanya siasa.

Kukamatwa kwa Lissu kumeibua maswali mazito juu ya mwelekeo wa siasa za Tanzania. Siasa hizi za kupelekana mahakamani kwa tuhuma nzito kama uhaini si tu zinadidimiza uhuru wa kisiasa, bali pia zinatishia mshikamano wa kitaifa. Katika nchi yoyote inayojitahidi kujenga demokrasia imara, matumizi ya sheria kali kama uhaini kwa wanasiasa wa upinzani yanapaswa kuwa ya mwisho kabisa na kwa ushahidi wenye uthibitisho wa hali ya juu. Vinginevyo, hali kama hii inaibua hisia kuwa sheria inageuzwa silaha ya kisiasa, badala ya kuwa chombo cha haki.

Siasa za Tanzania sasa zinaanza kufanana na mashindano ya kumwaga petroli kwenye moto unaowaka. Vyama vya siasa, badala ya kushindana kwa hoja, vinaingia katika mtego wa kutumia nguvu au sheria kali dhidi ya wapinzani wao. Hali hii haina mshindi — kwa sababu kadri hali inavyozidi kuwa tete, ndivyo taifa linavyozidi kusogea katika hatari ya migawanyiko isiyofaa na kutikisika kwa amani ya nchi yetu.

Sitanii, siasa si uadui, bali ni ushindani wa mawazo na sera. Kukamatwa kwa Lissu kwa tuhuma za uhaini kunapaswa kuwa kengele ya tahadhari kwa wanasiasa wote — wa chama tawala na wa upinzani. Taifa linahitaji siasa za uvumilivu, majadiliano, na kuheshimu tofauti za mawazo badala ya siasa za chuki na hofu.

Kwa hakika, iwapo vyama vya siasa vitaendelea kushitakiana kwa tuhuma nzito kama hizi, Tanzania inaweza kujikuta kwenye mtego wa kisiasa ambao utakuwa vigumu kujinasua. Ni wakati wa viongozi wa kisiasa, watunga sera, vyombo vya dola na wananchi kwa ujumla kufikiria kwa kina athari za siasa hizi za kulipizana visasi kwa mustakabali wa taifa letu. Hapa ndipo nawaza kuwa wakati wa kuingia mwafaka kwa wanasiasa wetu umefika. Tusichochee kuni, tuzime moto. Chadema nanyi msimamo wenu wa kukataa mazungumzo mjue hauna hata chembe ya afya. Tusisubiri kupatanishwa, bali tupatane wenyewe. Mungu ibariki Tanzania.
0784 404 827
Mimi naungana na Balile kwa asilimia 100% chini ya 100%.
P
 
Huyu mbwa Balile amefurahia TL kukamatwa anauma na kupuliza.shenzyyyy..watanzania tuamke...
 
Kama una muda wa kutsha soma alichokiandika.......uchawa mtupu but worthy of reading!
Ona anavyonjudge Lisu ka dhihaka!

Extract from the story: Niseme mapema kuwa hata siku nilipofanya mahojiano na Lissu pale ofisi za CHADEMA Dar es Salaam, nilimpa tahadhari juu ya “kamdomo”. Hakunisikiliza akaishia kutukana, ila nikambana akaomba radhi. Sikubaliani na siasa za matusi, fujo, kutoheshimu sheria na matumizi ya wananchi kama ngao

Ila unakubaliana na siasa za kuiba kura, kuuwa wanachadema, kuwateka and the like? Balile Nshomile takataka


Na Deodatus Balile, JamhuriMedia, Nairobi


Wiki iliyopita sikuandika katika safu hii. Sikuandika si kwa sababu nyingine bali hekaheka za uchaguzi wa Jukwaa la Wahariri Tanzania (TEF), ambapo nawashukuru wanachama wa TEF kwa heshima kubwa waliyonipa ya kunichangua kwa kishindo bila kupingwa. Katika uchaguzi huu uliofanyika katika Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma, makamu wangu Bakari Machumu naye pia amepita bila kupingwa. Bila shaka hii ni imani kubwa mliyoonyesha kwetu ninyi wahariri, hivyo na sisi hatutawaangusha.


Nawapongeza wajumbe saba waliochanguliwa pia, Joseph Kulangwa, Salim Said Salim, Bakari Kimwanga, Stella Aron, Caren Tausi Mbowe, Anna Mwasyoke na Jane Mihanji. Najivunia safu hii, ambayo idadi ya wanawake imeongezeka zamu hii katika uongozi wa TEF. Uchaguzi huu ulikuwa moto wa kuotea mbali. Tulitikisana, walioshinda ni kicheko na walioshindwa walijifariki kwa K-Vant safari yote ya Songea – Dar es Salaam.


