Ballon d'Or 2019: Lionel Messi ashinda tuzo ya sita ya Ballon d'Or awabwaga Virgil Van Dijk na Cristiano Ronaldo

Vvd hakuwa na sifa za mchezaji mwenye mafanikio binafsi kama messi ...mkuu
2010 Messi alikuwa na mafanikio binafsi kumshinda Sneijder au Iniesta
2012 alikuwa na mafanikio binafsi kumshinda Iniesta
2013 Ronaldo alimshinda nini Ribery
Hizi Award ni Politics hakuna jipya zaidi ya ku penna tu kama maandazi.
 
Acha uzwazwa wewe unavyosema timu kubwa hyo Barca ambayo andunje yupo na hawezi kuhama ukumbuke biggest team ni real Madrid lakini RONALDO kahama na kaenda timu nyingine ambayo ni kubwa tu na kadhihirisha uwezo wake Sasa andunje aende tu Liverpool pale tuone maajabu yake ,alafu uwe unaelewa acha kuwa na kichwa kugumu Kama samaki ngogo elewa
 
Kwani beki ndio hatakiwi kuwa na magoli wala assist..unamjua dani alves..unaijua Habari/balaa lake ??..

Hahaa mkuu wewe vipi aisee !!!!!
 
Ukweli mtupu pale madrid alikia anapikiwa timu nzima ilikua inamtii yeye lakini pale Juve kila mtu anataka kuwa star huwez fananisha wale kina kheidira, pjanic na kina kroos, Modrich nk
Hakuna mtu anaecheza kwa kuzungukwa kama Messi, Ibra aliondoka barca kwa sababu ya Messi, Et'oo nae, pia Gaucho aliondoka kwa sababu ya Messi, usitake kudanganya umma. Tena Messi ali shine sana sababu ya kina Xavi na Iniesta sababu kila kitu uwanjani walikua wana ki simplify wao tena bora hata sasa hivi ndio anaonekana kupambana saaana sababu zile huduma zimekata ndio maana hata barca nzima ime shake, issue ya Cr7 kua bora lazima a graph yake ishuke kidogo kwa sababu ya umri umeanza kumtupa mkono, akili inataka lakini mwili unamkatalia
 
Sasa hata hili swali nalo unataka nikujibuje kwa mfano, kwani wewe hujui kinachoendelea come on mkuu leta hoja zenye mashiko
Kwaiyo ile Ballon d'or aliokabizi jana Luka Modrich kwa Messi ilikua ya mwaka gani?
 
Ronaldo kahama kwa sababu maboss wake hawakuwa wanaitaka huduma yake hakuhama kwa kupenda tu

Kama unataka uongezewe mshahara then boss wako hataki ''it means anaona kwamba mchango wake katika kampuni yake ni haba,,,Au ameshapiga hesabu kwamba umeshaanza kuishiwa skills hivyo hawezi kukuongeza mshahara wakati mwaka/miaka kadhaa ijayo itakuwa umesha flop na yeye atapata hasara....hahaaaa as you can see kilicho/kinacho tokea juve right now...bwahahaaaaa

Halafu ndugu kwani hatuwezi kuhadiliana bila ya kutupiana maneno makali ??
 
Kwani beki ndio hatakiwi kuwa na magoli wala assist..unamjua dani alves..unaijua Habari/balaa lake ??..

Hahaa mkuu wewe vipi aisee !!!!!
Mbona hajawahi kufikia level ya Vvd [emoji23][emoji23][emoji23] kwenye hizi awards, halafu kumbuka Alves ni right beki anaweza kupanda na ku attack kama winga kama anavyofanya Anold pale liverpool, sasa Vvd ni beki wa kati unataka naye ashindane magoli na mshambuliaji danh mambo mengine acheni utani basi
 
Hahaaa kupata kichekesho kama hiki bofya *103*jamii forum#

Kwa hiyo sasa hivi ana shine kwa sababu ya nani ??!! Hahaa haters bwana daah !!!!?
 
Ronaldo katengenezwa kubalance tu, tena baada ya kwenda Madrid, na asingeenda asingeambulia kitu angetengenezwa mmadrid mwingine ili kubalance na mcatalonia
Afu hiyo ni kawaida tu, chibu vs kiba mmoja katengenezwa. US vs Russia baada ya Russia kufifia sasa ni US vs China lakin ukweli ni kwamba US ndo super power
 
Asingeweza kufika katika hizo level kwa sababu by that time palikuwa na competition kubwa sana katika footbal....wakati huo kuna kina riberry.xavi.iniesta.cr7.messi.kaka.rooben.van persie.drogba na wakali wengi wengine... so do you think hiyo nafasi angeitoa wapi.. hata huyo vvd wako if angekuwa ana chomoza katika wakati huo asinge thubutu kukanyaga hata top10........

Soccer sasa hivi limekosa wachezaji wengi wakali katika hii miaka 5 ya sasa' as you can see mtu kama cr7 ndiye huyo nae anapotea......imagine mchezaji kama sadio mane naye eti anashiriki katika tournament...huko si ni kuubaka mpira tu kwa kweli !!!!!!(wachezaji wazuri wame toweka)
 
Inatakiwa ulete fact usiseme pengine unaanzaje kuleta nadharia katika vitu serious aise
We jamaa nakushangaa sana fact gani unataka? Mtu beki unamshindanishaje na mshambuliaji upande wa assist na magoli, embu fikiri tu kwa akili za kawaida mkuu, mtu kazi yake uwanjani ni safu ya ulinzi halafu uende ukampambanishe na mtu ambaye safu yake ni ushambuliaji huoni kama ni ni vitu viwili tofauti yani pumba na mchele kabisa

Ndio maana nimekuuliza swali jepesi, ballon d'or iliyopita Ronaldo alimzidi Modric magoli lakini hichi hakikutumika kama kigezo cha kumnyima Modric tuzo sasa wewe unaanzaje kuleta habari za magoli na assist kama vigezo wa Vvd na Messi
 
Mbona dani alves ana magoli na assist nyingi kuliko hata rashford au dani alves sio beki???.... sishangai weww kunishangaa mimi cause sio ajabu kama Umeshindwa kuuona uwezo wa messi ndio utashindwa kunishangaa mimi dhidi ya ninacho kiongea
 
Hao uliowataja ndo akina nani? Binafsi ukitaja Ballon D'or picha inakuja ya MESSI tu maana ndo mwenye nyingi
Najua umenielewa ila kawaida yenu ni lazima mjitoe ufahamu, swali langu lilikua jepesi tu kua wakati wachezaji wengine (Ronaldo na Modric) wanachukua hii tuzo huyu Messi alikua wapi? mbona swali lipo wazi na linaeleweka.
 
[emoji23] Eti baada ya kwenda Madrid, wakati Ballon d'or yake ya kwanza kaichukulia Manchester united, au nayo hao madrid walimsaidia kumpa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…