Balimi zangu naomba apewe mheshimiwa Rais ili akiongezea na zake apate 14

Balimi moja yauzwaje?

Na kwa mahesabu ya sasa kila mtanzania inabidi apate tshs ngapi?

Natanguliza shukrani.
Kwa mahesabu ya sasa kila mtanzania anapata sh 14,000/=. Tepewa ahadi hewa (maana tayari washasema hiyo hela ya kutupa hawana (siyo kwamba hawana hela, ila hela ya kutupa/ya show of good will hawana) ya 700 bilioni na tukiigawana watxnzania milioni 50 tunaambulia hizo elf 14 kila mmoja! Hazitoshi hata kadi ya single kwenye arusi!!! Ila kwa wanywaji wa "Pombe" hizo balimi 7 zinapatikana! Mimi nitanunulia kilo 2 za nyama!
 
Mmebaki kulewa balimi na kuongea kipare. Na mtalewa sana mpaka mtapike, hapa kazi tu.
 
Yaani lile dingi litazima chakali!

Balimi 14 sio mchezo
 
Balimi zangu nipewe tu kila MTU afe na chake balimi 7 nisawa na chapati ngapi wana mahesabu nisaidieni ili nikafanye exchange nipewe vyapati afu supu nitaongezea kaela kangu niliko tunzaga enzi za kikweteeeeeeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…