Sitanii, wiki iliyopita ilikuwa ya burudani ya kipekee kwa upande mmoja na machungu kwa upande mwingine. Tumeshuhudia timu kubwa ya Simba Sports Club ikiisasambua Klabu ya Al Masry inayoshikilia nafasi ya nne katika msimamo wa ligi ya Misri. Simba sasa inacheza nusu fainali ya Kombe la Washindi barani Afrika, baada ya mara ya mwisho kufikia hatua hii miaka 32 iliyopita, yaani mwaka 1993. Hongereni wanasimba, hongereni Watanzania kwani ushindi huu ni wa nchi yetu na unalitangaza taifa letu kuliko utani wetu wa “vura” na “makolo”. Ila naomba Uwanja wa Mkapa ukarabatiwe. Umetutia aibu katika mechi hii.


Wakati nikitaja mema hayo yaliyokuwapo Tanzania, nilialikwa hapa Nairobi, Kenya nikiwa Rais wa Wahariri Afrika Mashariki (EAES) kushuhudia Uchaguzi wa Jukwaa la Wahariri la Kenya (KEG). Jumamosi ya Aprili 12, 2025 tuliingia ukumbini na uchaguzi wa viongozi hawa haukufanyika. Haukufanyika kutokana na idadi ya wanachama waliohudhuria kutotimiza akidi. Sisi hapo kwetu Tanzania mahudhurio Songea yalikuwa asilimia 98, wao hapa Nairobi yaliishia kuwa asilimia 29, hivyo hawakufikia asilimia 50 inayotakiwa kikatiba kufanya uchaguzi. Tujipongeze sisi wahariri wa Tanzania kwa kuithamini TEF yetu. Hakika tumeijenga TEF imara inayosifika ndani na nje ya nchi. Tumshukuru Mungu kwa hili.


Sitanii, masikitiko ya pili, nikiwa hapa Nairobi nikaona taarifa kuwa Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Tundu Lissu, amekamatwa mkoani Ruvuma. Lissu, ambaye ni mmoja wa wanasiasa wakosoaji wakubwa wa serikali, alikamatwa na polisi akiwa Ruvuma, ila akafikishwa mahakamani Kisutu – Dar es Salaam akikabiliwa na mashtaka mazito ya uhaini — tuhuma ambazo zimewasha moto katika mjadala wa mustakabali wa siasa za vyama vingi nchini mwetu.


Sijasoma jalada juu ya mashitaka aliyofunguliwa Lissu, ila kupitia mitandao na magazeti naona amefunguliwa mashitaka ya uhaini kwa madai ya kutoa matamshi yanayodaiwa kuhatarisha usalama wa taifa na kuchochea uvunjifu wa amani. Maneno hayo yanadaiwa kutolewa kwa nyakati mbalimbali na Lissu, inadaiwa kuwa kauli zake zimetafsiriwa kama kuchochea wananchi kupinga mamlaka halali ya dola. Wafuasi wa Lissu wanapinga vikali tuhuma hizi, wakidai kuwa ni mwendelezo wa mkakati wa kuwanyamazisha wapinzani na kudhoofisha uhuru wa maoni nchini.


Jumapili asubuhi nilipotoka kanisa la Familia Takatifu Basilica Nairobi, nikanunua magazeti matatu; The East African, Sunday Nation na The Sunday Standard. Kichwa cha habari kuu ya Gazeti la The East African kilisomeka: Under siege (Wamezingirwa). Likaweka picha ya kiongozi wa upinzani Uganda, Dk. Kizza Besgye, Mwenyekiti wa CHADEMA Tanzania, Tundu Lissu na Makamu wa Rais wa Sudan Kusini, Dk. Riek Machar. Likasema wote hawa wamefunguliwa kesi za uhaini katika nchi zao, ilihali Dk. Machar akiwa katika amri ya kutotoka ndani.


20250416064522_-586949679_4351732786255743603_640_312_85_webp.webp

Sitanii, nimesema sijasoma jalada la kesi dhidi ya Lissu. Naona sasa atakula pasaka akiwa rumande, kwani Mahakama ya Kisuti imeahirisha kesi hiyo hadi Aprili 24, 2025. Najua wapo wanaosema acha ashike adabu kidogo. Niseme mapema kuwa hata siku nilipofanya mahojiano na Lissu pale ofisi za CHADEMA Dar es Salaam, nilimpa tahadhari juu ya “kamdomo”. Hakunisikiliza akaishia kutukana, ila nikambana akaomba radhi. Sikubaliani na siasa za matusi, fujo, kutoheshimu sheria na matumizi ya wananchi kama ngao.


