Balile: Tukimsikiliza Dkt. Nchimbi, kesi ya Lissu itafutwa

Balile: Tukimsikiliza Dkt. Nchimbi, kesi ya Lissu itafutwa

Lakini waTz wenzangu, swala la tume huru limeimbwa miaka na miaka! Swali: Kwa nini lisifanyiwe kazi! Kuna shida gani hapo?
Mimi nadhani ishu muhimu kabisa ni katiba. Haya mengine huwa ni mepesi sana. Kuna faulo walifanya CDM wakati ule walipogomea mjadala wa bunge la katiba. Yaani Bora wangevumilia yakapitishwa angalau Mambo muhimu machache. Sasa tunayoyaona Leo ni matokeo ya dharau na misimamo ya hovyo HASA ya TL akimshauri vibaya mwenyekiti wa wakati ule Mbowe.
Umesema kitu Cha muhimu sana Kama taifa kwa kweli tunatakiwa kufanyia marekebisho katiba yetu. Hizo Sheria na kanuni zitafuata
 
Ni wajinga tu ndo watawasomq hawa waandishi wa Tanzania.

Balile hana moral authority wa kukosoa chochote anachofanya Tundu Lissu maana hakuna kosa lolote kwenye maneno na misimamo ya Lissu iwe kisheria au kmaadili.
Balile ni mpuuzi mmoja tu na anayemsikiliza hamjui balile.
 
Mimi nadhani ishu muhimu kabisa ni katiba. Haya mengine huwa ni mepesi sana. Kuna faulo walifanya CDM wakati ule walipogomea mjadala wa bunge la katiba. Yaani Bora wangevumilia yakapitishwa angalau Mambo muhimu machache. Sasa tunayoyaona Leo ni matokeo ya dharau na misimamo ya hovyo HASA ya TL akimshauri vibaya mwenyekiti wa wakati ule Mbowe.
Umesema kitu Cha muhimu sana Kama taifa kwa kweli tunatakiwa kufanyia marekebisho katiba yetu. Hizo Sheria na kanuni zitafuata
Uvumilivu wa kijinga hautufai ni sawa na sasa hivi mnavyolazimisha uchaguzi wakati nia mbaya mnayo mifukoni mwenu.CHADEMA wakisema No Reform No Election mnasema ni uhaini.
 
Kumkamata mlemavu akifanya siasa kikatiba ni uonevu!

Kama wao wanasema no reform no election na nyie makada wenzangu si mseme kinyume chake!!?
Hajakamatwa Kwa sababu ya ulemavu wala kusema no reforms no etection

Amekamatwa Kwa somo lake lisilo na filter

Kwanza kumkamata domo ni kumpa kiki tu… he cant lead anything
 
Wacheni anyoroshwe tu huyu mliberali. Huwezi kuwa mpigania Haki wa style hii. TL ajaribu kuheshimu viongozi wetu wa serikali iliyopo madarakani. Ajifunze kwa Mbowe. Na Nyie nyumbu punguzeni mihemko mnazidi kumponza mtoa mapovu wenu. Bure kabisa
We kweli mwehu! Ajifunze nn kwa Mbowe? Kuwazunguka wenzake?
 
Back
Top Bottom