Balile: Tukimsikiliza Dkt. Nchimbi, kesi ya Lissu itafutwa

Wacheni anyoroshwe tu huyu mliberali. Huwezi kuwa mpigania Haki wa style hii. TL ajaribu kuheshimu viongozi wetu wa serikali iliyopo madarakani. Ajifunze kwa Mbowe. Na Nyie nyumbu punguzeni mihemko mnazidi kumponza mtoa mapovu wenu. Bure kabisa
viongozi wauaji
 
Balile ni kajitu kafupi na hopeless,
 
Shida ww balile unauliza maswali ambayo ni kama kumkomoa mtu,je ingekuwa kiongozi wa ccm,ungeuliza maswali ya kumpamba kiongoz huyo,
 
Amazungumza kuhusu kuanzisha uasi na akasema atakinukisha.
Sasa tusubiri mpaka afanye uasi na kunukisha ndio tuanze kuchukuwa hatuwa.
Tahadhar kabla ya athari
 
We bwege akili yako ishastaafu, hakuna kima ataachwa akihatarisha usalama na utulivu wa nchi yetu. Yule ni kibaraka ameshaandaa pa kukimbilia ndiko waliko familia yake. Safari hii ataozea gerezani foolish bustard
 
Wr
Ni wajinga tu ndo watawasomq hawa waandishi wa Tanzania.

Balile hana moral authority wa kukosoa chochote anachofanya Tundu Lissu maana hakuna kosa lolote kwenye maneno na misimamo ya Lissu iwe kisheria au kmaadili.
We si umelelewa jalalani, utatambua uchafu?
 
Kumkamata mlemavu akifanya siasa kikatiba ni uonevu!

Kama wao wanasema no reform no election na nyie makada wenzangu si mseme kinyume chake!!?
Kumbe huyo muungwana ni mlemavu gentleman?

kudeal na mropokaji mlemavu nayo ni mtihani sana aise 🐒
 
Nonsense
 
Huyu mwandishi hata kondoo anayo nafuu!
Maandishi yake hapa yanajieleza vizuri kuliko mtu mwingine kuyatafsiri kivyake.
Siku moja natamani sana kukutana na huyu 'kondoo' nchi yetu ikisha pata ukombozi kamili.
Najuwa ningetamani kumtemea mate kwa dharau kiumbe kama huyu, lakini nitajizuia kwa ubinaadam tu na u-Tanzania wake alio nao.
 
Aya hii haibadilishi chochote katika ukondoo uliokujaa kichwani. Kwa hiyo usidhani kuwa hii aya inakuondolea chochote.
Binafsi sijawahi kukusoma, lakini ni wazi uandisi wako ni wa kujaza tumbo tu basi. Huna 'conviction' hata chembe inayotembea katika mishipa ya damu yako.
Ni wazi unatumia taaluma ya uandishi kukidhi mahitaji binafsi, na siyo katika kujenga Tanzania yenye heshima. Uandishi umenyooka, lakini kilicho andikwa ni kazi ya mikono ya ibilisi mwenyewe kwa nchi yetu.
Hatimaye tutawakomesha tu, kwa njia yoyote itakayo itakayofaa.
 
Balile yule kibaraka wa Makonda au mwingine? Huyu jamaa sielewe anawadanganya nini waandishi wa habari wenzake hadi kila siku anakuwa kiongozi wao. Nilimtoa maan akwenye mgogoro wa Makonda na Clouds/Marehemu Luge Mutahaba.

Sijui kama jina la Luge nimelipatia, lakini hoja yangu ni kwamba, Huyu Jamaa alipo muita Luge kwenye kupatanishwa na Makonda, Luge alimuuliza maswali muhimu sana.

Jamaa akakwepa yote na aka side na Makonda, bila sababu yoyote nikajua, ni mjinga, mla rushwa, anatumika na watawala, na ni muongo sana.

Ukitaka kuamini nisemacho tafute hiyo Video U-Tube utaelewa naongea nini.

Tangu hapa kila kitokacho kinywani au aandikacho natamani ningewaambia watu, " Someni kwa taadhali sana, kilicho andikwa ni uongo mtupu".

Sasa anapojidai mchambuzi wa kila kitu, eti muandishi wa habari za uchunguzi, nacheka sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…