Ninachosema matumizi ya wananchi kama ngao, kwa tafsiri ndefu anacholenga Lissu anaposema “No reform, no election,” analenga kuhamasisha watoto wa watu kuingia barabarani. Hajali iwapo wataumizwa au kupoteza maisha kutoka kwa vyombo vitakavyokuwa vinalinda amani na usalama wa wananchi. Nawataka washiriki wa mchezo wa siasa washiriki kwa mujibu wa sheria na si vinginevyo. Mwaka 2015 Edward Ngoyai Lowassa alipata karibu asilimia 40 ya kura bila kutumia mabavu.


Sitanii, siasa za Tanzania ni za nguvu ya hoja na si za hoja ya nguvu. Kwa majirani zetu hapa nilipo Kenya, kwao matumizi ya nguvu kwenye siasa haikuanza leo. Mwaka 1982 baadhi ya watu walifanya jaribio la mapinduzi, sawa na ilivyotokea kwetu mwaka 1963 au akina Uncle Thom miaka ya 1980 pia kilichotokea sote tunajua. Kenya wanafunzi walimwagika barabarani, polisi waliokuwa wanalinda amani wakawamiminia risasi. Sisi Tanzania walitafutwa viongozi wa uasi, na hakuna Mtanzania aliyeuawa. Kenya wamezoea kuanzia enzi za MAUMAU. Sisi tumedai uhuru kwa amani. Kufikiri Gen-Z itahamia Tanzania na kufanya kazi, ni kujitekenya ukacheka.


Hata hiyo, wakati nikieleza ninachokiwaza kwa uwazi, mwandishi wa Vitabu Mnigeria, Chinua Achebe ametufundisha kupitia fasihi, kwamba sisi wanadamu tunalo jukumu la “kumfukuza mbwamwitu kwanza, kisha tumuonye mwanambuzi asichezee vichakani.” Nafahamu kuna ambao wameifurahia makala hii kabla ya kuanza kusoma aya hii, na kuna ambao wanatamani kunichana kabla ya kusoma aya hii na kuendelea.


Kwa jina la kulinda demokrasi katika nchi yetu, naamini si sahihi mtu yeyote ambaye hajala njama za wazi za kufanya mapinduzi ya serikali kufunguliwa kesi ya uhaini. Narudia, sijasoma jadala kujua Lissu alifanya njama zipi, ila nimeshitushwa na Lissu kufunguliwa kesi nzito ya aina hii. Kila nikisoma makosa aliyotuhumiwa nayo yanaangukia kwenye uchochezi, ila kumpa uhaini? Wahusika wamekwenda mbali mno.


Sitanii, tayari tumeanza kula matunda ya kufungua kesi ya uahini kwa wanasiasa. Tanzania kwa ustaarabu wa Rais wetu Dk. Samia Suluhu Hassan, si ya kuingizwa katika ligi moja na Uganda au Sudani Kusini katika kuminya demokrasia. Tuliamini enzi za Awamu ya Tano zimekwisha, kumbe bado watesi wapo. Vyombo vya habari vya kimataifa vinavyotuandika juu ya kesi hii tunaweza kuvichukulia kwa wepesi ila mambo kama hayo ndiyo yamefukuza wawekezaji hapa Kenya, wakakimbilia Tanzania kwa wingi.


Nakubaliana na Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi kwamba CHADEMA kama wameamua kugomea uchaguzi ni haki yao kugoma. Aliliweka vizuri mno hili tukiwa pale Songea kuwa kama hawataki kushiriki uchaguzi wa mwaka huu, waachwe watashiriki 2030, 2040 au 2050 wakati watakapowiwa. Kumfungulia kesi ya uhaini Lissu ni kuipaka matope sura ya Tanzania kuwa hakuna uhuru wa kutoa mawazo au kufanya siasa.


Kukamatwa kwa Lissu kumeibua maswali mazito juu ya mwelekeo wa siasa za Tanzania. Siasa hizi za kupelekana mahakamani kwa tuhuma nzito kama uhaini si tu zinadidimiza uhuru wa kisiasa, bali pia zinatishia mshikamano wa kitaifa. Katika nchi yoyote inayojitahidi kujenga demokrasia imara, matumizi ya sheria kali kama uhaini kwa wanasiasa wa upinzani yanapaswa kuwa ya mwisho kabisa na kwa ushahidi wenye uthibitisho wa hali ya juu. Vinginevyo, hali kama hii inaibua hisia kuwa sheria inageuzwa silaha ya kisiasa, badala ya kuwa chombo cha haki.


