Wakiboronga kule EPL wote wanahamia Madrid, kisa nini? Hawampendi Messi aliyewapiga kwenye fainal zote walizokutana nae, kingine zaidi ni kwamba wana mahaba na ronaldo.Ha ha haaaa! Kumbe ndo maana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakiboronga kule EPL wote wanahamia Madrid, kisa nini? Hawampendi Messi aliyewapiga kwenye fainal zote walizokutana nae, kingine zaidi ni kwamba wana mahaba na ronaldo.Ha ha haaaa! Kumbe ndo maana!
mliberia George Weah unamzungumziaje kuhusu tuzo ya uchezaj bora duniani na mafanikio ya timu yake ya taifa
Suarez anaingiaje when haja contribute chochote kwny team yake ya taifa
...Suarez alifungiwa lini? na hii tuzo wanayoitoa jan. wanaangalia performance ya msimu upi?!
Ushasahu Suarez alikuwa na adhabu ya FIFA ya kungata alifugiwa club na team ya taifa adhabau yake ndo imeisha juzi upande wa team ya taifa performance wanangalia ya msimu 2014/2015
Watu mmeweka uzi tujadili,mim nikaona mnajadili bila facts nikasema tusijadili kishabiki. Badala yake mnaendeleza ushabiki wa mtu. Sio kila mtu shabiki wa CR7 au Messi lazima awe Madrid,Man U au Barcelona. Tuzungumze mpira tu hapa. Ni tuzo anayopewa individual who has been the best in the past calender year. So angalia juhudi binafsi za mtu,rekodi alizoweka kwenye timu alizoshiriki,yaani club na taifa,tuzo binafsi n.k. Mjadala uanzie hapo,mim nmeanza kusema Pichichi kabeba msiyempenda,magoli mengi UCL mnajua,nyingine jazeni wenyewe. Ushabiki tupa kule
....sijasahau, najua Suarez alifungiwa last yr bt b4 that alishacheza baadhi ya mechi za timu ya taifa au unataka kuniambia last yr Suarez hakucheza mechi ya timu ya taifa hata moja?!
...jana usiku Messi kapewa tuzo ya striker bora wa la liga msimu uliopita.
Hope now utatulia!
Mara ya mwisho wa Suarez kucheza timu ya taifa ni tarehe 24 June 2014 toka hapo hajacheza hadi Leo
Suala sio kutulia,vitu km hivi ndio vinafanya mjadala uwe mzuri. Striker bora Messi,Magoli mengi msimu uliopita CR7(Pichichi). Wadau waendelee sasa kuleta hoja km hizi
...sawasawa, kumbe alicheza mwaka jn(msimu uliopita), na hizi tuzo zinatolewa kulingana na preformance ya msimu uliopita!
Hope umenielewa!
Wanahesbia msimu wa 2014/2015 we mchezaji hajacheza timu ya taifa mwaka mzima anigiaje
Mkuu Messi mwenyewe kathibitisha kuwa hii tatu bora Suarez alitakiwa awemo pia Neymar kasema Sasa wewe unakazania timu ya taifa ndio 7bu wakat nimekuuliza kuhusu Weah unaanza kuniambia habar ya mapafu ya mbwa pia kumbuka kama Suarez asingekuwa na mafanikio asingeingia hata 23 bora
Mkuu Messi mwenyewe kathibitisha kuwa hii tatu bora Suarez alitakiwa awemo pia Neymar kasema Sasa wewe unakazania timu ya taifa ndio 7bu wakat nimekuuliza kuhusu Weah unaanza kuniambia habar ya mapafu ya mbwa pia kumbuka kama Suarez asingekuwa na mafanikio asingeingia hata 23 bora
Messi![/QUOTELionel Messi is the first player in history to be nominated for a Golden Globe Award (best player in the world) 9 times (from 2007 to 2015)
- Golden Ball:
2007: Kaka - Messi - Ronaldo
2008: Ronaldo - Messi - Torres
2009: Messi - Ronaldo - Xavi
2010: Messi - Iniesta - Xavi
- Golden Ball:
2011: Messi - Ronaldo - Xavi
2012: Messi - Ronaldo - Iniesta
2013: Ronaldo - Messi - Ribery
2014: Ronaldo - Messi - Noir.
☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆
❏====⇩=====⇩====❏
╔ցrσμρ╗
🔶 World♔ Sport🔷
❏====⇧=====⇧====❏
✎ Haki Elimu
Christiano In His Worst Year! #AmazingStats
![]()