PICHA ILEHamna kitu hapo hayo ni mawazo ya watu kama wewe kumbeba CR7. Jamaa yenu kazira mpaka kuja kwenye TUZO wakati yeye anachukua mbona wenzake walikuwa wanakuja. Sasa hivi atashangaa hata mechi anaingia kipindi cha pili. miezi miwili hajafunga goli juzi kati ndio kasawazisha goli 1 toka oktoba hajafunga wewe unaleta ngonjera za zamani.Kama hujapendezwa na hiyo tuzo kakate rufaa...
Cr7 hmna tena kitu dybala ni bora kuliko yeye currentlyPICHA ILEHamna kitu hapo hayo ni mawazo ya watu kama wewe kumbeba CR7. Jamaa yenu kazira mpaka kuja kwenye TUZO wakati yeye anachukua mbona wenzake walikuwa wanakuja. Sasa hivi atashangaa hata mechi anaingia kipindi cha pili. miezi miwili hajafunga goli juzi kati ndio kasawazisha goli 1 toka oktoba hajafunga wewe unaleta ngonjera za zamani.
Yaani miezi miwili anapangwa anakimbia kimbia tu uwanjani. Hayo magoli unayoweka hapo shukrani cross na akina pepe. Ndio hat tricks kibao. Sasa hivi hat tricks labda na timu yake ya portugal.
Tena mpaka Portugal icheze na team za kitoto kama lithuania au Yanga iviiPICHA ILEHamna kitu hapo hayo ni mawazo ya watu kama wewe kumbeba CR7. Jamaa yenu kazira mpaka kuja kwenye TUZO wakati yeye anachukua mbona wenzake walikuwa wanakuja. Sasa hivi atashangaa hata mechi anaingia kipindi cha pili. miezi miwili hajafunga goli juzi kati ndio kasawazisha goli 1 toka oktoba hajafunga wewe unaleta ngonjera za zamani.
Yaani miezi miwili anapangwa anakimbia kimbia tu uwanjani. Hayo magoli unayoweka hapo shukrani cross na akina pepe. Ndio hat tricks kibao. Sasa hivi hat tricks labda na timu yake ya portugal.
Ko wewe ni Messi sio au ni msemaji wake, kama wewe ni fan wa Messi na mimi nimeandika Andunje why ume ni quoteWe ndo umeanza taarabu alafu unapanic blaza.. Humu kuna mashabiki wa messi sio andunje
Hivi umenielewa lakini au just ume reply tu, Point yangu hapo ni kwamba last time 17/18 Cr7 ali deserve kuchukua Ballon D'or lakini akachukua Modric kwa mazingira yale yale aliyochukua Modric ndio yamefanana kwa zaidi ya 90% kwa Vvd, why asichukue yeye achukue Messi, wakati scenario za sasa hivi hazitofautinai na scenario ya last timeHii 17/18 messi alikuwa na magol mangap??assist ngap?? Halafu mbn hamwekagi stats za assist za cr7
Kwani wakati Cr7 anachukua 5 Ballon D'or na Modric.. Messi alikua wapi? Au hakuwepo duniani?King Messi aandaliwe tuzo yake pekee, kuendelea kumshindanisha na wapiga penati ni kumkoseea heshima Messi
Jinsi ulivyoandika unaonesha ni kilaza sana wewe.Usinifananishe mimk na wewe we upo ardhini mi niko mbinguni.Ronaldo saiz amebaki kuwa mpiga penalt.mzigo pe Juve,mzigo kwa wachezaji wenzake.Mwaka huu kachukua tuzo hiyo ukulima bora kwani kuna ubaya gani?nayo ni tuzo kama tuzo zingine.Muda ni ukuta ukishundana nao unashindwa wewe.Kama unataka basi kakatr rufaa mbuzi wewe
Acha unazi ww bwege ronalddo kaweza kudhihirisha uwezo wake kwa zaidi ya ligi 3,huyo kifaranga wenu andunje kabaki na timu moja with challenge zlezle wakati mwenzie kaweza kujidhihirisha kwa ligi nne tofauti tafauti ,,ukiwa unaongea saa zingine angalia unachooongea wewe
Acha kumcompare messi na vitu vya kijinga...kuna mpaka wachezaji wakubwa wamezaa watoto wao na kuwapa jina,la messi...
Mmoja wapo ni Steven Gerald.... mtoto wake wakiume wa mwisho anaitwa leonel Anasema amediriki kumpa mtoto wake jina hilo kutokana na mahaba aliyo nayo kwa messi kutokana na uwezo mkubwa alionao kiuchezaji......