Siasa za Tanzania sasa zinaanza kufanana na mashindano ya kumwaga petroli kwenye moto unaowaka. Vyama vya siasa, badala ya kushindana kwa hoja, vinaingia katika mtego wa kutumia nguvu au sheria kali dhidi ya wapinzani wao. Hali hii haina mshindi — kwa sababu kadri hali inavyozidi kuwa tete, ndivyo taifa linavyozidi kusogea katika hatari ya migawanyiko isiyofaa na kutikisika kwa amani ya nchi yetu.


Sitanii, siasa si uadui, bali ni ushindani wa mawazo na sera. Kukamatwa kwa Lissu kwa tuhuma za uhaini kunapaswa kuwa kengele ya tahadhari kwa wanasiasa wote — wa chama tawala na wa upinzani. Taifa linahitaji siasa za uvumilivu, majadiliano, na kuheshimu tofauti za mawazo badala ya siasa za chuki na hofu.


Kwa hakika, iwapo vyama vya siasa vitaendelea kushitakiana kwa tuhuma nzito kama hizi, Tanzania inaweza kujikuta kwenye mtego wa kisiasa ambao utakuwa vigumu kujinasua. Ni wakati wa viongozi wa kisiasa, watunga sera, vyombo vya dola na wananchi kwa ujumla kufikiria kwa kina athari za siasa hizi za kulipizana visasi kwa mustakabali wa taifa letu. Hapa ndipo nawaza kuwa wakati wa kuingia mwafaka kwa wanasiasa wetu umefika. Tusichochee kuni, tuzime moto. Chadema nanyi msimamo wenu wa kukataa mazungumzo mjue hauna hata chembe ya afya. Tusisubiri kupatanishwa, bali tupatane wenyewe. Mungu ibariki Tanzania.


0784 404 827
Balile ni takataka.
 
Wacheni anyoroshwe tu huyu mliberali. Huwezi kuwa mpigania Haki wa style hii. TL ajaribu kuheshimu viongozi wetu wa serikali iliyopo madarakani. Ajifunze kwa Mbowe. Na Nyie nyumbu punguzeni mihemko mnazidi kumponza mtoa mapovu wenu. Bure kabisa
Lakini waTz wenzangu, swala la tume huru limeimbwa miaka na miaka! Swali: Kwa nini lisifanyiwe kazi! Kuna shida gani hapo?
 
Sitanii, nimesema sijasoma jalada la kesi dhidi ya Lissu. Naona sasa atakula pasaka akiwa rumande, kwani Mahakama ya Kisuti imeahirisha kesi hiyo hadi Aprili 24, 2025. Najua wapo wanaosema acha ashike adabu kidogo. Niseme mapema kuwa hata siku nilipofanya mahojiano na Lissu pale ofisi za CHADEMA Dar es Salaam, nilimpa tahadhari juu ya “kamdomo”. Hakunisikiliza akaishia kutukana, ila nikambana akaomba radhi. Sikubaliani na siasa za matusi, fujo, kutoheshimu sheria na matumizi ya wananchi kama ngao.

Balile ni adui wa mfumo wa vyama vingi vya siasa, anaisaliti dhima ya TEF, anafanya utovu wa nidhamu ya kitaaluma, na anaumwa ugonjwa wa akili uitwao "genital-oriented selective amnesia" ​

1744818976648.png

Deodatus Balile, Mwenyekiti wa TEF​

Mwenyekiti wa TEF na Mhariri Mkuu wa gazeti la Jamhuri, Deodatus Balile, anasema kwamba:

"Siku nilipofanya mahojiano na Lissu pale ofisi za CHADEMA Dar es Salaam, nilimpa tahadhari juu ya 'kamdomo' ... [lakini] hakunisikiliza," kabla ya kuongeza kwamba "siasa za Tanzania ni za nguvu ya hoja na si za hoja ya nguvu."

Napendekeza kusema mambo matatu ili kujibu maneno ya Balile.

Mosi, Balile ni kibaraka wa serikali anayehujumu dhima, dira na tunu za Jukwaa la Wahariri (TEF).

Kwa mujibu wa Tovuti ya TEF, yaani Jukwaa la Wahariri Tanzania (Tanzania Editors' Forum--TEF), hawa jamaa wanayo dira, dhima na tunu zifuatazo:

Dhamira ya TEF ni: Kutetea uhuru wa kujieleza kwa msisitizo maalum juu ya uhuru wa vyombo vya habari. Kukuza ubora wa uhariri kwa kuboresha maadili, taaluma na ubora wa maudhui. Kuweka ajenda na kuanzisha mijadala ya umma na sera. Na kuunganisha sekta ya habari.

