mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Sawa mnyarwandahalafu kuna matahira wanasema hakuna uhuru wa maoni
Ova
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mnyarwandahalafu kuna matahira wanasema hakuna uhuru wa maoni
Kwa mahesabu ya sasa kila mtanzania anapata sh 14,000/=. Tepewa ahadi hewa (maana tayari washasema hiyo hela ya kutupa hawana (siyo kwamba hawana hela, ila hela ya kutupa/ya show of good will hawana) ya 700 bilioni na tukiigawana watxnzania milioni 50 tunaambulia hizo elf 14 kila mmoja! Hazitoshi hata kadi ya single kwenye arusi!!! Ila kwa wanywaji wa "Pombe" hizo balimi 7 zinapatikana! Mimi nitanunulia kilo 2 za nyama!Balimi moja yauzwaje?
Na kwa mahesabu ya sasa kila mtanzania inabidi apate tshs ngapi?
Natanguliza shukrani.
Ambiere malokio?Hethina mawa akutosha aho avae, ni ushedhi fulani huvu vetuhiria.
Mmebaki kulewa balimi na kuongea kipare. Na mtalewa sana mpaka mtapike, hapa kazi tu.Wadau mmeona wenyewe tumefanikiwa kwelikweli, yani badala ya Noah sasa kila mtanzania anaweza kupata balimi saba.
Acha tulewe..., tulewe tuu..
Tuleeeewe...., tulewe tu!
Ila balimi zangu, kama zikitoka naomba apewe mheshimiwa rais ili akiongezea na zake basi anywe 14. Angalau anaweza kulewa.
Alewe tu!
Mazungumzo miezi minne unapata bia saba?
Naheri ulewe.
Lisu hajawahi kukosea!!
Alikosea wapi kwa mfano?
Makinikia yanasafiri , hakuna cha trillion 400 ,
Na wala hizo bia za kishika uchumba hazipo!
Yani ni ahadi ya bia na tunaweza pewa moja moja kila mwaka.
Leo gari imepakwa rangi inapigiwa gwaride. Kwakweli hili taifa ntakuja nihame.
Watu wanafanya magwaride kuonyesha mizinga mipya duniani, sisi tunafanya gwaride la kufanikisha kukaza gari bolt?
Kweli jameni tunadhalilishana hivi?
Nakuongeza na balimi zangu ufikishe 14 mkuu,kunywa ulewe uanze kuimbahalafu kuna matahira wanasema hakuna uhuru wa maoni
Mhaya ulie chelewa kufika dunianwere kilaza kweli
Mgonjwa lazima malaria imepanda tembelea kituo cha afya cha karibuJamaa sasa wameishiwa kabisa.
Endelea kulewa balimi.Mgonjwa lazima malaria imepanda tembelea kituo cha afya cha karibu
Yaani lile dingi litazima chakali!Wadau mmeona wenyewe tumefanikiwa kwelikweli, yani badala ya Noah sasa kila mtanzania anaweza kupata balimi saba.
Acha tulewe..., tulewe tuu..
Tuleeeewe...., tulewe tu!
Ila balimi zangu, kama zikitoka naomba apewe mheshimiwa rais ili akiongezea na zake basi anywe 14. Angalau anaweza kulewa.
Alewe tu!
Mazungumzo miezi minne unapata bia saba?
Naheri ulewe.
Lisu hajawahi kukosea!!
Alikosea wapi kwa mfano?
Makinikia yanasafiri , hakuna cha trillion 400 ,
Na wala hizo bia za kishika uchumba hazipo!
Yani ni ahadi ya bia na tunaweza pewa moja moja kila mwaka.
Leo gari imepakwa rangi inapigiwa gwaride. Kwakweli hili taifa ntakuja nihame.
Watu wanafanya magwaride kuonyesha mizinga mipya duniani, sisi tunafanya gwaride la kufanikisha kukaza gari bolt?
Kweli jameni tunadhalilishana hivi?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] kaazi kwelikweliBalimi 14 mzee zinabadilika na kuwa Bomu ujue
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]