Je nimchezaji gani amewahi kufanya hivyo kwa cr7
Hahhaha sasa hizo tuzo za ndani ya league kuanzia za ufungaji bora..mpaka mchezaji bora wa mwaka messi si'ndio anazo mpaka basi...au unajitoa ufahamu na kujifanya haujui """Siumeona Sasa unaanza kuleta mahaba ,,ili ujue kuwa CR7 ni mwamba kweli kweli angalia ,uanajua msibishe tu wakati huna factor
CR7 Kaweza kudhihirisha uwezo wake kwa kupitia changamoto ya ligi tafautitofauti zaidi ya 3 ,wakati huo andunje yy kang'ang'ania ligi moja tu na timu moja tu kwa carrier yake yote till now .imagine yesterday Ronaldo kapata tuzo huko ya MVP wa serie A ,pia fowadi borawa serie A 2019
Sasa tunachotaka ni kuwa haya yote andunje nae aweze kuyadhihirisha hadharani ahame Barca aende timu nyingine ili tuone uwezo wake kwelikweli na cyo kukaaa ligi moja ambayo changamoto zake tayari keshazijua ,,!naongea haya nikimlinganisha tu kwenye national team yake ya Argentina na CR7 kule Portugal ,,ww mwenyewe angalia hlo ndio maana many people wanasema andunje nje ya Barca ni mweupe saaana,,najua umenielewa nilichomaanisha ndugu
Mkuu ngoja niku challenge kidogo, mbali na Gerald mchezaji gani mwingine aliyefanya hivyo kwa huyo huyo Messi?Acha kumcompare messi na vitu vya kijinga...kuna mpaka wachezaji wakubwa wamezaa watoto wao na kuwapa jina,la messi...
Mmoja wapo ni Steven Gerald.... mtoto wake wakiume wa mwisho anaitwa leonel Anasema amediriki kumpa mtoto wake jina hilo kutokana na mahaba aliyo nayo kwa messi kutokana na uwezo mkubwa alionao kiuchezaji......
Je nimchezaji gani amewahi kufanya hivyo kwa cr7
Mkuu ngoja niku challenge kidogo, mbali na Gerald mchezaji gani mwingine aliyefanya hivyo kwa huyo huyo Messi?
Hayo ni mapenzi tu ya mtu individual they got nothung to do with Cr7 or any other footballer.
Kibongo bongo Edo Kumwembe anamkubali sana Buffon mpama kuna mtoto wake mmoja kampa nija la
Gianluigi Je Edo nae angekua mchezaji tena kariba ya Gelard ndio tungetumia hicho kigezo kuwa underestimate magoli kipa wengine bila kuangalia uwezo wao uwanjani eti kisa fulani kasema?
Binafsi mimi Ballon D'ior hii sisikitiki Cr7 kutoichukukua ila nasikitika why Vvd aikose wakati vigezo vilivyompa Modric Ballon D'ior iliyopita vipo karibu kulingana na alivyokua navyo Vvd katika hii ya sasa hivi.. Ukiweka ushabiki pembeni na ukachunguza kwa makini utagundua kua kuna walakini fulani... Au labda kila Ballon D'ior hua inakua na vigezo vipya tuambizane

Hayo ni mapenzi tu ya mtu individual they got nothing to do with Cr7 or any other footballer.
Kibongo bongo Edo Kumwembe anamkubali sana Buffon mpaka kuna mtoto wake mmoja kampa nija la
Gianluigi Je Edo nae angekua mchezaji tena kariba ya Gelard ndio tungetumia hicho kigezo kuwa underestimate magoli kipa wengine bila kuangalia uwezo wao uwanjani eti kisa fulani kasema?
Binafsi mimi Ballon D'ior hii sisikitiki Cr7 kutoichukukua ila nasikitika why Vvd aikose wakati vigezo vilivyompa Modric Ballon D'ior iliyopita vipo karibu kulingana na alivyokua navyo Vvd katika hii ya sasa hivi.. Ukiweka ushabiki pembeni na ukachunguza kwa makini utagundua kua kuna walakini fulani... Au labda kila Ballon D'ior hua inakua na vigezo vipya tuambizane
Watu wengine ni nafasi mkuu ndio maana, huwezi uka judge direct, kua Edo ni nani,, yule Gelard kapata nafasi ya kufahamika kwa sababu alipata nafasi ya kucheza mpira, lakini Edo kazaliwa kibongo bongo kakulia kwenye hizi system zetu za kawaida elimu kwanza.Edo kumwembe ndiye nani katika medani za soccer za kimataifa....nani anayemjua..ameifanyia nini dunia..hapa tunaongelea watu wenye impact zao
Mwaka 2013 wakati Bayern Munich wanachukua Uefa huku Frank Ribery akiwa wa moto mbona tuzo alibeba ronaldo vip naye alichukua kwa kigezo kipi acha kua na chuki kwa Messi, Ronado kaenda Juve hamna maajabu aliyofanya hata iyo tuzo alizopewa jana Italia watu wanashangaa mtu anapewa tuzo ya mchezaji bora wakati kuna waluomzidi magoli na wanatoka timu ndogo pale Serie AHiyo individual performance ndio mmeijua leo Mwaka 2012 Messi alikuwa na Individual Perfomance bora kumshinda Iniesta au alikuwa na Makombe mengi na Perfomance bora kumshinda Xavi mbona alishinda yeye why leo kwa VVD ndio muangalie Individual performance.