Dira ya TEF ni: Kuunda jamii ya kidemokrasia, inayoungwa mkono na uandishi wa habari wa hali ya juu wa maslahi ya umma, ambapo wananchi na vyombo vya habari huhoji kwa uhuru, kueleza, kubadilishana habari na maarifa.

Na Maadili ya TEF ni: Uwajibikaji, Uwazi, Mabadiliko, Uadilifu, Ushirikiano, na Usahihi.

Hata hivyo, pamoja na dira, dhima na tunu bora hivi, bado Balile alikubali kuchaguliwa kuwa Mwenyekiti wa TEF baada ya hotuba ya mgeni rasmi, waziri Mkuu Majaliwa, iliyowatisha wajumbe waliokusanyika pale Morogoro kumchagua, kwa mara ya kwanza mwaka 2021.

Waziri Mkuu alisema kwamba wahariri wasipimchagua "mtu anayekubalika kwa serikali" TEF haitapewa ushirikiano kutoka serikalini. Tangu siku hiyo dira, dhima na tunu za TEF zikawekwa kapuni.

Yaani, Balile ni zao la vitisho hivyo, na mpaka sasa anachofanya ni kutekeleza ajenda ya serikali, maana mlipa zomari ndiye huchagua wimbo.

Na ndio sababu TEF iko kimya wakati magazeti yote yanaimba "Mapambio ya Mama" kana kwamba ni "Public Relations Departments" za serikali. Hiyo sio TEF aliyokabidhiwa Balile. Ajitafakari, ajisahihishe.

Pili, napenda kusema kwamba, balile anadondosha maneno anaposema kwamba "siasa za Tanzania ni za nguvu ya hoja na si za hoja ya nguvu" bila kueleza anaongelea siasa za Tanzania ipi.

Balile anaongelea siasa gani? Siasa za ulimwengu wa Nyerere? Siasa za ulimwengu wa Mwinyi?
Siasa za ulimwengu wa Mkapa? Siasa za ulimwengu wa Kikwete? Siasa za ulimwengu wa Magufuli? Siasa za ulimwengu wa Samia? Au siasa za ulimwengu wa Gazeti la Jahmuri? Hajafafanua.

Lakini vyovyote iwavyo, kote huko, isipokuwa enzi za Nyerere, hakuna "siasa za ... nguvu ya hoja" bali kuna "siasa ... za hoja ya nguvu."

Kilichopo ni mkakati wa kuwashambulia waleta hoja badala ya kuishambulia hoja, na Balile anashiriki katika utekelezaji wake.

Yaani, hata yeye Balile ni anaumwa ugonjwa huu wa kuwashambulia waleta hoja badala ya kuishambulia hoja.

Nitatumia mfano wa tukio aliloliongelea mwenyewe, yaani siku Balile alipofanya mahojiano na Lissu pale ofisi za CHADEMA Dar es Salaam, kuthibitisha ukweli huu.

Siku ile, Balile alimwuliza Lissu, kwa njia ya utukutu wa kuingilia maelezo ya Lissu, kwamba:

"Uongozi wa Chadema utahakikishaje kwamba haupokei fedha chafu kutoka kwa mashoga kupitia mradi wake wa TONE TONE unaotekelezwa kwa kutumia namba za simu na akaunti za benki?"

Balile alitaka kutuaminisha kinafiki kwamba yeye hajawahi kujiuliza na kujijibu kuhusu swali lifuatalo:

"Uongozi wa gazeti la Jamhuri utahakikishaje kwamba haupokei fedha chafu kutoka kwa mashoga kupitia mradi wake wa BUKU BUKU unaotekelezwa kwa kuandaa, kusambaza na kuuza gazeti la Jamhuri?"

Pia, Balile alitaka kutuaminisha kinafiki kwamba yeye hajawahi kujiuliza na kujijibu kuhusu swali lifuatalo:

"Serikali itahakikishaje kwamba haipokei fedha chafu kutoka kwa mashoga kupitia mradi wake wa MAKUSANYO YA KODI YA VAT unaotekelezwa kwa kukusanya kodi ya 18% kutoka kwa kila mnunuzi wa mwisho wa huduma na bidhaa bila kubagua majambazi, wazinzi, waasherati, wezi, wala rushwa na mashoga"

Lakini, Balile sio mtu wa kushindwa kujiuliza na kujibu maswali haya.

Anaujua ukweli kwamba katika makusanyo yake kutokana na mradi wake wa BUKU BUKU Balile hana uwezo wa kuchuja na kuzikataa fedha chafu kutoka kwa mashoga, malaya, wezi, wazinzi, wala rushwa, wauza unga na majambazi. Hata makanisa na misikiti havina uwezo huo.

