Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,265
- 201,451
Kwenye hili kuna shida SanaWametoa tuzo ta mchezaji bora, sio mfungaji bora. Watu mnakuwa wagumu sana kulielewa hili. Haya leta takwimu za Lwandowsk nje ya magoli[emoji3][emoji3]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Hujui mpiraTuzo za sasa zimekuwa kama kili award za hapa kwetu.
Uzito umepungua na mvuto umepotea, yule kipa mtaliano anamzidi nini benjamini mendy?
Bora messi kidogo ,ingawa nae hakustahili,nadhani tuzo zipo kibiashara zaidi.
Hayo yanahusu timu.Congratulations Messi, what a year of accomplishments!
-Finished 3rd in the league with 0 goals vs Real and Atleti
-Knocked out in the R16 of the CL after missing a penalty
-ghosted against the only good team in the Copa America, was carried by De Paul and Di Maria
Na Portugal hawata qualify for World CupMashabiki wa Ronaldo mna makasiriko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndo hvyo I think Argentina watachukua world cup mwakani, then messi Atachukua ya 8 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfe zaiidii
Wazazi pelekeni watoto shule lengo wawe na elimu basic tu ya kuelewa kusoma na kuandika na kuhesabuView attachment 2027717Hizo ndio takwimu zao nadhani ukiangalia namba utaelewa kwa nini Lewandowski hakupata
Watu wanatumia mioyo yao kutafakari na si ubongo ndio matokeo yake inakua hivi.Wazazi pelekeni watoto shule lengo wawe na elimu basic tu ya kuelewa kusoma na kuandika na kuhesabu
Mtu anaona hizo namba then anauliza imekuwaje Messi kashinda kweli
Mkuu samehe tu dunia hii kila kitu tunachofanya wapo wenzetu walishafanya.C&P ya uzi wangu niliokuwa na-update kila kilichokuwa kinaendelea.
WTF!.
Hakuna shida Mkuu!.Mkuu samehe tu dunia hii kila kitu tunachofanya wapo wenzetu walishafanya.
By the way,ningejuaje haya maana sikuwa nafuatilia uliko-post hii kitu.
Sent using Jamii Forums mobile app
As from today I will not consider ballon d'Or winner as the best due to selfishness and political issues inside it, there were time that players like Sneijda, Iniest, deserve to win ballon d'Or with all reasons that FIFA used to consider but unfortunately awarded to Messi, although France can't distort some players like CR7 courage and shine but this might touch the diginity of FIFA in the world eyes and will not regards the as some thing important.Hayo yanahusu timu.
Messi ni mchezaji bora wa muda wote.
Kuna timu halafu kuna mtu...
Inawezekana shule ya mwisho ikatoa mwanafunzi wa kwanza!!
This is the true personification of fraud and robbery..Mashabiki wa Ronaldo mna makasiriko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Ndo hvyo I think Argentina watachukua world cup mwakani, then messi Atachukua ya 8 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mfe zaiidii
Hata CCM wanapigiwa kura unawajuwa kina nani wanawapigia kura?Mnafahamu Ni watu gani wanapiga Kura kwa mshindi??au mnafikiri anapewa tu
Ok kwa hiyo 2014 wakati kipa wa germany kuwa mchezaji wa 3 bora alishindanishwa kwa vigezo vipi? Cannavaro alipewa kwa vigezo hivihivi? Luca Modric vigezo hivi hivi? au wanabadilisha kwa kungalia upepo uko wapi. kwa status zako hizi hata VVD hakutakiwa kuwa mtu wa pili mwaka juzi maana hana assist, wala kutengeneza fursa kwa maana nyingine kuna position maisha yao hawatakuwa na vigezo na kama pass hakuna watu walikuwa wanapiga pass na kushinda vikombe kama kina Axavi na Iniesta. Magumashi tu kama ya kina John Bocco yale yale.View attachment 2027717Hizo ndio takwimu zao nadhani ukiangalia namba utaelewa kwa nini Lewandowski hakupata