Ballon d'Or 2015 ni Messi,Neymar au Cristiano?

Ha ha haaaa! Kumbe ndo maana!
Wakiboronga kule EPL wote wanahamia Madrid, kisa nini? Hawampendi Messi aliyewapiga kwenye fainal zote walizokutana nae, kingine zaidi ni kwamba wana mahaba na ronaldo.
 
Kwa wale ambao hawaamini kwamba Ronaldo mpira umeisha mnapaswa kuamini kuanzia sasa, labda arudi EPL ndo awike ila sio LA LIGA.
 
mliberia George Weah unamzungumziaje kuhusu tuzo ya uchezaj bora duniani na mafanikio ya timu yake ya taifa

Unamzungumziaje fabio Cannavaro na mafanikio ya timu yake ya taifa na Kama unakumbuka 2010 messi hakustahili iyo tuzo alitakiwa apewe iniesta cause alipata mafanikio kwny club na team ya taifa dunia nzima ilipinga udhulumati uliofanyika na messi mwenywe alisema aliyadhulumu mapafu ya iniesta
 
12289622_910023219051236_6969519753412073738_n.jpg

....loading?!!
 
Suarez anaingiaje when haja contribute chochote kwny team yake ya taifa

...Suarez alifungiwa lini? na hii tuzo wanayoitoa jan. wanaangalia performance ya msimu upi?!
 
Ushasahu Suarez alikuwa na adhabu ya FIFA ya kungata alifugiwa club na team ya taifa adhabau yake ndo imeisha juzi upande wa team ya taifa performance wanangalia ya msimu 2014/2015
 
Watu mmeweka uzi tujadili,mim nikaona mnajadili bila facts nikasema tusijadili kishabiki. Badala yake mnaendeleza ushabiki wa mtu. Sio kila mtu shabiki wa CR7 au Messi lazima awe Madrid,Man U au Barcelona. Tuzungumze mpira tu hapa. Ni tuzo anayopewa individual who has been the best in the past calender year. So angalia juhudi binafsi za mtu,rekodi alizoweka kwenye timu alizoshiriki,yaani club na taifa,tuzo binafsi n.k. Mjadala uanzie hapo,mim nmeanza kusema Pichichi kabeba msiyempenda,magoli mengi UCL mnajua,nyingine jazeni wenyewe. Ushabiki tupa kule
 
....sijasahau, najua Suarez alifungiwa last yr bt b4 that alishacheza baadhi ya mechi za timu ya taifa au unataka kuniambia last yr Suarez hakucheza mechi ya timu ya taifa hata moja?!
 
...jana usiku Messi kapewa tuzo ya striker bora wa la liga msimu uliopita.(source: Sport 24).
Hope now utatulia!
 
....sijasahau, najua Suarez alifungiwa last yr bt b4 that alishacheza baadhi ya mechi za timu ya taifa au unataka kuniambia last yr Suarez hakucheza mechi ya timu ya taifa hata moja?!

Mara ya mwisho wa Suarez kucheza timu ya taifa ni tarehe 24 June 2014 toka hapo hajacheza hadi Leo
 
...jana usiku Messi kapewa tuzo ya striker bora wa la liga msimu uliopita.
Hope now utatulia!

Suala sio kutulia,vitu km hivi ndio vinafanya mjadala uwe mzuri. Striker bora Messi,Magoli mengi msimu uliopita CR7(Pichichi). Wadau waendelee sasa kuleta hoja km hizi
 
Mara ya mwisho wa Suarez kucheza timu ya taifa ni tarehe 24 June 2014 toka hapo hajacheza hadi Leo

...sawasawa, kumbe alicheza mwaka jn(msimu uliopita), na hizi tuzo zinatolewa kulingana na preformance ya msimu uliopita!
Hope umenielewa!
 
Suala sio kutulia,vitu km hivi ndio vinafanya mjadala uwe mzuri. Striker bora Messi,Magoli mengi msimu uliopita CR7(Pichichi). Wadau waendelee sasa kuleta hoja km hizi

...kumbe magoli hayana maana sana; unaweza funga magoli mengii,mwenzio akafunga machache, timu ikachukua ubingwa, na tuzo akachukua yeye!
Ndio maana Ronaldo anaonekana selfish!!
 
...sawasawa, kumbe alicheza mwaka jn(msimu uliopita), na hizi tuzo zinatolewa kulingana na preformance ya msimu uliopita!
Hope umenielewa!

Wanahesbia msimu wa 2014/2015 we mchezaji hajacheza timu ya taifa mwaka mzima anigiaje
 
Mkuu Messi mwenyewe kathibitisha kuwa hii tatu bora Suarez alitakiwa awemo pia Neymar kasema Sasa wewe unakazania timu ya taifa ndio 7bu wakat nimekuuliza kuhusu Weah unaanza kuniambia habar ya mapafu ya mbwa pia kumbuka kama Suarez asingekuwa na mafanikio asingeingia hata 23 bora
 
messi kasema Suarez alitakiwa awepo ila ronaldo pia alistahili mbona suarez Jana kwny tuzo za LA liga hajachukua hata moja.?
 
Mkuu Messi mwenyewe kathibitisha kuwa hii tatu bora Suarez alitakiwa awemo pia Neymar kasema Sasa wewe unakazania timu ya taifa ndio 7bu wakat nimekuuliza kuhusu Weah unaanza kuniambia habar ya mapafu ya mbwa pia kumbuka kama Suarez asingekuwa na mafanikio asingeingia hata 23 bora

Ukiogelea weah tumuongelee na Fabio canavaro alipochukua ballon d'Or
 
Messi![/QUOTELionel Messi is the first player in history to be nominated for a Golden Globe Award (best player in the world) 9 times (from 2007 to 2015)

- Golden Ball:
2007: Kaka - Messi - Ronaldo
2008: Ronaldo - Messi - Torres
2009: Messi - Ronaldo - Xavi
2010: Messi - Iniesta - Xavi

- Golden Ball:
2011: Messi - Ronaldo - Xavi
2012: Messi - Ronaldo - Iniesta
2013: Ronaldo - Messi - Ribery
2014: Ronaldo - Messi - Noir.

☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆☆

❏====⇩=====⇩====❏
╔ցrσμρ╗
🔶 World♔ Sport🔷
❏====⇧=====⇧====❏
✎ Haki Elimu
 
Christiano In His Worst Year! #AmazingStats

11219620_1109164212441671_4670397715280300891_n.jpg

...wacha mbwembwe wewe, magoli yakupasia nyavu siku hizi hayauzi gazeti....
nenda kawaulize bayern, Messi aliwafunga goli gani!!!
 
Back
Top Bottom