Pia anajua kuwa, katika kuksanya kodi ya VAT, serikali haina uwezo wa kuchuja na kuzikataa fedha chafu kutoka kwa mashoga, malaya, wezi, wazinzi, wala rushwa, wauza unga na majambazi.

Lakini bado Balile aliukwepa ukweli huu kwa kuwa lengo lake lilikuwa ni kufanya hujuma za kumyumbisha Tundu Lissu kwa kumweka kwenye "slippery slope" iliyojaa matope ya mihemuko ya fikra za kishoga, ili kwa njia hiyo amwondoe kwenye hoja za msingi badala ya kumpa nafasi ya kujielekeza kwenye hoja za msingi zilizokuwa mezani.

Huu ni mfano mmoja hai wa kuthibitisha utovu wa nidhamu ya kitaaluma kwa upande wake Balile katika kutekeleza majukumu yake kama Mwenyekiti wa TEF.

Na mpaka leo Balile hajaomba radhi kwa uhuni wake huu.

Wakati wa kampeni ndani ya Chadema, Timu Mbowe walishirikiana na watu wa system kumdhoofisha Lissu kwa kutumia propaganda za ushoga.

Lakini bado kina Balile bado hawataki kuamini kwamba ushindi wa Lissu umefuta propaganda hizo, kwa maana kwamba wapiga kura walio wengi hawakuziamini na hivyo wamezikataa.

Na jambo la tatu nataka kuongelea ni shida inayomsumbua Balile. Kwa maoni yangu Balile anaumwa ugonjwa wa akili uitwao "genitalism."

Ugonjwa huu unazo aina kadhaa, lakini moja inayomhusu Balile ni "genital-oriented selective amnesia."

Kitaalam, mtu anayeumwa ugonjwa wa akili uitwao "selective amnesia" hupoteza kumbukumbu taarifa maalum tu kuhusu matukio ya aina fulani, majira fulani, yanayotokea katika mazingira fulani, lakini anabaki na kumbukumbu ya mambo mengine yote.

Ugonjwa wa "genitalism," au tuseme ugonjwa wa "ujenitalia," humfanya mtu kuitazama dunia kwa kutumia miwani ya jenitalia, yaani kwa kutumia miwani ya "kumma, mmboo na mkunndu" ulio jirani na viungo hivi viwili.

Kwa sababu hizi mbili, naona kuwa, Balile anasumbuliwa na aina mojawapo ya ugonjwa huu, yaani "genital-oriented selective amnesia."

Na u
shahidi kwamba kina Balile wanasumbuliwa na tatizo la "genital-oriented selective amnesia" upo wa kutosha.

Mosi, ni mwepesi wa kusahau masuala yanayohusu fedha chafu kutoka kwa wezi, wala rushwa, wauza unga na majambazi, lakini mwepesi kukumbuka fedha chafu kutoka kwa mashoga, malaya, na wazinzi.

Pili, ni mwepesi kukumbuka masuala yanayohusu kazi za jenitali, lakini anasahau kazi za viungo vingine vya mwili.

Yaani, Balile anasahau kwamba, "kumma, mmboo na mkunndu," ni viungo vitatu pekee kati ya viungo 100 vya mwili wa binadamu (Tazama Kiambatanisho A).

Anasahau kabisa kazi za moyo, mapafu, figo, ini na ubongo, wakati hivi ni viungo vingine vilivyo muhimu zaidi na vingi sana mwilini.

Tatu, ni mwepesi kukumbuka majina ya madaktari wanatibu magonjwa ya jenitalia, kama vile mabingwa wa magonjwa ya kike ("gynecologist"), magonjwa ya kiume ("andrologist") na na magonjwa ya utumbo mpana, pura na mkunndu ("protocolgist"), lakini anasahau majina ya wataalam wengine wa tiba.

Yaani anawasahau watalaam hawa muhimu: Anesthesiologists, Cardiologists, Dermatologists, Endocrinologists, Gastroenterologists: Neurologists, Oncologists, Ophthalmologists, Otolaryngologists, Psychiatrists, Pulmonologists, Radiologists, Rheumatologists na Urologists. (Tazama Kiambatanisho B)

Nne, ni mwepesi kukumbuka kazi za mfumo wa uzazi, lakini anasahau kazi za mifumo ya kimwili ipatayo kumi.

KUna Mfumo wa damu; Mfumo wa tezi; Mfumo wa hewa; Mfumo wa jalada la mwili lenye luhusisha ngozi, kucha, na nywele; Mfumo wa homoni; Mfumo wa chakula; Mfumo wa kuchuja uchafu; Mfumo wa misuli na mifupa; Mfumo wa ubongo na mishipa ya fahamu; Mfumo wa kinga mwili; na Mfumo wa uzazi. (Tazama Kiambatanisho C)

Na tano, katika orodha ya maneno yanayotaka aina za uovu ni mwepesi kusahau maneno yote hayo isipokuwa maneno yanayohusiana na uovu unaofanywa kwa kutumia jenitalia, kama vile: uzinzi, uasherati, ulawiti, na ubakaji.

Balile anahitaji msaada wa tiba dhidi ya ugonjwa huu wa "genital-oriented selective amnesia" ili aweze kutekeleza majukumu yake ipasavyo.


Mipaka ya ukosoaji wangu

Hata hivyo, pamoja na matatizo niliyoyajadili hapo juu, bado nakubaliana na mawazo ya Balile yafuatayo:

"Siasa si uadui, bali ni ushindani wa mawazo na sera. Kukamatwa kwa Lissu kwa tuhuma za uhaini kunapaswa kuwa kengele ya tahadhari kwa wanasiasa wote — wa chama tawala na wa upinzani."

"Taifa linahitaji siasa za uvumilivu, majadiliano, na kuheshimu tofauti za mawazo badala ya siasa za chuki na hofu."

"Kwa hakika, iwapo vyama vya siasa vitaendelea kushitakiana kwa tuhuma nzito kama hizi, Tanzania inaweza kujikuta kwenye mtego wa kisiasa ambao utakuwa vigumu kujinasua."

"Ni wakati wa viongozi wa kisiasa, watunga sera, vyombo vya dola na wananchi kwa ujumla kufikiria kwa kina athari za siasa hizi za kulipizana visasi kwa mustakabali wa taifa letu."


"Hapa ndipo nawaza kuwa wakati wa kuingia mwafaka kwa wanasiasa wetu umefika. Tusichochee kuni, tuzime moto."

======Kiambatanisho A=========​

Orodha ifuatayo ya viungo 100 vya mwili wa mtu inaonyesha ukubwa wa tatizo linalowakabili waathirika wa ugonjwa wa aakili uitwao "genital-oriented selective amnesia," nilioujadili hapo juu:
  1. Adrenal glands
  2. Anus
  3. Arteries
  4. Ascending colon
  5. Bladder
  6. Bone marrow
  7. Bronchi
  8. Bronchioles and smaller air passages
  9. Bulbourethral glands
  10. Capillaries
  11. Cecum
  12. Cerebellum
  13. Cerebral hemispheres
  14. Cervix
  15. Choroid plexus
  16. Clitoris
  17. Cranial nerves
  18. Descending colon
  19. Duodenum
  20. Ear
  21. Enteric nervous system
  22. Epididymis
  23. Esophagus
  24. Eye
  25. Fallopian tubes
  26. Fingernails
  27. Forebrain
  28. Gallbladder
  29. Ganglia
  30. Glans penis
  31. Heart
  32. Hindbrain
  33. Human skeleton
  34. Hypothalamus
  35. Ileum
  36. Interstitium
  37. Jejunum
  38. Joints
  39. Kidneys
  40. Labia major
  41. Labia minor
  42. Larynx
  43. Ligaments
  44. Lips
  45. Liver
  46. Left lung
  47. Lymph node
  48. Lymphatic vessel
  49. Mammary glands
  50. Medulla oblongata
  51. Mesentery
  52. Midbrain
  53. Muscles
  54. Muscles of breathing
  55. Nasal cavity
  56. Nose
  57. Ovaries
  58. Pancreas
  59. Pancreas
  60. Parathyroid glands
  61. Parotid glands
  62. Penis foreskin
  63. Penis shaft
  64. Pharynx
  65. Pineal gland
  66. Pituitary gland
  67. Placenta
  68. Pons
  69. Prostate
  70. Rectum
  71. Right lung
  72. Scrotum
  73. Seminal vesicles
  74. Sigmoid colon
  75. Skin
  76. Sphincter muscles
  77. Spinal nerves
  78. Spleen
  79. Stomach
  80. Sublingual glands
  81. Submandibular glands
  82. Teeth
  83. Tendons
  84. Testicles
  85. Thalamus
  86. The spinal cord
  87. Thymus
  88. Thyroid gland
  89. Tongue
  90. Tongue
  91. Tonsils
  92. Trachea
  93. Transverse colon
  94. Ureter
  95. Urethra
  96. Uterus
  97. Vagina
  98. Vasa deferentia
  99. Veins
  100. Vulva
Viungo vya jenitalia na majirani zake vinaunda 15% ya viungo vyote vya mwili. Balile anasahau 85% na kujikita kwenye 15%, na hivyo kutumia miwani ya ujenitalia kuitazama dunia, bila uhalali wowote. Kuna tatizo hapo.

=========Kiambatanisho B==========​

Orodha ifuatayo ya wataalam wa tiba itaonyesha ukubwa wa tatizo linalowakabili waathirika wa ugonjwa wa aakili uitwao "genital-oriented selective amnesia," nilioujadili hapo juu.
  1. Andrologists: Focus on male reproductive health and other male sexual problems
  2. Anesthesiologists: Provide anesthesia and pain management during surgery.
  3. Cardiologists: Diagnose and treat heart and blood vessel conditions.
  4. Dermatologists: Specialize in skin, hair, and nail disorders.
  5. Endocrinologists: Focus on hormone-related disorders.
  6. Gastroenterologists: Diagnose and treat digestive system problems.
  7. Gynecologists: Provide care for women's reproductive health.
  8. Neurologists: Diagnose and treat brain and nervous system disorders.
  9. Oncologists: Treat cancer.
  10. Ophthalmologists: Treat eye conditions.
  11. Otolaryngologists: Treat ear, nose, and throat conditions.
  12. Proctologists/Coloproctologists: Treat conditions of the anus, rectum, and colon.
  13. Psychiatrists: Diagnose and treat mental health conditions.
  14. Pulmonologists: Treat lung and respiratory system conditions.
  15. Radiologists: Use imaging techniques to diagnose and treat medical conditions.
  16. Rheumatologists: Treat joint and connective tissue disorders.
  17. Urologists: Diagnose and treat disorders of the urinary tract.

=======Kiambatanisho C========​

Kama tunavyojua, tangu kidato cha kwanza, walimu wetu wa somo la bayolojia, wametufuindisha kwamba, viungo hivi vinaungana na kuunda mifumo mikubwa kumi na moja ya kimwili ifuatayo:
  • (1) Mfumo wa damu (circulatory organ system),
  • (2) Mfumo wa tezi (lymphatic organ system),
  • (3) Mfumo wa hewa (respiratory organ system),
  • (4) Mfumo wa jalada la mwili lenye luhusisha ngozi, kucha, na nywele (integumentary organ system),
  • (5) Mfumo wa homoni (endocrine organ system),
  • (6) Mfumo wa chakula (digestive organ system),
  • (7) Mfumo wa kuchuja uchafu (excretory organ system),
  • (8) Mfumo wa misuli na mifupa (muscular-skeletal organ system),
  • (9) Mfumo wa ubongo na mishipa ya fahamu (nervous organ system),
  • (10) Mfumo wa kinga mwili (immune organ system), na
  • (11) Mfumo wa uzazi (genital organ system).
Mchoro ufuatao unatoa picha kubwa kuhusu mahusiano yaliyopo kwenye mifumo hii ya mwili wa kila binadamu:

1699169984369.png
​

Ni katika muktadha huu namkumbusha Balile kwamba, viungo vya mwili vinavyoitwa jenitali sio miongoni mwa viungo vikuu vitano vyenye jukumu la kupigana na kifo, yaani ubongo, moyo, mapafu, ini na figo.

Mpaka hapo unaweza kuona kwa nini ugonjwa wa "genitalism" ni hatari kwa maisha ya jamii ya kila siku. Wakati viungo vitano muhimu sana katika mwili wa mtu ni ubongo, moyo, mapafu, ini na figo, wao hawaoni ukweli huu. Muda mwingi wanafikiria kuhusu "kumma, mmboo na mkunndu."

Wanajikita kwenye vitu vya pembezoni na kusahau vitu vya msingi. Unaweza kudhani kwamba kwenye koo zao kuna watu lukuki wenye changamoto za magonjwa ya "kumma, mmboo na mkunndu," na hivyo kuhitaji wataalamu kama vile "protocologists," "gynecologists," na "andrologists."

Nionavyo mimi, Balile ni mgonjwa wa "genitalism" na kada wa CCM asiyeweza kutofautisha kati ya "nguvu ya hoja" na "hoja ya nguvu" katika chambuzi zake.

Anahitaji kushauriwa ili aache tabia ya kuuma na kupuliza huku akiwachafua watu kwa makusudi kwa kutumia kanuni ya propaganda iitwayo "fallacy of association."

Kwa sababu hizi za kisayansi, Balile atafute tiba ya ugonjwa wa "genitalism" unaomsumbua kila kukicha.
 
Back
Top Bottom